Google......utapata jibu zuri zaidiBashite ni nani
Ulivyo lileta jukwaani ndo unaonyesha hailjaisha ila speed imepungua kidogoNdio nakupa taarifa za mwishomwisho ivo
Hatuishi kwa Google ...... Nakuuliza wewe uliyeandika Bashite ndiyo kitu gani hicho.Google......utapata jibu zuri zaidi
Hao wahariri pia wamesaidia mjadala kufungwa.Mjadala wa Bashite ulitawala kwa muda zaidi kwenye vyombo vya habari lakini mh rais amefanya jitihada mbalimbali ili kutuondoa watanzania katika mjadala wa vyeti vya bashite
Kwa hili rais amefanikiwa!
Kwani vyeti sasa vimezoeleka na hakuna tena mjadala unaoshinikiza vyeti
Hata mkuu wa mkoa mwenyewe hasikiki tena sijui ndio lile azimio la wa hariri liko kazini
Mkuu wa nchi kafanikiwa sana kuzima mjadala uliomhusu mkuu wa mkoa kwa asilimia zote
na mkiendelea nyinyi kidomodomo ndio mtatumbuliwa kwanza. hata mungu anawaona ushetani wenu kumuandama paulo kwa chuki zenu.Na mkiendelea kupiga kelele anatumbuliwa Mwigulu Chemba ili swala la Bashite lizimwe. Bashite ndiye kipenzi cha Mukulu
Yaani siku huyo baba yake anayemkingia kifua anaachia madaraka tu, pingu zitamhusu fasta.Jinai haifi na isitoshe hana kinga.Anaemlinda hamsaidii bali anampa kiburi cha muda.
Hili ni donda ndugu kwa mkulu na yeye mwenyewe.
Mkulu anaelinda majambazi hafai mbinguni na duniani.
Jukwaa la wahariri wagomea kuandika habari zote za jeshi la polisiUnafikir limezimwa? No way. Ngoja litokee suala linalomuhusu bashite... ndio utajua kuwa watu hawasahau
Kwa wenye akili hili jambo liko pale pale kama ambavyo bado yuko kwenye ofisi ile ile ujinga unaendelea kuwa mkubwa kwao wote wawili ney kawagonga sasaKapunguza mjadala, hajatatua chanzo cha mjadala.
Vitu vyote viko pale pale.
Kwa kifupi ameahirisha mjadala.
Haujapita. Watanzania tumelia vya kutosha. Lakini hatukusikilizwa kutokana tu maonezi ya kibinadam. majipu haya mawili ya mfalme na mwanawe, yatatumbuliwa na mungu mwenyewe hivi karibuniulikuwa upepo tu umeshapita......
Nitajie mtu mmoja alieshtakiwa sababu ya vyeti
Uko serious?!Nitajie mtu mmoja alieshtakiwa sababu ya vyeti