Usimsingizie Rais wetuMjadala wa Bashite ulitawala kwa muda zaidi kwenye vyombo vya habari lakini mh rais amefanya jitihada mbalimbali ili kutuondoa watanzania katika mjadala wa vyeti vya bashite
Kwa hili rais amefanikiwa!
Kwani vyeti sasa vimezoeleka na hakuna tena mjadala unaoshinikiza vyeti
Hata mkuu wa mkoa mwenyewe hasikiki tena sijui ndio lile azimio la wa hariri liko kazini
Mkuu wa nchi kafanikiwa sana kuzima mjadala uliomhusu mkuu wa mkoa kwa asilimia zote
1.Bavicha wanajulikana kushabikia vitu ambavyo mwishoni wanaishia pumzi,mfano Suala la Saanane,Ukuta,kata funua n.k
2.Pale wahariri walipokurupuka kwa jazba kuwa hawatamuandika Makonda ilikuwa ni kama wamemaliza kelele zote kuhusu Makonda.
Makonda hawezi kun'goka kwa ajili ya presha za mitandao