Israeli-long live

Status
Not open for further replies.
Blood suckers. They have bunckrupted AmericaThey the source of all ills in this world. They supported the apartheid regime to suppress and kill our fellow Africans who we were supporting in their war of liberation and yet you praise them - African mind is ill .
............ wamepumbazwa na propaganda, wana macho lakini hawaoni wana maskio lakini hawasikii, wana akili lakini hazishiki kitu! ........................ wanashabikia "Taifa Teule la Mungu" lililomuua Mungu ili aokoe ulimwengu kwa kifo chake ! (sasa sijui kwa nini wengine wanateseka na kuteswa ?)
 
Hao bila Marekani hawana lolote!

Kaka, this is not entirely true! Hawa watu wamewekeza sana kwenye elimu na unaona watoa scientific papers nyingi kuliko nchi yeyote. Je hata hili wamesaidiwa na wamarekani? wamarekani wenyewe wanahaha kutaka kuboresha elimu yao(rejea speech ya Obama ya January-State of the Union), watawezaje kuwasaidia waisrael? Hii ni jamii ya wavumbuzi, uvumbuzi umekuwa sehemu ya maisha yao. Lakini nakubaliana nawe kwamba wanasaidiwa sana kijeshi na USA-ambayo nayo iko kwa maslahi ya USA maana itakuwa ngumu sana kwao ku-control (mafuta+soko)Middle East bila Israel.
 
Blood suckers. They have bunckrupted AmericaThey the source of all ills in this world. They supported the apartheid regime to suppress and kill our fellow Africans who we were supporting in their war of liberation and yet you praise them - African mind is ill .

Call it survival of the fittest! Unfortunately, we Africans have always been losers-Yesterday, today and (God forbid!) tommorrow
 
Taifa teule ilo ukilibariki unapata baraka na kuliaani nawe unalaaniwa!
Ivi si waje tz tuwape ata kamkoa kamoja nasi tutoke kama wao.
Manake ukiwa karibu na tajiri lazima nawe uambulie zile chenji
Alafu ongezea israel is the only nation that can make decision contraly to UN resolution and go unpurnished leave along uk and usa.
Wana maamuzi ya kiume sana hawa jamaa hamna blaa blaa!
Laiti Hitler asinge wapunguza in the 1940's naona kila kona ya dunia wangekuwa wao

Ila ingekua bomba kama wangeacha maramoja kuwatesa wenzao wa Palestine.
Hilo ndio doa walilonalo tu!
 
Vipi Meremeta na Kahama ingekuwa Israel ?!
Ukifuatilia utajua Almasi zinaenda wapi viwanda vya kung'arisha na kuweka nakshi vipo tel aviv israel so kahama na mwadui na kwingineko ni mashamba ya israel
 
kuna watu wengine likitajwa jina ISRAIL basi hupagawa...ni haki yao ila mimi hutimazama zaidi hali halisi kuliko ushabiki.
wengine hata hijidharaulisha mbele yao , kwa nini wao ni taifa teule ?? sisi weusi sio teule ? hata rangi yetu ni peke yetu duniani ama si kweli ? kweli dunia ina mambo ....
mi naona kuna moja tu ndugu zangu wa kikristo walifahamu ....hawa wayahudi ni adui namba moja wa wakristo ila kwa sasa wanajificha nyuma ya pazia lao kwa manufaa yao.
jaribu kusoma thamani ya YESU kwenye uyahudi ndipo utajua wao ni nani .............
 
Matthew 1:23 - "Behold, the virgin shall be with child, and bear a Son, and they shall call His name Immanuel," which is translated, "God with us"
2 Peter 1:1
(Jesus is the Redeemer) - "To those who have obtained like precious faith with us by the righteousness of our God and Savior Jesus Christ"

Isaiah 9:6 -
For unto us a Child is born, Unto us a Son is given; And the government will be upon His shoulder. And His name will be called Wonderful, Counselor, Mighty God, Everlasting Father, Prince of Peace

Isaiah 44:24
- (God created the world by His self alone)
John 1:3; Colossians 1:16 - (Jesus made all things)

John 5:17,18
-
"My Father has been working until now, and I have been working." Therefore the Jews sought to kill Him, because He not only broke the Sabbath, but also said that God was His Father, making Himself equal with God.
John 8:24 - "Therefore I said to you that you will die in your sins; for if you do not believe that I AM He, you will die in your sins.

John 10:30-33 - Jesus answered them, "I and My Father are one." Then the Jews took up stones again to stone Him. Jesus answered them, "Many good works I have shown you from My Father. For which of those works do you stone Me?" The Jews answered Him, saying, "For a good work we do not stone You, but for blasphemy, and because You, being a Man, make Yourself God.
John 14:9-11 -
Jesus said to him, "Have I been with you so long and yet you have not known Me, Philip? He who has seen Me has seen the Father; so how can you say, 'Show us the Father'?"
John 20:28 - And Thomas answered and said to Him, "My Lord and my God!"

........ Hawa jamaa walimuua Mungu !
(Isaiah 7:14)
Therefore the Lord himself will give you a sign the virgin will be with child and will give birth to a son and will call him Immanuel.(Matthew 1:22)
All this took place to fulfill what the Lord had said through the prophet: "The virgin will be with child and will give birth to a son, and they will call him Immanuel" - which means, "God with us."
 
Vipi Marekani Bila Israel ?

Marekani ilishakuwa Marekani kabla hata Israel haijawa Israel. Marekani ni Marekani tokea 1776. Israel taifa la juzi tu hapa, 1947.

Israel huwezi ukailinganisha na THE UNITED STATES OF AMERICA. THE UNITED STATES OF AMERICA is on it's own level.
 
ooooh ! hivyo hawakumua Mungu ! au emeandikwaje kwenye kitabu ?
walimuua Mwana wa Mungu (si Mungu) ambaye ni njia na uzima, yeyote haendi kwa baba yake bila kupitia kwake......walimkana mwana wa Mungu.....hivyo uteule wao ulikwisha.... kwa sasa wakimkili Yesu kama mtu mmoja mmoja basi huyo mtu ataokolewa.....
kuwa muisrael hakukufanyi kupata uokovu au kibali cha Muumba.....wanahitaji kumkili Yesu kuwa bwana na muokozi na kutubu kama wanavyofanya watu wa mataifa mengine...
 
Ukifuatilia utajua Almasi zinaenda wapi viwanda vya kung'arisha na kuweka nakshi vipo tel aviv israel so kahama na mwadui na kwingineko ni mashamba ya israel

........................ oooh ! kumbe ! ................ ndio maana tumebakia na mashimo na lawama za wenyewe kwa wenyewe ! ............. daah ! kumbe yale maendeleo yote hii almasi na dhahamu imechangia eeeh ! so mrahaba wa 3% ni upendeleo na huruma yao eeehn !
............ Yaaani kuanzia sasa simuulizi Ngeleja Kitu !!
 
walimuua Mwana wa Mungu (si Mungu) ambaye ni njia na uzima, yeyote haendi kwa baba yake bila kupitia kwake......walimkana mwana wa Mungu.....hivyo uteule wao ulikwisha.... kwa sasa wakimkili Yesu kama mtu mmoja mmoja basi huyo mtu ataokolewa.....
kuwa muisrael hakukufanyi kupata uokovu au kibali cha Muumba.....
wanahitaji kumkili Yesu kuwa bwana na muokozi na kutubu kama wanavyofanya watu wa mataifa mengine...
............Sasa huoni kuwa wao Wamefanya kazi nzuri ya ''kumuua Mungu" ili watu wakiri na kutubu kisha wokovu upatikane ! ...................... wana haja gani ya kutubu wakati wamefanya kazi iliyo tukuka ............ yaaani '' kumuua Mungu"
 
............ wamepumbazwa na propaganda, wana macho lakini hawaoni wana maskio lakini hawasikii, wana akili lakini hazishiki kitu! ........................ wanashabikia "Taifa Teule la Mungu" lililomuua Mungu ili aokoe ulimwengu kwa kifo chake ! (sasa sijui kwa nini wengine wanateseka na kuteswa ?)

Unawashwa sana na Yizrael?
 
............Sasa huoni kuwa wao Wamefanya kazi nzuri ya ''kumuua Mungu" ili watu wakiri na kutubu kisha wokovu upatikane ! ...................... wana haja gani ya kutubu wakati wamefanya kazi iliyo tukuka ............ yaaani '' kumuua Mungu"

Astakafulah, yaani weye unakiri kuwa Yesu ni Mungu? Astakafulah, ni kolani gani wasoma weye?
 
Halafu , huwezi kuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa kama nchi yako haina uhusiano wa kibalozi na Israel!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom