Issue ya Mikopo ya Elimu ya Juu itamharibia sana rais Magufuli

Issue ya Mikopo ya Elimu ya Juu itamharibia sana rais Magufuli

Sasa kama nchi haina hela.. zimeenda wapi???
 
Na badoooooooooooooooooooooooo

Miak mingapi ijayo.......................
 
Asante.
Tatizo umekariri kuwa Walimu wana shida.
Wanaolilia hapa kuhusu bodi ya mikopo ni watoto wa wakulima.
Kama kuna mtoto wa Mwalimu analialia hapa basi mzazi wake ni mwalimu msingi na hajitambui.
 
Lowasa alipowaambia elimu bure mpk chuo kikuu mlimwona kenge ni mgonjwa anatetemeka.sasa tutaimba wote wimbo mmoja tu!..mtalimia meno.
Mkuu umenena,acha magu awanyooshe hawa washenzi....tutaheshimiana tu
 
Tena akaze sana!..hakuna kuonea huruma mtu.mpk fahamu ziwarudi

Na bado, macho yakishawatoka pima🙁🙁 ndo fahamu zitawarudi, kaza uzi kaza uzi, mpaka watu wajue maisha yalivyo...

Wakihongwa kofia na tisheti wajue ndani yake kuna cloroquin..
 
Matabaka ya kudumu yanajengwa sasa. Masikini wa nchi hii ndo imetoka hata elimu hakuna tena. Mtabakia tabaka la watawaliwa milele!
 
Na ya haki za watumishi wamewekewa increments zao?ajira za vijana je?Hali ngumu ya maisha?
Yani hovyo hovyo
 
ACHA KUDANGANYA WATU. Itamuangusha kivipi? Wanaopata mikopo hiyo miaka yote wamekuwa mashabiki wa upinzani au kutopiga kura kabisa. Kwahiyo msitutishe. Magufuli 2020 atapita kwa ushindi wa SUNAMI NA KISHINDO KIKUBWA AMBACHO HAKIJAWAHI TOKEA. Wananchi wengi hata wa upinzani wanamuunga mkono Magufuli. Kama mleta mada umekosa mkopo nenda kalime. Usipoteze muda mwingi kuleta vitisho vyepesi kama hivyo. Hata usipompigia kura sawa tu. Tuna stock ya kura nyingi 2020.
Kumbe bado kuna watu wa dizain yako mpaka leo
 
walio maskini wamepew mkopo, hakuna mtu muelew anawez kumkosesha mkulima mkopo, chuoni kuna watu wana uwezo sana lakini wanapew mkopo halfu wankuj humu kulalamika. hela mnazotumia kuchangia harusi kila week sasa itabidi muwape watoto wenu waende chuo
 
Back
Top Bottom