i lv u israel
........ Hawa jamaa walimuua Mungu !
................ kumbe wamemuonea Osama buree ! Dhulma iliyoje !? watu wa Mungu nao hufanya Dhulma na uongo ?aaah yale si waliyateremsha wao wenyewe yale madege ilikuwa ni danganya toto tuu.
Mungu wako na wa Waisrael ni sawa au wako tofauti ??Praise the god of israel
Watoto wa Mungu waliomuua Mungu wa Wakristo !God bless israel
What they will not tell you is majority of christians in Israel are Arabs and close to 35 % of Palestinians are christians.
Israel is the only country in the Middle East where the Christian population has grown over the last 50 years.
Israel is the only country in the Middle East where Christians, Muslims and Jews are all free to vote.
Israel is the only country in the Middle East where women enjoy full political rights.
<br />Tatizo la waarabu wana mafuta lakini ni malofa kama yule lodi lofa
<br />............ wamepumbazwa na propaganda, wana macho lakini hawaoni wana maskio lakini hawasikii, wana akili lakini hazishiki kitu! ........................ wanashabikia "Taifa Teule la Mungu" lililomuua Mungu ili aokoe ulimwengu kwa kifo chake ! (sasa sijui kwa nini wengine wanateseka na kuteswa ?)
Hao bila Marekani hawana lolote!
................ kumbe wamemuonea Osama buree ! Dhulma iliyoje !? watu wa Mungu nao hufanya Dhulma na uongo ?
Umeongea kinyume mkuu!!! Marekani bila Israel hawana lolote!!!! Hivi unajua waisrael wa Marekani ni asilimia ngapi ya total American Population? Then linganisha na proportion ya utajiri wanaomiliki kule Marekani.... Halafu linganisha na huyo utumbo wako ulioandika!!!!
Marekani ilishakuwa Marekani kabla hata Israel haijawa Israel. Marekani ni Marekani tokea 1776. Israel taifa la juzi tu hapa, 1947.
Israel huwezi ukailinganisha na THE UNITED STATES OF AMERICA. THE UNITED STATES OF AMERICA is on it's own level.
Hapa tunahaja ya kuwa na tafsiri kubwa ya namna tunavyoiweka Amerika kimstakabali wa mjadala huu,issue ni who owns what in Amerika,kuna mchanganyiko mhubwa sana wa wahamiaji Amerika.Kumbuka falsafa ya 20/80. Hiyo 20 ni mayahudi walioko Amerika katika kila nyanja.hivyo kusema Amerika ipo kabla ya Israel kunakuwa na mapungufu...Kwa kiwango kikubwa Mafanikio ya Amerika yanatoka na Wayahudi katika nyanja nyingi sana.Ukweli utasimama,maelekani kuisadia Israel kwa kiwango kikubwa ni kujisaidia yenyewe
Marekani karibu yote ni wahamiaji. Hata wale walioandika Bill of Rights walikuwa wahamiaji. Ni nani Marekani asiye mhamiaji?
Lakini ukweli ni kwamba Israel mbele ya Marekani hakuna kitu. Israel siyo superpower. Israel siyo tajiri kama Marekani. Hata ukiangalia orodha ya nchi tajiri duniani Israel katika 10 na 20 haipo.
Sasa sijui tunachobishania ni nini wakati ni ukweli usiopingika kuwa Marekani ndiyo superpower pekee iliyobaki duniani.
Nini kinafanya taifa kuwa super power ? Simple,ni kuwa ni watu wenye uwezo wa kufikiri na kutenda mambo kwa uhakika, kuwa na idadi ya kutosha ya magenius...
Nashindwa kuelewa ukisema Marekani ni super power,then ina wahamiaji wengi, unashindwa kujua kuwa kati ya hao wahamiaji wengi waliopo huko Amerika kuna idadi ndogo ya Wayahudi wanaofanya idadi kubwa ya Magenius waliopo America huku wao kwa sababu ya uwezo wao wamekuwa ndiyo mastermind wa mipango yote ya Amerika.Tatizo liko wapi ? Wayahudi ni taifa paopote alipo hata kama ni mtu mmoja wanajielewa na wanajitambua. Kwa uwezo wao kiuchumi ndani ya Amerika na ushirikiano wao na Israel inakuwa vigumu kutenga wao na taifa lao dogo la Israel.
Kwa hiyo katika akili yako Israel ndiyo taifa lenye nguvu, kila aina ya nguvu kuliko mataifa yote hapa duniani, ndiyo au hapana?
Marekani karibu yote ni wahamiaji. Hata wale walioandika Bill of Rights walikuwa wahamiaji. Ni nani Marekani asiye mhamiaji?
Lakini ukweli ni kwamba Israel mbele ya Marekani hakuna kitu. Israel siyo superpower. Israel siyo tajiri kama Marekani. Hata ukiangalia orodha ya nchi tajiri duniani Israel katika 10 na 20 haipo.
Sasa sijui tunachobishania ni nini wakati ni ukweli usiopingika kuwa Marekani ndiyo superpower pekee iliyobaki duniani.
<br />............ mna dhahabu na uranium na gesi na makaa ya mawe na...................... lakini hata hela ya kula na panadol hamna ?!