rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
Je kuhuzunika na kutafakuri vyanzo vya ajali ni kutumia ajali ya MvNyerere kama mtaji wa kisiasa?Nani anaainisha nini ni mtaji wa kisiasa na nini ni huzuni/hasira/fikra za kawaida za wananchi wa kawaida? Hili ni janga la kitaifa.Taifa linahaki ya kuzungumzia.Ndio uzalendo wenyewe.