Israeli-long live

Status
Not open for further replies.
Mwaka 1967 katika vita Israel vs Egypt. Israel ilkuwa kila ikiteka askari wengi wa misri ilikuwa inawachiaga wengi tuu warudi kwao. Basi misri ikawa inatamba kuwa , Israel inawaachia Majenerali , mabrigadi na askari wengi wa vyeo vya juu bila kujua. Kwa sabau skari wa misri walikuwa wanajidisguise katika unifomu za makuruta.

Basi Israel kwa uwezo wao wa kufiki, ilkuwa kila ikiwakama askari wa ki misri ilikuwa inawavua nguo zao zote na kuwaacha wabakie na chupi tuu. sasa wale wote waliokuwa na chupi za polyista walikuwa ni maofisa wa ngazi za juu hivyo walikuwa wanawekwa pembeni. Na wale wote wenye chupi za cotton walikuwa makuruta hivyo walikuwa wanachiwa warudi kwao! Unaona jinsi jamaa walivyo kuwa wanajua kufikiri katika mazingira magumu!
 
Vita ya Kagera, Askari wa Tanzania walikua wakikamata mateka wanawaachia, hasa wale Askari wa kukodiwa. Walikua wanaangalia "Nywele" wakiona kipilipili unakaa upande mmoja, wakiona una nywele laini, wanajua huyu ni askari wa kukodiwa toka Libya, basi Nyerere anawarudisha Libya, hivyo tuuu ! Yaani Nyerere alikuwa na uwezo wa kufikiria katika mazingira rahisi tuu ! tehe tehee tihii !
 
Pretty self-explanatory...."Palestine​" is not a recognized state or country. They have no official language, no official government that's not considered a terrorist organization, no currency, no founder, no flag (except the one they stole and altered from Jordan), and no previous leaders prior to Arafat. They are occupying the land of Gaza, Judea and Samaria out of the kindness of Israels heart.
 
✡(¯`´•.¸(¯`´•.¸ ________ღ✡ღ_________ ¸.•´´¯)¸.•´´¯)✡
..✡ שבת שלום ✡♥ ✡ I LOVE ISRAEL ✡ ♥ ✡ Shabbat Shalom✡
✡(_¸.•´´(_¸.•´´ ¯¯¯¯¯¯¯¯ღ✡ღ¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ´ •.¸_) ´´•.¸_)✡
 
Ally Kombo angalia kidogo 'Raid on Entebbe' uone jamaa walivyomakini
 
<br />
<br />
Bila wao marekani hawana lolote.

Marekani imekuwa Marekani tokea 1776!

So by any measure Israel is not the UNITED STATES OF AMERICA. Y'all just overrate it for whatever reasons but they are not a superpower that THE UNITED STATES OF AMERICA is.
 
He is in NYC what do you expect, alete ukichaa wa middle east. Hapa hatuna huo ukichaa. Shukuruni Mungu amesha anza kuwabadilisha just because yupo USA. God bless America

Mkuu Genesis

Kwa nini hukutumia neno "tushukuru"?
God bless the world and Tanzania.
 
Pretty self-explanatory...."Palestine&#8203;" is not a recognized state or country. They have no official language, no official government that's not considered a terrorist organization, no currency, no founder, no flag (except the one they stole and altered from Jordan), and no previous leaders prior to Arafat. They are occupying the land of Gaza, Judea and Samaria out of the kindness of Israels heart.

Ndugu Jew

Israel hii inayojulikana leo iliundwa 1948 au?
Nani aliiunda na nani alisaidia kuundwa kwake?

Na hawa wanaelekea huku kutaka kuunda taifa lao. Palestinian Independence: UN Security Council Will Be Asked To Recognize Statehood Bid

Wakikubali kuwa banadamu ni sawa na wana haki zao basi wataishi kwa amani kama Kenya wanavyoishi kwa ujirani mwema na Tanzania.
 
Status
Not open for further replies.
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom