Issue ya RC wa Dar imefanikiwa kuzimwa

Issue ya RC wa Dar imefanikiwa kuzimwa

Mjadala wa Bashite ulitawala kwa muda zaidi kwenye vyombo vya habari lakini mh rais amefanya jitihada mbalimbali ili kutuondoa watanzania katika mjadala wa vyeti vya bashite
Kwa hili rais amefanikiwa!
Kwani vyeti sasa vimezoeleka na hakuna tena mjadala unaoshinikiza vyeti

Hata mkuu wa mkoa mwenyewe hasikiki tena sijui ndio lile azimio la wa hariri liko kazini

Mkuu wa nchi kafanikiwa sana kuzima mjadala uliomhusu mkuu wa mkoa kwa asilimia zote
Shiiiii....nyamaza mkuu!!Ni kwel watu washasahu,ila kwakuandika hivo unarudisha kumbukumbu.Wataanza kumadil tena
 
Option ziko nyingi sio lazima maandamano!! Hapo utampa sababu avunje watu miguu.....hapana tunataka kwa amani tu amtoe!!
Mnaogopa nini kwenda kuandamana waone sura zenu kama mna jambo la msingi liliopo kiukweli!?

Ha ha haaaaaaaa
 
Usikate tamaa rais atachukua hatua sitahiki soon.....bado na bunge likianza lazima hii kitu iibuke upya.
 
Mnaogopa nini kwenda kuandamana waone sura zenu kama mna jambo la msingi liliopo kiukweli!?

Ha ha haaaaaaaa

Sio swala la kuandamana.Ni swala la kuhakikisha watanzania wote wanaelewa kwamba kuna mtu amefoji vyeti na anaendelea kufanya kazi katika Ofisi za Serikali kwa Kodi za Watanzania.
Ni swala la Kila Mtanzania kuelewa kwamba kuna waliofukuzwa na kushatakiwa na kufoji vyeti lakini Bashite hajaguswa.
Baada ya hapo watanzania watatoa uamuzi.
 
Mbona juzi amezindua mradi wa maji uku Mbagala maji matitu na watu walikua wengi walimpongeza kwa uchapajiwake wa kazi.
 
Mjadala wa Bashite ulitawala kwa muda zaidi kwenye vyombo vya habari lakini mh rais amefanya jitihada mbalimbali ili kutuondoa watanzania katika mjadala wa vyeti vya bashite
Kwa hili rais amefanikiwa!
Kwani vyeti sasa vimezoeleka na hakuna tena mjadala unaoshinikiza vyeti

Hata mkuu wa mkoa mwenyewe hasikiki tena sijui ndio lile azimio la wa hariri liko kazini

Mkuu wa nchi kafanikiwa sana kuzima mjadala uliomhusu mkuu wa mkoa kwa asilimia zote
Issue ya BASHITE itazidi kumtafuna na bado Ni mwiba kwa CCM.ikitajwa Tu wanalowana
 
Subiri Bunge lianze ndo utajua wabongo walivyo. Shughuli na mazuri hayasemwi kwa sasa kumhusu DB ila muda huo ukifika sikiliza kitakachopamba habari zake
 
Hajafanikiwa kuzima. Tena sasa imekuwa sumu kubwa iliyosambaa kwenye udhaifu wa maamuzi katika ngazi ya juu serikalini iitwayo double standards ambayo itaitafuna Serikali vibaya. Kumbuka zoezi la watumishi wenye vyeti feki na wangapi ama wamekimbia kazi, au kusthakiwa mahakamani! Hawa pia ni Watz wenye familia. Sasa Bashite ni Nani aendelee kula bata kwa kosa lilelile! Dawa ya jibu ni kulitumbua siyo kupachika plasta juu yake.
Katoka 'kanda maalumu'
 
Ishu ya Bashite haijazimwa iko bado inazungumziwa vijiweni, na subiri bunge lianze uje uone moto wake!
 
Upepo ukitulia ni hasara kwa bashite kwa sabb ni dhahiri hatimaye magu atafanya yake!
 
Back
Top Bottom