Issue ya Mikopo ya Elimu ya Juu itamharibia sana rais Magufuli

RAIS JPM na Viongozi wengine wanashabikia Maendeleo ya Vitu.....

Nyerere alisema Maendeleo ya Watu ni jambo la msingi sana...hivyo JPM hawezi kumfikia Nyerere

JPM hamuenzi Nyerere, Nyerere alitoa Elimu bure mpaka University na akina JPM walisoma bure chuo kikuu

Acheni kushabikia maendeleo ya Vitu
 
Hutakuwa hujaelewa nilichokuwa nataka kukisema. Kwa hiyo umekurupuka kujibu tu. Kwa hiyo siwezi hata kupteza muda kukufafanulia sababu unaonesha dalili zote za kushupaa kwa upumbavuuu. Maana ya kuwa great thinker ni pia kuchukua muda kujisomea na kujifunza vile ambavyo huvifahamu kupitia machapisho, majarida, na vitabu then una apply na imagination yako. Kwa akili yako kavu kavu tu ya kushupaa naweza kukuita ni mpumbavuu tu unayedhani unajua kumbe hujui..Kwa hiyo usidhani kama unasoma chuo kikuu au umemaliza chuo kikuu ndo tiketi ya kuwa great thinker. Jamii forums inawanachama zaidi ya laki mbili ila great thinker hawafiki hata mia tano. Kungekuwa na great thinker 10,000 humu Tanzania isingekuwa nchi ya watu kulilia ajira huku mtu kamaliza chuoni. Kazi mnayoiweza ni kuanzisha thread za kutoa mapovu kutwa. Great thinker wana brainstorm solution za matatizo na si kuwa part ya kulalamika kila kunapokucha. Bundle za kutoa mapovu humu mnazo ila ukiambiwa utoe buku kwa maarifa unasema huna...Watoto wa maskini wapate mikopo. Wenye uwezo wajilipie.
Acha kujadili hoja kijinga jinga wew,kwan huyo rais wako anavosema yupo kwa ajili ya kutetea maskin,unataka kunambia matajir hawapo au wao hatowatetea? Ach kuwaza mambo ya kijinga zama hizi.unatokwa povu bila sababu pia kuchmbua hoja kwa kutumia akili.mkuu tusichukiane tuendlee tu kueleweshana kwa vzur

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Hutakuwa hujaelewa nilichokuwa nataka kukisema. Kwa hiyo umekurupuka kujibu tu. Kwa hiyo siwezi hata kupteza muda kukufafanulia sababu unaonesha dalili zote za kushupaa kwa upumbavuuu. Maana ya kuwa great thinker ni pia kuchukua muda kujisomea na kujifunza vile ambavyo huvifahamu kupitia machapisho, majarida, na vitabu then una apply na imagination yako. Kwa akili yako kavu kavu tu ya kushupaa naweza kukuita ni mpumbavuu tu unayedhani unajua kumbe hujui..Kwa hiyo usidhani kama unasoma chuo kikuu au umemaliza chuo kikuu ndo tiketi ya kuwa great thinker. Jamii forums inawanachama zaidi ya laki mbili ila great thinker hawafiki hata mia tano. Kungekuwa na great thinker 10,000 humu Tanzania isingekuwa nchi ya watu kulilia ajira huku mtu kamaliza chuoni. Kazi mnayoiweza ni kuanzisha thread za kutoa mapovu kutwa. Great thinker wana brainstorm solution za matatizo na si kuwa part ya kulalamika kila kunapokucha. Bundle za kutoa mapovu humu mnazo ila ukiambiwa utoe buku kwa maarifa unasema huna...Watoto wa maskini wapate mikopo. Wenye uwezo wajilipie.
Sio kwamb tunalalamika au tunalialia mkuu,but hali ambayo wanafunz wako nayo ndo shida na hum si kwamb sisi sio greatthinkers,kwan mara ngapi hay mambo yanaongelewa but viongoz na serikali madarakan haiskii,kam wanataka viwanda si wafanye watu tusome,ili hat ambao si great thinkers waje kuwa vzur baadae.

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Njooni mtaani tugange njaa pamoja muungane na kidato cha 4 wanaomaliza kesho kutw muwe ma panya jizi
 
Back
Top Bottom