Istagram kuna wajinga wengi nimejitoa

Mwanzoni nilikuwa Naichukia sana lkn nilipoanza kuitumia mwaka huu natamani nisiiache.

Instagram inategemea na wewe umefollow nani, ukifollow page za Ki daku km sio mdaku lazma utaumia ila Mimi nimefollow wachache tena za mpira chache za habari . lla bando 2gb unatumia ndan ya siku tatu
 
Wengine wanakuwa kama WAMENIBAKA siwajui kabisa naona MAVIDEO YAO YA KIJINGA

kuna MTU kule anajiita Ben break
Ametangaza, anafikisha wanawake kileleni, mara moja hadi Mara saba nikaona n ushezi gn huu unakula bando langu by by istagramu siludi tena wallah
 
haha...follow page zenye vitu vya maana......
mfano za kunywa bia hivi
 
Toka uzaliwe mtandao huu mm umenishinda tabia kbsa,sijashawishika kujiunga kabsa,
Maana naona kwny account za marfk zangu,naona wanawake tlwenye vinguo vya kubana tu na video za ovyohovyo. Na marafiki zangu wananiambiaga habari za umbeumbea tu...ukiuliza source wanasema intsa,pumbafu thaana.

Huwa nawashangaa sana wanaume walioko insta na snapcht.
Wewe mwanaume wa miaka ya 1960_1985
Alafu upo insta na snapchat,kuna mahali fuse ya kwenye ubongo,imekatika.
 
Mwanzoni nilikuwa Naichukia sana lkn nilipoanza kuitumia mwaka huu natamani nisiiache.

Instagram inategemea na wewe umefollow nani, ukifollow page za Ki daku km sio mdaku lazma utaumia ila Mimi nimefollow wachache tena za mpira chache za habari . lla bando 2gb unatumia ndan ya siku tatu
Hata mm mkuu Instagram nimeanza kutumia mwaka jana nikaona naenjoy sana kuliko fb na social network zingne.
Ila ni Kama ulivyosema inategemea umewafollow watu gani.
Mm ni mpz sana wa Comedy yaani napenda kufurah kuongeza siku za kuishi.
So nimewafollow watu kama akina Anko Zumo,Idriss Sultan na wanasiasa wachache kwa ajili ya kupata updates za nchi inavyokwenda plus na media chache Kama itv,azam na BBC kwa ajili ya kuhabarishwa.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom