kolorama
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 308
- 219
Kila kitu ni means testing, percent utakayopata ndo hiyo hiyo mpaka meals and accommodationnimesikia kila category itakuwa na means testing, hiv had meals and accommodation. wajuv tusaidien
Kila kitu ni means testing, percent utakayopata ndo hiyo hiyo mpaka meals and accommodationnimesikia kila category itakuwa na means testing, hiv had meals and accommodation. wajuv tusaidien
kweli sasa ndo inatakiwa tuamini hivyo kama mambo yatakuwa hivi.alikuwa anaganga njaa ww, ww unadhani ni rahisi kama ulivyokuwa unasikia
hapana mkuu kila kitu katka masuala ya elimu nadhani kina tija,kama sivyo masom mengne yalianzishwa ya nin? sasa vijana kama sisi wafanye nin mtaani na wategemee nin kama miaka yote jambo linalosisitizwa ni elimu.nadhani chama tawala hawana lengo zuri na eatanzania au wanataka kutawala miaka yote hivo hawataki watz waamke na wapate elimu iliyobora ili waje kuijudge serikali,pia nia ya rais ni wote tuish maisha mazur na kwa usawa sas kuna haja gani watu wengne watengwe au wasipewe kipaumbele pia?Se
Serikali makini lazima iwe na vipaumbele, hakuna sbb ya kusomesha watu ambao hawana tija mojakwa moja
So sad, imagine hata mama yako ana akiba ya debe 3 za kunde na mtama gunia 1 na zimeshambuliwa na fukusiUkajiuze wapi, kama umepata kidogo Tumia vizuri, Mimi nilianza chuo kwa kukosa hostel, ikabidi nipange pale survey miaka minne bila hata kulipiwa na mzazi maana hakuwa na uwezo hata wa kunipa nauli kuja Dar, Na wakati huohuo natakiwa kulipa ada na direct cost, kimsingi maisha yalikuwa magumu sana ila yanahitaji uvumilivu sana , lazima ujikatae kwa kujinyima then utafika. Na hata nilipo hitimu chuo mwaka jana na ajira nazo zikapigwa stop . My take watoto wa maskini tunateseka ila tuwe wavumilivu tutafika ndoto zetu.
Msamehe bure huyu atakuwa ni mtoto wa tajiri, ila atambue kwamba zaidi ya 75% ya watanzania wenzake wasio na hatia wanaishi chini ya mlo mmoja kwa siku na familia zimekuwa taahira kwa kukosa huduma za afya za kawaida kama minyoo, malaria sugu na nk.Mkuu unapata wapi ujasiri wa kuwaita wanalalama kama watoto wadogo?. Je unaona busara kuufumbia macho ukweli?. Jitazame Mara mbilimblili huenda hili suala halijakugusa au kumkuta ndugu yako.Usingesema maneno hayo.
Duh, pole nimejikuta nakupa like ingawa sijajua kujiuza unamaanisha nini na wewe jinsia gani?Wengine hela ya field hatujapata,na sijui kama itatolewa.
Naona ka mkopo ndo umeishia hapo[emoji22].....
Nasema hivi ni kujiuza tu mana hamna namna[emoji124][emoji124]
Asante...Ke mieDuh, pole nimejikuta nakupa like ingawa sijajua kujiuza unamaanisha nini na wewe jinsia gani?
Pole, ningekupm nikushauri kitu ila sasa profile inaonyesha una miaka 115 which is not authentic.Asante...Ke mie
[emoji23]Pole, ningekupm nikushauri kitu ila sasa profile inaonyesha una miaka 115 which is not authentic.
Mkuu samahani naomba mnielimishe hivi means testing maana yake ni nini?,nimesikia kila category itakuwa na means testing, hiv had meals and accommodation. wajuv tusaidien
Ukajiuze wapi, kama umepata kidogo Tumia vizuri, Mimi nilianza chuo kwa kukosa hostel, ikabidi nipange pale survey miaka minne bila hata kulipiwa na mzazi maana hakuwa na uwezo hata wa kunipa nauli kuja Dar, Na wakati huohuo natakiwa kulipa ada na direct cost, kimsingi maisha yalikuwa magumu sana ila yanahitaji uvumilivu sana , lazima ujikatae kwa kujinyima then utafika. Na hata nilipo hitimu chuo mwaka jana na ajira nazo zikapigwa stop . My take watoto wa maskini tunateseka ila tuwe wavumilivu tutafika ndoto zetu.
Mimi nimeeleza situation iliyonikumba nikiwa chuo na sijalazimisha mtu aishi kama nilivyoishi Mimi, life gives alternatives, it is a matter of choice no body will force you. Whether to leave your studies or to continue with your studies while hustling.Kwa nini tuteseke wakati nchi yetu ni tajiri?.Acha porojo maana sisi ndio tunatakiwa tusaidie hata nchi za Ulaya na Marekani.
Utakuwa ww ni zao la prof mshoroUkajiuze wapi, kama umepata kidogo Tumia vizuri, Mimi nilianza chuo kwa kukosa hostel, ikabidi nipange pale survey miaka minne bila hata kulipiwa na mzazi maana hakuwa na uwezo hata wa kunipa nauli kuja Dar, Na wakati huohuo natakiwa kulipa ada na direct cost, kimsingi maisha yalikuwa magumu sana ila yanahitaji uvumilivu sana , lazima ujikatae kwa kujinyima then utafika. Na hata nilipo hitimu chuo mwaka jana na ajira nazo zikapigwa stop . My take watoto wa maskini tunateseka ila tuwe wavumilivu tutafika ndoto zetu.