Israeli-long live

Status
Not open for further replies.
Ndiyo.Mwenye hazina ya watu wanaofikiri ndiye mwenye nguvu...

Israel hawana lolote. Wanasaidiwa na Marekani. Na bila ya Marekani kuna uwezekano mkubwa sana wangekuwa wameshafutwa katika ramani ya dunia.

Mnakapamba tu hako kanchi kwa sababu za kidini. Ni kichekesho kikubwa mtu kudai eti Israel ndiyo super power pekee hapa duniani.
 
Lakini naweza kukusaidia kitu kimoja japo kikusaidie kukufumgua,hebu toa orodha ya matajiri wakubwa wa marekani au wavumbuzi 10 tu then tafuta asili yao,labda itasaidia kukufungua uelewa kwenye hii falsafa ya Israel-Amerika Vice versa

Sasa kama Israel ndiyo taifa pekee lenye nguvu hapa duniani iweje wapewe misaada na Marekani? Iweje hata kwenye G8 hawapo? Hata permanent seats UN security council hawana?

Hawana lolote hao Waisrel. Bila Marekani kuwabeba hawana chao.
 
Marekani karibu yote ni wahamiaji. Hata wale walioandika Bill of Rights walikuwa wahamiaji. Ni nani Marekani asiye mhamiaji?

Lakini ukweli ni kwamba Israel mbele ya Marekani hakuna kitu. Israel siyo superpower. Israel siyo tajiri kama Marekani. Hata ukiangalia orodha ya nchi tajiri duniani Israel katika 10 na 20 haipo.

Sasa sijui tunachobishania ni nini wakati ni ukweli usiopingika kuwa Marekani ndiyo superpower pekee iliyobaki duniani.
............. kama walivyo, ni wepesi wa kupokea mapambio kuliko ku reason !
 
Sasa kama Israel ndiyo taifa pekee lenye nguvu hapa duniani iweje wapewe misaada na Marekani? Iweje hata kwenye G8 hawapo? Hata permanent seats UN security council hawana?

Hawana lolote hao Waisrel. Bila Marekani kuwabeba hawana chao.
NN hao wamarekani wanaowabeba wana asili ya kiyahudi ni kama wewe kuisaidia tanzania. Mkampuni mengi makubwa marekani yanamilikiwa/yalianzishwa na wayahudi. Kumbuka kuwa myahudi hata awe na uraia wa wapi bado ni myahudi (uyahudi kwanza then uraia).

Ngoja nikupe mfano wa makampuni ambayo yalianzishwa/yanamilikiwa na hawa jamaa; amazon, google, facebook, time warner, FOX, time magazine, ORACLE n.k

Kitu kikubwa kinacho wafanya hawa jamaa wawe bright ni early education, huanza kuwafundisha watoto wao kusoma /kuhesabu/kuandika wakati bado ni matoddler. Sasa kama katoto kanajua kusoma kakiwa na miaka miwili/mitatu teyari anakuwa ameshawapiga bao wenzake wanaoanza kujifunza hayo mambo wakiwa first grade.
 
Hivi na wale founding fathers walikuwa Waisraeli eeh? Na kumbe miaka yote hii nimekuwa nikidanganyika kuwa Marekani ndiyo superpower, ndiyo nchi tajiri yenye ushawishi dunia nzima kumbe wapi bana! Israel ndiyo super power, ndiyo taifa lenye nguvu zote, za kijeshi na kiuchumi. Asante kwa darasa lako. Sitadanganyika tena.
 
NN hao wamarekani wanaowabeba wana asili ya kiyahudi ni kama wewe kuisaidia tanzania. Mkampuni mengi makubwa marekani yanamilikiwa/yalianzishwa na wayahudi. Kumbuka kuwa myahudi hata awe na uraia wa wapi bado ni myahudi (uyahudi kwanza then uraia).

Ngoja nikupe mfano wa makampuni ambayo yalianzishwa/yanamilikiwa na hawa jamaa; amazon, google, facebook, time warner, FOX, time magazine, ORACLE n.k

Kitu kikubwa kinacho wafanya hawa jamaa wawe bright ni early education, huanza kuwafundisha watoto wao kusoma /kuhesabu/kuandika wakati bado ni matoddler. Sasa kama katoto kanajua kusoma kakiwa na miaka miwili/mitatu teyari anakuwa ameshawapiga bao wenzake wanaoanza kujifunza hayo mambo wakiwa first grade.

................... naona unajuta kuzaliwa Mmatumbi ! :laugh:
 
Hata wanasayansi nguli wa RUSSIA na UJERUMAN wana asili ya ISRAEL 'where a true God live'
 
Hivi na wale founding fathers walikuwa Waisraeli eeh?
Wakati wa founding fathers Marekani haikuwa supa pawa.

Na kumbe miaka yote hii nimekuwa nikidanganyika kuwa Marekani ndiyo superpower, ndiyo nchi tajiri yenye ushawishi dunia nzima kumbe wapi bana! Israel ndiyo super power, ndiyo taifa lenye nguvu zote, za kijeshi na kiuchumi. Asante kwa darasa lako. Sitadanganyika tena.

Kuhusu waisrael na marekani naweza kufupisha kwa maneno ya John D. Rockefeller kuwa they (isreal) "own nothing (superpower) but control everything (US)".

................... naona unajuta kuzaliwa Mmatumbi ! :laugh:

Ha haha naupenda umatumbi we acha tuu, no sun burn, stupid allergies or some shit like that
 
Wakati wa founding fathers Marekani haikuwa supa pawa.

Kuhusu waisrael na marekani naweza kufupisha kwa maneno ya John D. Rockefeller kuwa they (isreal) "own nothing (superpower) but control everything (US)".

Ooh haya basi sitadanganyika tena. Israel iko juu. Sasa itabidi nihamishe makazi. Marekani hakuhusiki tena. Na ulikuwa wapi kuniambia siku zote hizi bana?
 
Hakuna ardhi kule israel wewe endelea kujimwaga tuu kwenye big country, big cars, big houses, big women (lol), big ol US of A
 
Sasa kama Israel ndo kwenye kwa nini niendelee kuwa Nyamwezi bana? Naondoka mimi.
 
Nakuelewa sana na jinsi unavyotaka kunibana na hoja yako ila we piga tu box ila ujue jamaa wana-control uchumi

Sasa huo uchumi wanaukontrolia wapi? Si huko huko kwao...wewe nshakustukia wewe. Unataka kunibania ili ufaudu mwenyewe. Sidanganyiki na sasa mimi nakwenda huko Israel tukabanane huko huko. Kwanza kwani huko hakuna box? Kama wao wanaukontroo uchumi basi hata box lao litakuwa baab kubwa. Acha ubanizi bana.
 
NN hao wamarekani wanaowabeba wana asili ya kiyahudi ni kama wewe kuisaidia tanzania. Mkampuni mengi makubwa marekani yanamilikiwa/yalianzishwa na wayahudi. Kumbuka kuwa myahudi hata awe na uraia wa wapi bado ni myahudi (uyahudi kwanza then uraia).

Ngoja nikupe mfano wa makampuni ambayo yalianzishwa/yanamilikiwa na hawa jamaa; amazon, google, facebook, time warner, FOX, time magazine, ORACLE n.k

Kitu kikubwa kinacho wafanya hawa jamaa wawe bright ni early education, huanza kuwafundisha watoto wao kusoma /kuhesabu/kuandika wakati bado ni matoddler. Sasa kama katoto kanajua kusoma kakiwa na miaka miwili/mitatu teyari anakuwa ameshawapiga bao wenzake wanaoanza kujifunza hayo mambo wakiwa first grade.

Hiyo list ya makampuni yaliyoanzishwa/yanayomilikiwa na Wayahudi ni ndefu usipime....pia ipo facebook....list goes on

Kumbuka hata Prime Minister wa Israel wa sasa ni graduate wa MIT!
 
Hao bila Marekani hawana lolote!

Umesema kinyume!, Marekani bila waisrael haina lolote. wakiondoa mitaji yao na kufunga ofisi zao zilizoko marekani, marekani itakua kama butu kama urusi. Jeuri yote ya marekani ni waisrael ndio maana wanawaheshimu na kuwaogopa sana
 
Mi nawakubali sana waisrael!, kiburi chao (CCM) kuvunja ubarozi nao (waisrael) kinatuponza (watanzania). laana inatutafuna

MUNGU IBARIKI ISRAEL, MUNGU tuondolee laana hii ya umaskini wa fikra
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom