onkoko
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 514
- 480
YeahUtakuwa ww ni zao la prof mshoro
YeahUtakuwa ww ni zao la prof mshoro
ni chuo gani hicho.? huwa tunaandika barua mnakubaliana utamaliza kulipa kabla ya ue ya semester ya kwanza na kapenalt kidogo kama kapo. wanaelewaKuna kijana mmoja masikini wa watu alisoma pcb jina la shule silikumbuki na kachaguliwa chuo kimojawapo cha maswala ya afya nje ya dar es salaam,kapata mkopo sawa lakini tatizo linakuja chuoni huko alikochaguliwa maana sehemu ya ada na fedha zote anazopaswa kujilipia ni kama milion hivi na kwa uwezo wa familia yake hyo pesa ni msamiati!!!Kijana wa watu kaenda chuo kuwaelewesha na kuwaomba wamsajili hyo pesa itakuwa analipa kidogokidogo kwa kujibana kutoka kwenye mkopo wake lakini chuo KIMEMKATALIA yaan daah inaumiza sana.
Kaamua kuhairisha mwaka kusudi mwakani aombe ualimu
Hewezi kushauri watu watembee bila viatu eti kwa sababu wewe ulikuwa unatembea bila viatu.Hayo ni mawazo mfu.Mimi nimeeleza situation iliyonikumba nikiwa chuo na sijalazimisha mtu aishi kama nilivyoishi Mimi, life gives alternatives, it is a matter of choice no body will force you. Whether to leave your studies or to continue with your studies while hustling.
Hahaha kitu cha ardhi utakijua tuu kina mentality ya kufightYeah
Mtu mwenye mawazo mfu hukata tamaa, tena unitake radhii Mimi sio type yako Walla hauna argument yoyote ile. Kama vipi fanya stricke action utajua utakacho pata kama hukurudi tena maskani.Hewezi kushauri watu watembee bila viatu eti kwa sababu wewe ulikuwa unatembea bila viatu.Hayo ni mawazo mfu.
Futeni masomo ya art na mpeleke walimu wa sayansi kwenye shule za kata.....tumia akili.Se
Serikali makini lazima iwe na vipaumbele, hakuna sbb ya kusomesha watu ambao hawana tija mojakwa moja
Dogo hili si group la wasapu... nenda kwa watoto wenzio hapa tunajadili issues...Tatizo hamkumuelewa vizuri mheshimiwa haiwezekani mtu ametumia gharama hadi akahitimu na kufaulu masomo ya sayansi vizuri halafu akose mkopo wakati nyinyi wa masomo ya Sanaa ambao wengi wenu ni pangu pakavu mtake nanyi kufaidi mema ya bodi ya mikopo...sasa ni zamu ya sayansi..sayansi...uhandisi..teknologia wengine tutasamehana kwanza...kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake,kama serikali tunasema tuna mambo muhimu ya ku deal nayo hili muwe wavumilivu..
Acha povu wewe.Waswahili wanasema ajidhanie kasimama aangalie asijikute kaanguka.Mtu mwenye mawazo mfu hukata tamaa, tena unitake radhii Mimi sio type yako Walla hauna argument yoyote ile. Kama vipi fanya stricke action utajua utakacho pata kama hukurudi tena maskani.
Nimekuelewa sana...unawaza ndani ya box...siku ukitoka na nakuombea kwa Mungu akufumbue upate kuona.... atashinda tena kwa kishindo lakini ungegusia hili tatizo la mikopo ingekuwa vyema...ACHA KUDANGANYA WATU. Itamuangusha kivipi? Wanaopata mikopo hiyo miaka yote wamekuwa mashabiki wa upinzani au kutopiga kura kabisa. Kwahiyo msitutishe. Magufuli 2020 atapita kwa ushindi wa SUNAMI NA KISHINDO KIKUBWA AMBACHO HAKIJAWAHI TOKEA. Wananchi wengi hata wa upinzani wanamuunga mkono Magufuli. Kama mleta mada umekosa mkopo nenda kalime. Usipoteze muda mwingi kuleta vitisho vyepesi kama hivyo. Hata usipompigia kura sawa tu. Tuna stock ya kura nyingi 2020.
Heshima yako mkuu(nawewe umo).Hata hicho kidogo sina....nipo tu namsikiliza Goodluck Gozbert....ipo siku yangu tuuuuuuu....
Haha navumilia yataisha tuHeshima yako mkuu(nawewe umo).
Njoo tuyajenge tu mbona mambo madogo haya.
Unakufa na kiu baharini wakati bahari ina maji[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Haha navumilia yataisha tu
Haha kitaeleweka tuUnakufa na kiu baharini wakati bahari ina maji[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mimi natafuta wa kumlipia ada,chakula na sehemu ya kuishi.Haha kitaeleweka tu