fundi mwili
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 269
- 174
Wakati wa kampeni alisema alisema atahakikisha kila anayestahili kwenda chuo atapata mkopo
Hapa hua nawaza sana...parefuuuni miaka 10 ya shida!
Wakati wa kampeni alisema alisema atahakikisha kila anayestahili kwenda chuo atapata mkopo
alikuwa anaganga njaa ww, ww unadhani ni rahisi kama ulivyokuwa unasikiadah sijui hat serikal yetu hii inafkiria nin jaman kwel watanzania weng sis ni maskin,bas rais wetu athibitishe kuwa n kwel yupo kwa ajili ya maskini na anatetea na kusaidia madkin,kwa kutusomesheni sie watot wa maskini,licha ya kuwa hiyo pesa ni mkopo lakin hat hivo akiweza kutugharamia ili tupate nchi ya viwanda na wasomi wa fani zote na kwa masom yote itasaidia.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wengine hela ya field hatujapata,na sijui kama itatolewa.
Naona ka mkopo ndo umeishia hapo[emoji22].....
Nasema hivi ni kujiuza tu mana hamna namna[emoji124][emoji124]
ACHA KUDANGANYA WATU. Itamuangusha kivipi? Wanaopata mikopo hiyo miaka yote wamekuwa mashabiki wa upinzani au kutopiga kura kabisa. Kwahiyo msitutishe. Magufuli 2020 atapita kwa ushindi wa SUNAMI NA KISHINDO KIKUBWA AMBACHO HAKIJAWAHI TOKEA. Wananchi wengi hata wa upinzani wanamuunga mkono Magufuli. Kama mleta mada umekosa mkopo nenda kalime. Usipoteze muda mwingi kuleta vitisho vyepesi kama hivyo. Hata usipompigia kura sawa tu. Tuna stock ya kura nyingi 2020.Vyuo vya elimu ya juu vimefunguliwa huku wanafunzi wengi wakiwa njiapanda kuhusu mikopo yao ya ada pamoja na chakula na malazi. Suala la means testing kwa mwaka huu limekuwa tight sana kiasi kwamba kuna wanaojuta kuomba kudahiliwa na vyuo kwa sababu hata ule mkopo wa chakula na malazi hawapewi wengi wao na huwezi kusajiliwa chuoni bila kulipa angalau ada ya semester moja!
Serikali inasema inaweka kipaombele kwa baadhi ya kozi/fani,fine bt ni asilimia ndogo saaana ya wanafunzi wanaochukua fani hizo za kipaombele ukilinganishwa na wengine,haiwezekani wooote wasome Petroleum Engineering,architechture,medicine,anatomy, and the like!
Na wengi wa watoto wa maskini ndo hawa waliosomea shule za Kayumba ambako Physics na Biology ni msamiati mgumu sana so walilazimika kusoma masomo ya arts ili waweze kufaulu kwa sababu ya kukosa walimu wa sayansi na miundombinu ya maabara.
Nionavyo mm,pesa nyingi inatumika zaidi huku kwenye 'ELIMU BURE',hali ikiwa mbaya zaidi hawa wanafunzi wa elimu ya juu wanaweza kugoma na hii itamletea shida kubwa sana JPM. Naomba washauri wake mliopo humu #JF mumfikishie salamu hizi,watoto wengi wa maskini ndo waliosoma masomo ya arts na ndo wanaokosa mikopo.
Pole sana ndg yngWengine hela ya field hatujapata,na sijui kama itatolewa.
Naona ka mkopo ndo umeishia hapo[emoji22].....
Nasema hivi ni kujiuza tu mana hamna namna[emoji124][emoji124]
Asante ndugu yangu.Pole sana ndg yng
ndg yng huna hustaarab kbsa ni hoja2 na mtzamo wkeACHA KUDANGANYA WATU. Itamuangusha kivipi? Wanaopata mikopo hiyo miaka yote wamekuwa mashabiki wa upinzani au kutopiga kura kabisa. Kwahiyo msitutishe. Magufuli 2020 atapita kwa ushindi wa SUNAMI NA KISHINDO KIKUBWA AMBACHO HAKIJAWAHI TOKEA. Wananchi wengi hata wa upinzani wanamuunga mkono Magufuli. Kama mleta mada umekosa mkopo nenda kalime. Usipoteze muda mwingi kuleta vitisho vyepesi kama hivyo. Hata usipompigia kura sawa tu. Tuna stock ya kura nyingi 2020.
Ukajiuze wapi, kama umepata kidogo Tumia vizuri, Mimi nilianza chuo kwa kukosa hostel, ikabidi nipange pale survey miaka minne bila hata kulipiwa na mzazi maana hakuwa na uwezo hata wa kunipa nauli kuja Dar, Na wakati huohuo natakiwa kulipa ada na direct cost, kimsingi maisha yalikuwa magumu sana ila yanahitaji uvumilivu sana , lazima ujikatae kwa kujinyima then utafika. Na hata nilipo hitimu chuo mwaka jana na ajira nazo zikapigwa stop . My take watoto wa maskini tunateseka ila tuwe wavumilivu tutafika ndoto zetu.Wengine hela ya field hatujapata,na sijui kama itatolewa.
Naona ka mkopo ndo umeishia hapo[emoji22].....
Nasema hivi ni kujiuza tu mana hamna namna[emoji124][emoji124]
Sawa tumekuelewa ngja 2kalime somen nyie bcTatizo hamkumuelewa vizuri mheshimiwa haiwezekani mtu ametumia gharama hadi akahitimu na kufaulu masomo ya sayansi vizuri halafu akose mkopo wakati nyinyi wa masomo ya Sanaa ambao wengi wenu ni pangu pakavu mtake nanyi kufaidi mema ya bodi ya mikopo...sasa ni zamu ya sayansi..sayansi...uhandisi..teknologia wengine tutasamehana kwanza...kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake,kama serikali tunasema tuna mambo muhimu ya ku deal nayo hili muwe wavumilivu..