Istagram kuna wajinga wengi nimejitoa

mzeenyoka

Member
Apr 28, 2019
77
125
Wewe umewezaje kucomment hapa bila kuona jukwaa!
Uzi upo JF chit-chat (uwe unaangalia juu ya title ya uzi utaona ni jukwaa gani)
Umewahi kuweka Uzi JF?? Watu wakichangia unapewa mrejesho lkn unaweza usijui Uzi upo wapi Na kinyume chake watu wasipo komment unaweza usijui ulipoteaje
 

David Guetta

Member
Jun 25, 2019
69
125
Insta inategemea na wewe umewafollow watu gani. Mimi napata updates nyingi tu kutoka huko, nimefollow page za maana.

Facebook nimeweza kufanya customization, napata feeds ya contents nazozitaka tu.

Ingawa, kazi na dawa, nimefollow na page chache za watoto wazuri
 
  • Thanks
Reactions: BAK

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
100,403
2,000
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽Insta RAHA TUPU. Uko vizuri Mkuu.

Mwanzoni nilikuwa Naichukia sana lkn nilipoanza kuitumia mwaka huu natamani nisiiache.

Instagram inategemea na wewe umefollow nani, ukifollow page za Ki daku km sio mdaku lazma utaumia ila Mimi nimefollow wachache tena za mpira chache za habari . lla bando 2gb unatumia ndan ya siku tatu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom