Issue ya RC wa Dar imefanikiwa kuzimwa

Issue ya RC wa Dar imefanikiwa kuzimwa

Mjadala wa Bashite ulitawala kwa muda zaidi kwenye vyombo vya habari lakini mh rais amefanya jitihada mbalimbali ili kutuondoa watanzania katika mjadala wa vyeti vya bashite
Kwa hili rais amefanikiwa!
Kwani vyeti sasa vimezoeleka na hakuna tena mjadala unaoshinikiza vyeti

Hata mkuu wa mkoa mwenyewe hasikiki tena sijui ndio lile azimio la wa hariri liko kazini

Mkuu wa nchi kafanikiwa sana kuzima mjadala uliomhusu mkuu wa mkoa kwa asilimia zote

Ila mjadala umemuachia makoVu makubwa sana Bashite.

Ambayo hayana remedy .

Pia nadhani hii ishu IPO katika level za armistice. Watu wameituliza tu, mioyoni. Ila vita italipuka tena muda wowote.
 
You a
Nitajie mtu mmoja alieshtakiwa sababu ya vyeti
You are just a nut. Nenda Halmashauri yeyote tu utapewa list. Hata juma la jana Mkurugenzi wa Halmashauri moja kanda ya ziwa amepeleka watumishi wake mahakamani kwa kosa hilohilo. Nikutajie jina wewe kama nani? Soma kwenye vyombo vya habari vyenye jukumu la kutoa habari. Mimi si chombo cha habari. Natoa comments, which is legal. Please be guided accordingly and get educated.
 
Watu wanamsubiria tu azungukeee weee ila hawatasaau kamwe!!! Lazima lazima amtoe asipomtoa halitaisha

Mnaogopa nini kwenda kuandamana waone sura zenu kama mna jambo la msingi liliopo kiukweli!?

Ha ha haaaaaaaa
 
Hajafanikiwa kuzima. Tena sasa imekuwa sumu kubwa iliyosambaa kwenye udhaifu wa maamuzi katika ngazi ya juu serikalini iitwayo double standards ambayo itaitafuna Serikali vibaya. Kumbuka zoezi la watumishi wenye vyeti feki na wangapi ama wamekimbia kazi, au kusthakiwa mahakamani! Hawa pia ni Watz wenye familia. Sasa Bashite ni Nani aendelee kula bata kwa kosa lilelile! Dawa ya jibu ni kulitumbua siyo kupachika plasta juu yake.
Mubashara na kimya kingi kina mshindo Mkuu, midam inaelekea kuthibitika Bashite hana cheti ipo siku sizonje atanyoosha mikono pamoja na ubishi na vitisho anavyotoa kwa raia
 
Suala hili haliwezi kuisha lazima amuondoe haiwezekani watu wapoteze kazi halafu Bashite aachwe kwa kosa hilo2
 
Mjadala wa Bashite ulitawala kwa muda zaidi kwenye vyombo vya habari lakini mh rais amefanya jitihada mbalimbali ili kutuondoa watanzania katika mjadala wa vyeti vya bashite
Kwa hili rais amefanikiwa!
Kwani vyeti sasa vimezoeleka na hakuna tena mjadala unaoshinikiza vyeti

Hata mkuu wa mkoa mwenyewe hasikiki tena sijui ndio lile azimio la wa hariri liko kazini

Mkuu wa nchi kafanikiwa sana kuzima mjadala uliomhusu mkuu wa mkoa kwa asilimia zote
Hii ni mapumziko tu soon mjadala utarudi tena kwa speed jet[emoji196]
 
Lazima aweke mezani vyeti vyake ndiyo hoja hii itaisha
 
Mjadala wa Bashite ulitawala kwa muda zaidi kwenye vyombo vya habari lakini mh rais amefanya jitihada mbalimbali ili kutuondoa watanzania katika mjadala wa vyeti vya bashite
Kwa hili rais amefanikiwa!
Kwani vyeti sasa vimezoeleka na hakuna tena mjadala unaoshinikiza vyeti

Hata mkuu wa mkoa mwenyewe hasikiki tena sijui ndio lile azimio la wa hariri liko kazini

Mkuu wa nchi kafanikiwa sana kuzima mjadala uliomhusu mkuu wa mkoa kwa asilimia zote
utakuwa moto wa pumba, ukikanyaga juu zimepoa..fukua kidogo tu utajua...
 
Hajafanikiwa kuzima. Tena sasa imekuwa sumu kubwa iliyosambaa kwenye udhaifu wa maamuzi katika ngazi ya juu serikalini iitwayo double standards ambayo itaitafuna Serikali vibaya. Kumbuka zoezi la watumishi wenye vyeti feki na wangapi ama wamekimbia kazi, au kusthakiwa mahakamani! Hawa pia ni Watz wenye familia. Sasa Bashite ni Nani aendelee kula bata kwa kosa lilelile! Dawa ya jibu ni kulitumbua siyo kupachika plasta juu yake.
Haijazimwa na hii imetusaidia kujua Mapungu yaliyopo
 
Mjadala wa Bashite ulitawala kwa muda zaidi kwenye vyombo vya habari lakini mh rais amefanya jitihada mbalimbali ili kutuondoa watanzania katika mjadala wa vyeti vya bashite
Kwa hili rais amefanikiwa!
Kwani vyeti sasa vimezoeleka na hakuna tena mjadala unaoshinikiza vyeti

Hata mkuu wa mkoa mwenyewe hasikiki tena sijui ndio lile azimio la wa hariri liko kazini

Mkuu wa nchi kafanikiwa sana kuzima mjadala uliomhusu mkuu wa mkoa kwa asilimia zote
Hahaaa! Wamekutuma ukachungulie kama bado wapo eti!
Umeinifurahisha sana na gia uliyoingilia nayo.
Kamwambie asitoke nje, bado wapo hawajaondoka!🙂
 
Haijazimwa hii. Unamuona Bashite kwenye vyombo vya habari. Na wananchi wengi wako tayari kumzomea kila watakamuona. Hawezi kufanya kazi katika mazingira kama haya.

Back
Top Bottom