Umewafollow wakina ngengemkeniKunawatu wanatuma vitu Vingi Vya kijinga ukigusa tu bando chali
Wp huko
Ingia kwa kutumia website, usitumie Application ni hatari kwa bando lako,Kunawatu wanatuma vitu Vingi Vya kijinga ukigusa tu bando chali
Utofauti upo wapi mana kote ni insta umeingiaIngia kwa kutumia website, usitumie Application ni hatari kwa bando lako,
Hata mm mkuu Instagram nimeanza kutumia mwaka jana nikaona naenjoy sana kuliko fb na social network zingne.Mwanzoni nilikuwa Naichukia sana lkn nilipoanza kuitumia mwaka huu natamani nisiiache.
Instagram inategemea na wewe umefollow nani, ukifollow page za Ki daku km sio mdaku lazma utaumia ila Mimi nimefollow wachache tena za mpira chache za habari . lla bando 2gb unatumia ndan ya siku tatu