Issa Shivji: Taifa lina haki ya kutafakuri

Asante prof.Ukweli utatuweka huru. Tusijenge taifa la kinafiki.Nyeusi nyeusi,nyeupe nyeupe!
 
Msiwatafutie wajukuu zenu laana nyiye. Sasa we babu, utapigwa kofi au fimbo? Tulia uliko uendelee kucheza na vitukuu acha mengine wafanye wengine.
Tangu lini vichaa wanatoa laana, BTW Prof anataka watu wasizuiliwe kuhoji as if serikali hii inaongozwa na Mungu kwamba haiwezi kukosea kumbe viongozi wenyewe ni aina ya vichaa
 
Msiwatafutie wajukuu zenu laana nyiye. Sasa we babu, utapigwa kofi au fimbo? Tulia uliko uendelee kucheza na vitukuu acha mengine wafanye wengine.
"watu makini hujadiri hoja ila nyumbu humjadili mtu"
 
Msiwatafutie wajukuu zenu laana nyiye. Sasa we babu, utapigwa kofi au fimbo? Tulia uliko uendelee kucheza na vitukuu acha mengine wafanye wengine.
Huu uboya, hebu angalia historia za kina enstein, acha ubongo ufanye kazi
 
Je kuhuzunika vyanzo vya ajali ni kutumia ajali ya MV Nyerere kama mtaji wa kisiasa ?

Nani anaainisha nini ni mtaji wa kisiasa na nini huzuni/hasira/fikira za kawaida za wananchi wa kawaida,hili ni janga la kitaifa.Taifa lina haki ya kuzungumzia .Ndio uzalendo wenyeweView attachment 875706
Mzee punch!!
 
Kama sio mnafiki rudi kipindi cha bunge la katiba mpya

Kuwa Na Mawazo binafsi Ni Unafiki ?

Shivji Yeye anaamini katika Serikal mbili Na akawa anajenga hoja Kwa Kile anachoamini Kwa njia Za mjadala anaitwa Mnafiki

Inawezekana neno Mnafiki kuna watu wanapenda kulitumia ila hawajui maana yake halisi
 
Je kuhuzunika vyanzo vya ajali ni kutumia ajali ya MV Nyerere kama mtaji wa kisiasa ?

Nani anaainisha nini ni mtaji wa kisiasa na nini huzuni/hasira/fikira za kawaida za wananchi wa kawaida,hili ni janga la kitaifa.Taifa lina haki ya kuzungumzia .Ndio uzalendo wenyeweView attachment 875706
umenena vyema shivj! binfsi siguswi na msiba huu kwa kuwa kuna mtu aliongea upuuzi wake. hajui kiswahili. hajui pia mpamgilio wa maneno. aghj
 
Taifa limeshapotea na linazama.Mgawanyiko ni mkubwa mnooo.Na chanzo ni kutokuwepo Kwa HAKI,HESHIMA kwa WATU, DHULUMA n.k
Hujamalizia "waTz msipodai katiba mpya mtapata taabu sana"
 
Kuwa Na Mawazo binafsi Ni Unafiki ?

Shivji Yeye anaamini katika Serikal mbili Na akawa anajenga hoja Kwa Kile anachoamini Kwa njia Za mjadala anaitwa Mnafiki

Inawezekana neno Mnafiki kuna watu wanapenda kulitumia ila hawajui maana yake halisi
Kumbe mnajua kuwa na mawazo tofauti siyo unafiki, sasa inakuwaje kina Lissu, Zitto muwashambulie wakiwa tofauti na rais.
 
Msiwatafutie wajukuu zenu laana nyiye. Sasa we babu, utapigwa kofi au fimbo? Tulia uliko uendelee kucheza na vitukuu acha mengine wafanye wengine.
Wew ndo akuachie yy akae pembeni?ebu jiandae upya kwa miaka kama mi5 hv
 
Kumbe mnajua kuwa na mawazo tofauti siyo unafiki, sasa inakuwaje kina Lissu, Zitto muwashambulie wakiwa tofauti na rais.

Kula tano mwanangu kwa kumpa huyo robot kitu chenye ncha kali.
 
Inavyoonekana sasa ni kwamba serikali ipo kwenye 'mode' ya kujihami kwa kila jambo linalotokea. Imekuwa kama wana 'guilty conscious' ya aina fulani. Sijui ni kitu gani kinawafanya wawe na hisia za kuwa 'insecure' kwa kiasi hiki.

Na kadri wanavyozidi kuwa irrational' ndio kadri watu wanavyoona udhaifu mkubwa walionao.
 
Back
Top Bottom