Issue ya Mikopo ya Elimu ya Juu itamharibia sana rais Magufuli

Issue ya Mikopo ya Elimu ya Juu itamharibia sana rais Magufuli

Nilidhani hili nimelifikiria mimi tu, Shukrani kwako Mihongora kwa kuanzisha thread hii.

Kiuhalisia watoto waliofaulu vizuri masomo ya sayansi ni wale waliosoma shule za private ambako kuna waalimu wazuri, vifaa na maabara nzuri. ni watoto ambao kwa kiasi kikubwa wazazi wao wana uwezo mkubwa. Leo hao hao wanapewa tena kipa umbele kwenye mikopo.

tukianza kubagua watoto wa maskini kwa kisingizio cha fani, tunazidi kupalilia gape kati ya matajiri na maskini. ile dhana kwamba serikali hii inawajali maskini inaondoka.

Jambo la busara kwangu ni kutoa mikopo kwa usawa bila ubaguzi. hata kama kila mwanafunzi atapata kwa asilimia kidogo, lakini mikopo igawanywe kwa usawa kulingana na budget iliyotengwa kwa ajili hiyo.

Vinginevyo serikali hii ikubali sasa kwamba, aliye nacho atazidi kuongezewa ili tutengeneze taifa lenye matabaka.
 
Ngoja nipitie yale matokeo ya utafiti ili nijuwe dalili za awali za mtu kuwa kichaa ni zipi,nakumbuka tuliahidiwa hili na maelfu ya vichaa walishangilia pale Tabora.Iko wapi ahadi ya mh?Tusilaumu sana,tumeambiwa katika kila watanzania 4,1 ni kichaa.
 

Attachments

litakua limekugusa hili....wenzio wako mtaani mwaka hakuna ajira isome hii JPM 020
 
Taifa kusomesha watu wake sisitafsiriwe kama ujasiliamali. Hii ni huduma ndo tatizo linaanzia hapo. Kikichotakiwa ni sirikali kugharamia elimu iache longolongi
 
Huyu mzee aliposema ELIMU ELIMU ELIMU watanganyika wengi hawakumuelewa kbs sasa athari za kutokumchagua zinatutafuna watanganyika Mungu akupe maisha marefu mzee Lowassa
Good kumbe umeamini kama hatukumchagua eeh?= tulimpiga chini na si kwamba aliibiwa kura. okay hapo nimekuelewa vizuri sana. la pili umesema yeye alisema elimu elimu elimu yaani wewe kwa mfano unaamini kipi kati matendo na maneno.? alipokuwepo madarakani hakufanya ila yupo upinzani anasema ELIMU ELIMU ELIMU eti unaamini. duh kumbe ndio maana kiongozi wenu ni form.................
 
Mtanyooka mpk 2019 ndio mtapata ahueni,sasa ni kubatizwa kwa moto tu.
 
Vyuo vya elimu ya juu vimefunguliwa huku wanafunzi wengi wakiwa njiapanda kuhusu mikopo yao ya ada pamoja na chakula na malazi. Suala la means testing kwa mwaka huu limekuwa tight sana kiasi kwamba kuna wanaojuta kuomba kudahiliwa na vyuo kwa sababu hata ule mkopo wa chakula na malazi hawapewi wengi wao na huwezi kusajiliwa chuoni bila kulipa angalau ada ya semester moja!

Serikali inasema inaweka kipaombele kwa baadhi ya kozi/fani,fine bt ni asilimia ndogo saaana ya wanafunzi wanaochukua fani hizo za kipaombele ukilinganishwa na wengine,haiwezekani wooote wasome Petroleum Engineering,architechture,medicine,anatomy, and the like!

Na wengi wa watoto wa maskini ndo hawa waliosomea shule za Kayumba ambako Physics na Biology ni msamiati mgumu sana so walilazimika kusoma masomo ya arts ili waweze kufaulu kwa sababu ya kukosa walimu wa sayansi na miundombinu ya maabara.

Nionavyo mm,pesa nyingi inatumika zaidi huku kwenye 'ELIMU BURE',hali ikiwa mbaya zaidi hawa wanafunzi wa elimu ya juu wanaweza kugoma na hii itamletea shida kubwa sana JPM. Naomba washauri wake mliopo humu #JF mumfikishie salamu hizi,watoto wengi wa maskini ndo waliosoma masomo ya arts na ndo wanaokosa mikopo.[/QUOTESerikali laziest iwe na vipaumbele kwny elimu, na sio lazima kila mtu nchi hii asome awe na degree! Haiwezekani serikali ikasomesha kila mtu.Tuache kulalamika .km huna uwezo kujilipia degree kasome diploma then utafute ajira. Jk aliharibu kutaka kusomeshawatu kozi
dah sijui hat serikal yetu hii inafkiria nin jaman kwel watanzania weng sis ni maskin,bas rais wetu athibitishe kuwa n kwel yupo kwa ajili ya maskini na anatetea na kusaidia madkin,kwa kutusomesheni sie watot wa maskini,licha ya kuwa hiyo pesa ni mkopo lakin hat hivo akiweza kutugharamia ili tupate nchi ya viwanda na wasomi wa fani zote na kwa masom yote itasaidia.
Serikali makini lazima iwe na vipaumbele, hakuna sbb ya kusomesha watu ambao hawana tija mojakwa moja
 
Tatizo hamkumuelewa vizuri mheshimiwa haiwezekani mtu ametumia gharama hadi akahitimu na kufaulu masomo ya sayansi vizuri halafu akose mkopo wakati nyinyi wa masomo ya Sanaa ambao wengi wenu ni pangu pakavu mtake nanyi kufaidi mema ya bodi ya mikopo...sasa ni zamu ya sayansi..sayansi...uhandisi..teknologia wengine tutasamehana kwanza...kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake,kama serikali tunasema tuna mambo muhimu ya ku deal nayo hili muwe wavumilivu..
 
Back
Top Bottom