Watanzania wengi hawajui kufanya biashara za teknolojia

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Tuna nchi ina wajinga wengi sana bado hususan biashara ya vifaa vya kiteknolojia

Unauza bidhaa mbali mbali zenye ubunifu mbalimbali za kutatua kero mbali mbali na kurahisisha maisha lakini mjinga mmoja anaibuka huko na ushamba wake.

Mtu anakuja na matheory ya kwamba ubunifu fulani ni mpango wa serikali moja oooh kitu fulani ni nembo ya freemason mara bidhaa hii inafanya kazi kwa haraka bila shaka italeta kansa tu

Mara ubunifuu sio hapana inafanya kazi kwa haraka sana kwahiyo ni hatari

Yaani kuna watu ni wajinga wajinga sana, hakuna kazi siiwezi duniani kama kuelimisha wajinga.

Mimi sikumtuma mtu aache shule au asijielimishe, tatizo ni ujinga kutokwenda shule na kukariri mistari ya dini mara oooh hivi mara vile mara haram mara mpinga kristo....Yaani jitu linaongea tu bila fact wala ushahidi yaani tuna majinga nchi hii kupita maelezo

Na wengi wao ni wa huko vijijini primitive kweli unakuta unamuelimisha mtu mpaka unachoka haelewi yaani tuna wajinga wajinga tu....

Mimi kuna watu wanasemaga nina kiburi maana kukaa na kuanza kumuelewesha mjinga au mpuuzi siwezag....Kujieleza sana huwa siwezi mimi ningekaa customer care ningefukuzwa kazi siku hiyo hiyo na ndo maana hata biasharani kwangu anakaa mke wangu tu mimi kuelimisha wajinga wajinga baadhi siwezi hususan kwenye elimu ya bidhaa za kiteknolojia,ubunifu na bidhaa mbalimbali zinazoenda na wakati na zinazorahisha maisha.
 
Back
Top Bottom