It was my day

kushindwa kujieleza, ndio inaonesha kua kuna ka ukweli unakaficha hapo.. ngoja Dena Amsi aje anaweza weka mambo sawa...


Lishindwa kujieleza kwenye lipi maana halihusiani hapa na wala Dena Amsi hawezi kukupa lolote zaidi ya hayo na by the way ni ndoa yetu mimi na Dena Amsi ya nini tufurahishe umma kwa mambo yetu ya ndani
Mbona mimi sikuulizi ya ooppss nani vile ...................
 
Last edited by a moderator:
mimi tena, mambo ya ndani yanabaki kua siri za ndani, ila mbona mlipo achana ( kutengana ) haikua siri ya ndani>?

 
mimi tena, mambo ya ndani yanabaki kua siri za ndani, ila mbona mlipo achana ( kutengana ) haikua siri ya ndani>?


Kuachana sio siri maana ulimwengu wote wanajua kuwa mmeachana maana mnakuwa hampo pamoja ila yale mnayoyafanya mkiwa chumba cha ndani ni siri yenu wawili hata kama mnalala mzungu wa nne hiyo ni siri yenu hata kama mlikuwa kila siku mnadundana ngumi hizo ni siri zenu
Ila mkishaachana kila mtu anapaswa kujua kuwa hawa wawili hawako pamoja ila kilichowafanya muachane au nini kimetokea mpaka kufikia hapo hayo ni yenu mbaki tuu huku nje mnabuni labda infidelity au kudundwa au kutopata watoto au lots of mambo
 
ooh! nimekuelewa sasa, kumbe mliachana. mie nilizani mlitengana tu.
baada ya kuachana ukawa na Mamndenyi .

nae Dena Amsi alikua na mtu mwingine ili maisha yaende. sasa sijui huyo atakua nani?

ila nae ni mgumu huyo mwanamke kha!

 
Last edited by a moderator:
hivi haujajua kuwa manoah ni dogo tu
shauri zako
 
Last edited by a moderator:
nipo around, sahau mzee kuja kwako, utabaki hivyo hivyo...
Mr Rocky , amaenichanganya, alisema walitengana... nimekaa kidogo ana sema waliachana sasa sijui hapo imekaaje

leo nifanunulie maana ya kutengana na kuachana.

hivi haujajua kuwa manoah ni dogo tu
shauri zako
 
Last edited by a moderator:
nipo around, sahau mzee kuja kwako, utabaki hivyo hivyo...
Mr Rocky , amaenichanganya, alisema walitengana... nimekaa kidogo ana sema waliachana sasa sijui hapo imekaaje

leo nifanunulie maana ya kutengana na kuachana.


Mkuu read between the lines sikumaanisha mimi was just kukupa maelezo kuwa kuachana na kutengana kwa watu sio kitu cha kuficha maana mnakuwa mnajulikana na the whole world na sio mimi nilikuwa najizungumzia
Hakuna popote nilipokupa taarifa kuwa tuliachana ila hayo yalikuwa maelezo tuu kaka ya ufafanuzi
Na nilikuwa nakupa ufafanuzi kuwa watu wakitengana au kuachana kile kilichowaababisha kutengana au kuachana kinakuwa siri yao ya ndani ila huku nje mtakachojua ni kuwa hawa watu wameachana au kutengana ila sio sababu
Naona umeipersonalize ikawa kwangu
 
Mr Rocky .... mjanja sana!
ngoja nikae pembeni kwanza haya mambo ya ndoa siyawezi...
Mkuu manoah ndo ani tamu sana asikuambie mtu
Yaani ukimpata right person at a right time na ambaye mko pamoja kwa kuwa mnapendana na sio kwa kuwa anafuata chochote kwako au anakufuata kwa kuwa ni good looking au sijui anapenda pesa zako au mali zako au ulimfurahisha siku ya kwanza kukutana nae utaenjoy sana
ila ukiwapata hao ambao wako wako tuu mkuu utaona kitanza na nyumba yako kama kituo cha polisi
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky , unanitamanisaha sasa.
utanifanya niingie kwenye ndoa mwezi wa kumi duh! mimisa njoo huku usikilize ushauri.


 
Last edited by a moderator:
usimdanganye mtoto ina utamu gani kwani.
 
usimdanganye mtoto ina utamu gani kwani.

Ndoa nzuri sana iwapo waliooana wanajua wameoana kwa sababu gani na ni nini madhumuni ya ndoa yao na kwa nini wako kwenye ndoa
Ukipata yule aliye na wewe kwa sababu anakupenda ndoa utaiona tamu sana
Naamini hujawahi kumpata ndo maana unauliza swali kama hilo

Mr Rocky , unanitamanisaha sasa.
utanifanya niingie kwenye ndoa mwezi wa kumi duh! mimisa njoo huku usikilize ushauri.
manoah karibu sana kwenye chama kama uko tayari na una mwenza wako ambaye naye yuko tayari kuyakabili majukumu ya ndoa na changamoto zake
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…