Issa Shivji: Taifa lina haki ya kutafakuri

Tatizo hao hao kina Shivji huwa ikifika mahali pa kuamua kati ya Tanzania na CCM, husimama upande wa CCM. Wasomi huwa wapi wakati haki za watu wanyonge zinaporwa kwa kuwa tu wako chama kingine tofauti na CCM ama wamekosoa serikali?
Lakini Professa huyu hata uenyekiti wa bodi ya ufugaji wa kuku bado hajapewa. Hebu anza kuwazia hilo, inawezekana jibu likawa huko.
 
Je kuhuzunika na kutafakuri vyanzo vya ajali ni kutumia ajali ya MvNyerere kama mtaji wa kisiasa?Nani anaainisha nini ni mtaji wa kisiasa na nini ni huzuni/hasira/fikra za kawaida za wananchi wa kawaida? Hili ni janga la kitaifa.Taifa linahaki ya kuzungumzia.Ndio uzalendo wenyewe.
View attachment 875526
Nadhani Professor yuko sahihi. Hii tabia haikuanza leo. Inafaa tujikumbushe tetemeko la adhi kule Kagera, ajali ya watoto wa shule kule Arusha, mauwaji ya kule kibiti na sasa yaliyotokea Ukara. Nimepitia statement za viongozi wa upinzani kuhusu ajali ya Ukara, ukiacha ya James Mbatia, kwa kweli zinaacha mswali mengi sana. Mbatia alisema kwa sasa tuko kwenye majonzi na ni vema tupite katika kipindi hiki kwanza. Watu wanarusha hata picha za marehemu kwenye mitandao bila idhini ya wafiwa. Professor ni wa siku nyingi katika siasa na anayo historia. Pengine tunahitaji kuangalia mfumo wetu wa kuwaandaa watoto wetu. Japan wakati wa Tsunami waliunganga pamoja.

Sina kawaida ya kujibu reply za watu kutokana na nilichokiandika.

Niwape pole wafiwa wote na Roho za marehemu zipumzike kwa Amani mahali pema peponi. Amina
 
Je kuhuzunika na kutafakuri vyanzo vya ajali ni kutumia ajali ya MvNyerere kama mtaji wa kisiasa?Nani anaainisha nini ni mtaji wa kisiasa na nini ni huzuni/hasira/fikra za kawaida za wananchi wa kawaida? Hili ni janga la kitaifa.Taifa linahaki ya kuzungumzia.Ndio uzalendo wenyewe.
View attachment 875526
Shivji aongezewe ulinzi
 
Nchi imeposwa hii na mtu mmoja .hakuna zaidi ya mposaji na ndio hivyo inaelekea kuolewa muda simrefu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Je kuhuzunika na kutafakuri vyanzo vya ajali ni kutumia ajali ya MvNyerere kama mtaji wa kisiasa?Nani anaainisha nini ni mtaji wa kisiasa na nini ni huzuni/hasira/fikra za kawaida za wananchi wa kawaida? Hili ni janga la kitaifa.Taifa linahaki ya kuzungumzia.Ndio uzalendo wenyewe.
View attachment 875526
Akili kubwa.
 
Je kuhuzunika na kutafakuri vyanzo vya ajali ni kutumia ajali ya MvNyerere kama mtaji wa kisiasa?Nani anaainisha nini ni mtaji wa kisiasa na nini ni huzuni/hasira/fikra za kawaida za wananchi wa kawaida? Hili ni janga la kitaifa.Taifa linahaki ya kuzungumzia.Ndio uzalendo wenyewe.
Huyu mwalimu anatakiwa atofautishe kati ya tafakuri na kubeza,kejeli na matusi
 
Back
Top Bottom