Issue ya Mikopo ya Elimu ya Juu itamharibia sana rais Magufuli

Issue ya Mikopo ya Elimu ya Juu itamharibia sana rais Magufuli

Vyuo vya elimu ya juu vimefunguliwa huku wanafunzi wengi wakiwa njiapanda kuhusu mikopo yao ya ada pamoja na chakula na malazi. Suala la means testing kwa mwaka huu limekuwa tight sana kiasi kwamba kuna wanaojuta kuomba kudahiliwa na vyuo kwa sababu hata ule mkopo wa chakula na malazi hawapewi wengi wao na huwezi kusajiliwa chuoni bila kulipa angalau ada ya semester moja!

Serikali inasema inaweka kipaombele kwa baadhi ya kozi/fani,fine bt ni asilimia ndogo saaana ya wanafunzi wanaochukua fani hizo za kipaombele ukilinganishwa na wengine,haiwezekani wooote wasome Petroleum Engineering,architechture,medicine,anatomy, and the like!

Na wengi wa watoto wa maskini ndo hawa waliosomea shule za Kayumba ambako Physics na Biology ni msamiati mgumu sana so walilazimika kusoma masomo ya arts ili waweze kufaulu kwa sababu ya kukosa walimu wa sayansi na miundombinu ya maabara.

Nionavyo mm,pesa nyingi inatumika zaidi huku kwenye 'ELIMU BURE',hali ikiwa mbaya zaidi hawa wanafunzi wa elimu ya juu wanaweza kugoma na hii itamletea shida kubwa sana JPM. Naomba washauri wake mliopo humu #JF mumfikishie salamu hizi,watoto wengi wa maskini ndo waliosoma masomo ya arts na ndo wanaokosa mikopo.
Chakuzingatia : ukichangia hoja hii hakikisha ukishiriki kupiga kura kukataa elimu bure toka chekechea hadi chuo kikuu .vinginevyo nyamaza jutia kura yako subiri 2020
 
Sioni tatzo la serikali, huu ni mkopo na siyo lazima kila mtu apate.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] una roho nzuri wewe.kama ya raisi wetu .tena ukizingatia tulimpigia kura kwa ahadi hiyo hiyo ya mkopo ,tukakataa kupigia kura ahadi ya elimu chekechea mpaka chuo kikuu [emoji106]
 
Maghifuli anafurahia matatizo ya wananchi.....unatumia lot of billions kuparchase ndege mbili, unashindwa kuwapa mikopo wanafunzi na unataka Tanzania ya viwanda, na wananchi wafikie uchumi Wa kati? Mwenye matatizo ya akli ndo atakayeweza mchagua maghufuli 2020....
 
Tumesha sema kwamba pesa zote tumetumia kununua mapangaboi. Nyie mliokosa mikopo mtuvumilie kidogo.
 
Vyuo vya elimu ya juu vimefunguliwa huku wanafunzi wengi wakiwa njiapanda kuhusu mikopo yao ya ada pamoja na chakula na malazi. Suala la means testing kwa mwaka huu limekuwa tight sana kiasi kwamba kuna wanaojuta kuomba kudahiliwa na vyuo kwa sababu hata ule mkopo wa chakula na malazi hawapewi wengi wao na huwezi kusajiliwa chuoni bila kulipa angalau ada ya semester moja!

Serikali inasema inaweka kipaombele kwa baadhi ya kozi/fani,fine bt ni asilimia ndogo saaana ya wanafunzi wanaochukua fani hizo za kipaombele ukilinganishwa na wengine,haiwezekani wooote wasome Petroleum Engineering,architechture,medicine,anatomy, and the like!

Na wengi wa watoto wa maskini ndo hawa waliosomea shule za Kayumba ambako Physics na Biology ni msamiati mgumu sana so walilazimika kusoma masomo ya arts ili waweze kufaulu kwa sababu ya kukosa walimu wa sayansi na miundombinu ya maabara.

Nionavyo mm,pesa nyingi inatumika zaidi huku kwenye 'ELIMU BURE',hali ikiwa mbaya zaidi hawa wanafunzi wa elimu ya juu wanaweza kugoma na hii itamletea shida kubwa sana JPM. Naomba washauri wake mliopo humu #JF mumfikishie salamu hizi,watoto wengi wa maskini ndo waliosoma masomo ya arts na ndo wanaokosa mikopo.
Mh. Rais husoma sana habari kutoka vyanzo mbalimbali incluidng JF, I belive. Sasa aone kilio hiki hawa vijana wanastahili mikop. Afanye jitihaada kama Rais kama binafsi watoto wapate mikopo! Jambo linalonifanya nimheshimu, nimpende na nitampigania mpaka tone langu la damu la mwisho Mw. Nyerere ni kuniwezesha kupata Elimu Bure, mind you sio kwa mkopo bure mpaka elimu ya juu. Na siyo mimi tu na nduguzanguwengine zaidi ya sita! Sembuse mikopo hapana kati ya mambo yatakayokuharibia mazuri Meeeengi uliyofanya ni hili. Itisha kikao cha daharura cha wadau wopte wanoweza kukusadia kufanukisha hili!
 
dah sijui hat serikal yetu hii inafkiria nin jaman kwel watanzania weng sis ni maskin,bas rais wetu athibitishe kuwa n kwel yupo kwa ajili ya maskini na anatetea na kusaidia madkin,kwa kutusomesheni sie watot wa maskini,licha ya kuwa hiyo pesa ni mkopo lakin hat hivo akiweza kutugharamia ili tupate nchi ya viwanda na wasomi wa fani zote na kwa masom yote itasaidia.
"Watanzania wengi sisi ni maskini"..Wewe ni middle class au maskini.. Maana sidhani kama kuna maskini anashinda jamii forums. Unajua maana ya umaskini? Kuna watu hiyo hela ya bundle yako per day ndo hela ya kulisha familia nzima. Piga mahesabu kwa mwaka unatumia kiasi gani kwenye simu halafu niambie kama kweli wewe ni maskini. Iwapo tuseme unatumia buku per day, assumption ni kwamba kama ukiweka hiyo hela kwenye kibubu utakuwa na kama milioni baada ya mwaka. KWa mtazamo wangu wewe una uwezo wa kulipia mtoto ada ya sekondari teh teh teh. By the way si kwamba na undermine kuhusu watu kupewa mikopo. Nadhani wapewe wasio na uwezo tu. Mnaojiweza jipangeniii
 
Wengine hela ya field hatujapata,na sijui kama itatolewa.

Naona ka mkopo ndo umeishia hapo[emoji22].....

Nasema hivi ni kujiuza tu mana hamna namna[emoji124][emoji124]
Pole sana mdogo wangu
Kamwe Usijaribu hiyo biashara.

Nakuomba kama unasoma mjini (yani vyuo vya hapa Daslam) nipo tayari Kukusapoti.
 
Ukajiuze wapi, kama umepata kidogo Tumia vizuri, Mimi nilianza chuo kwa kukosa hostel, ikabidi nipange pale survey miaka minne bila hata kulipiwa na mzazi maana hakuwa na uwezo hata wa kunipa nauli kuja Dar, Na wakati huohuo natakiwa kulipa ada na direct cost, kimsingi maisha yalikuwa magumu sana ila yanahitaji uvumilivu sana , lazima ujikatae kwa kujinyima then utafika. Na hata nilipo hitimu chuo mwaka jana na ajira nazo zikapigwa stop . My take watoto wa maskini tunateseka ila tuwe wavumilivu tutafika ndoto zetu.
Pole sana Mkuu.

Inatia huruma sana!
 
"Watanzania wengi sisi ni maskini"..Wewe ni middle class au maskini.. Maana sidhani kama kuna maskini anashinda jamii forums. Unajua maana ya umaskini? Kuna watu hiyo hela ya bundle yako per day ndo hela ya kulisha familia nzima. Piga mahesabu kwa mwaka unatumia kiasi gani kwenye simu halafu niambie kama kweli wewe ni maskini. Iwapo tuseme unatumia buku per day, assumption ni kwamba kama ukiweka hiyo hela kwenye kibubu utakuwa na kama milioni baada ya mwaka. KWa mtazamo wangu wewe una uwezo wa kulipia mtoto ada ya sekondari teh teh teh. By the way si kwamba na undermine kuhusu watu kupewa mikopo. Nadhani wapewe wasio na uwezo tu. Mnaojiweza jipangeniii
wewe hujakua bado au naweza kusema sio great thinker...kwa hoja yako hyo.so unataka kunambia na hao waloapply mkopo kwa internet n gharam y kulipia 30K pamoja na kuapply tena tcu kwa gharam hyo 50K wana uwezo wa kujisomesha kwa maana wameweza kumudu gharam kuingia net? pia kushinda mda wote unalogin katka profile bas ni kwamb tuna uweo wa kujisomesha.unafkir kam si kulalamika au kutoa maoni mtandaoni tutapata vp kuskizwa au tumfate wote rais pale ikulu ndo ionekane tunahitaji kusomeshwa na serikal? na gharama za kusoma chuo unafkiri ni sawa na bundlebya 1500 kwa week kifrushi cha chuo au?? fikiria kabla ya kujibu mkuu.
 
Hutakuwa hujaelewa nilichokuwa nataka kukisema. Kwa hiyo umekurupuka kujibu tu. Kwa hiyo siwezi hata kupteza muda kukufafanulia sababu unaonesha dalili zote za kushupaa kwa upumbavuuu. Maana ya kuwa great thinker ni pia kuchukua muda kujisomea na kujifunza vile ambavyo huvifahamu kupitia machapisho, majarida, na vitabu then una apply na imagination yako. Kwa akili yako kavu kavu tu ya kushupaa naweza kukuita ni mpumbavuu tu unayedhani unajua kumbe hujui..Kwa hiyo usidhani kama unasoma chuo kikuu au umemaliza chuo kikuu ndo tiketi ya kuwa great thinker. Jamii forums inawanachama zaidi ya laki mbili ila great thinker hawafiki hata mia tano. Kungekuwa na great thinker 10,000 humu Tanzania isingekuwa nchi ya watu kulilia ajira huku mtu kamaliza chuoni. Kazi mnayoiweza ni kuanzisha thread za kutoa mapovu kutwa. Great thinker wana brainstorm solution za matatizo na si kuwa part ya kulalamika kila kunapokucha. Bundle za kutoa mapovu humu mnazo ila ukiambiwa utoe buku kwa maarifa unasema huna...Watoto wa maskini wapate mikopo. Wenye uwezo wajilipie.
 
Back
Top Bottom