Wengine hela ya field hatujapata,na sijui kama itatolewa.
Naona ka mkopo ndo umeishia hapo[emoji22].....
Nasema hivi ni kujiuza tu mana hamna namna[emoji124][emoji124]
[emoji23] acha tu...ikibidiHahahahaaa mkuu na hiyo ID yako ndo na mkopo utausikia kwenye bomba maana utatoboa macho watu kwenye field.
ACHA KUDANGANYA WATU. Itamuangusha kivipi? Wanaopata mikopo hiyo miaka yote wamekuwa mashabiki wa upinzani au kutopiga kura kabisa. Kwahiyo msitutishe. Magufuli 2020 atapita kwa ushindi wa SUNAMI NA KISHINDO KIKUBWA AMBACHO HAKIJAWAHI TOKEA. Wananchi wengi hata wa upinzani wanamuunga mkono Magufuli. Kama mleta mada umekosa mkopo nenda kalime. Usipoteze muda mwingi kuleta vitisho vyepesi kama hivyo. Hata usipompigia kura sawa tu. Tuna stock ya kura nyingi 2020.
Suala la mtu kusoma nafikiri kiuhalisia anatakiwa kujigharamia mwenyewe. Serikali kwa muda mrefu imekuwa ikisomesha watu kwa level ya chuo kikuu kwakuwa wasomi katika ngazi ya shahada walikuwa hawatoshi ukilinganisha na mahitaji. Kwasasa wasomi wapo wengi tena tunayo ziada kubwa sana kwa taalum za art ndio maana Serikali itakuwa imeona hamna haja ya kusomesha kada ambayo tuna ziada nchini. Anayetaka kusoma na ajisomeshe mwenyewe kama watu wanavojisomesha ktk ngazi ya stashahada.Taifa kusomesha watu wake sisitafsiriwe kama ujasiliamali. Hii ni huduma ndo tatizo linaanzia hapo. Kikichotakiwa ni sirikali kugharamia elimu iache longolongi
dah sijui hat serikal yetu hii inafkiria nin jaman kwel watanzania weng sis ni maskin,bas rais wetu athibitishe kuwa n kwel yupo kwa ajili ya maskini na anatetea na kusaidia madkin,kwa kutusomesheni sie watot wa maskini,licha ya kuwa hiyo pesa ni mkopo lakin hat hivo akiweza kutugharamia ili tupate nchi ya viwanda na wasomi wa fani zote na kwa masom yote itasaidia.
Hili povu linazidi hata la omoACHA KUDANGANYA WATU. Itamuangusha kivipi? Wanaopata mikopo hiyo miaka yote wamekuwa mashabiki wa upinzani au kutopiga kura kabisa. Kwahiyo msitutishe. Magufuli 2020 atapita kwa ushindi wa SUNAMI NA KISHINDO KIKUBWA AMBACHO HAKIJAWAHI TOKEA. Wananchi wengi hata wa upinzani wanamuunga mkono Magufuli. Kama mleta mada umekosa mkopo nenda kalime. Usipoteze muda mwingi kuleta vitisho vyepesi kama hivyo. Hata usipompigia kura sawa tu. Tuna stock ya kura nyingi 2020.
***Vyuo vya elimu ya juu vimefunguliwa huku wanafunzi wengi wakiwa njiapanda kuhusu mikopo yao ya ada pamoja na chakula na malazi. Suala la means testing kwa mwaka huu limekuwa tight sana kiasi kwamba kuna wanaojuta kuomba kudahiliwa na vyuo kwa sababu hata ule mkopo wa chakula na malazi hawapewi wengi wao na huwezi kusajiliwa chuoni bila kulipa angalau ada ya semester moja!
Serikali inasema inaweka kipaombele kwa baadhi ya kozi/fani,fine bt ni asilimia ndogo saaana ya wanafunzi wanaochukua fani hizo za kipaombele ukilinganishwa na wengine,haiwezekani wooote wasome Petroleum Engineering,architechture,medicine,anatomy, and the like!
Na wengi wa watoto wa maskini ndo hawa waliosomea shule za Kayumba ambako Physics na Biology ni msamiati mgumu sana so walilazimika kusoma masomo ya arts ili waweze kufaulu kwa sababu ya kukosa walimu wa sayansi na miundombinu ya maabara.
Nionavyo mm,pesa nyingi inatumika zaidi huku kwenye 'ELIMU BURE',hali ikiwa mbaya zaidi hawa wanafunzi wa elimu ya juu wanaweza kugoma na hii itamletea shida kubwa sana JPM. Naomba washauri wake mliopo humu #JF mumfikishie salamu hizi,watoto wengi wa maskini ndo waliosoma masomo ya arts na ndo wanaokosa mikopo.
Implodes, hatukumuona si wa maana mbona tulimpa kura za kutosha tu"""Viwanda kwanza elimu baadaye""
Na mtanyooka tu
Mamvi alisema elimu bure mpaka chuo kikuu ila mkamuona Hana maana
Nenda YouTube video yake ipo, jifunze kufuatilia vitu usiishie kusikia tu!Mkuu hivi haya maneno ni kweli alisema au watu wanatania??kama ni kweli aisee basi acha niishie hapa nitaitwa mchochezi.
Magufuli tunyooshe baba ili siku nyingine tutumie akiliMkuu watz watu wa ajabu sana na wasanii wao akina ndomo, walikuwa blindly wanaimba hapa kazi tu, sasa limewashuka. Magu wanyoshe wanafiki hawa