Kumbuka Waarabu au Waislamu siyo target yao kuwaua au kugombana na Israel. Ukienda kwenye historia, Majews walikuwa pamoja na Waislamu ktk kila nyanja. Roman Catholic walipokuwa wanataka kuivamia MidEast, Waislamu waliwalinda Mayahudi.
Mayahudi walifukuzwa Ulaya miaka mingi sana kabla ya Hitler, Na unajua walikuwa wanaishi ktk hizo nchi za Kiarabu-Kiislamu. Mimi ninawajua Mayahudi wengi ambao ni watu wazima na watakuambia Waislamu na Wayahudi walikuwa wanaishi kwa amani kwa miaka mingi sana.
Huu ugomvi ulianza 1942 baada ya Hitler kuanza kuwaua na kuwatimua Europe. Hapo ndipo ilipoanzishwa so called "Israel"
Unajua kwanini kuna watu ktk Israel au Marekani ambao hawataki amani? Jibu- misaada. Iwapo kutakuwa na amani na nchi za Kiarabu-Kiislamu basi misaada itaanza kupungua kwa sababu kutakuwa hakuna motivation kama sasa hivi.