ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Mjadala wa Bashite ulitawala kwa muda zaidi kwenye vyombo vya habari lakini mh rais amefanya jitihada mbalimbali ili kutuondoa watanzania katika mjadala wa vyeti vya bashite
Kwa hili rais amefanikiwa!
Kwani vyeti sasa vimezoeleka na hakuna tena mjadala unaoshinikiza vyeti
Hata mkuu wa mkoa mwenyewe hasikiki tena sijui ndio lile azimio la wa hariri liko kazini
Mkuu wa nchi kafanikiwa sana kuzima mjadala uliomhusu mkuu wa mkoa kwa asilimia zote