Israel yaiomba Hamas iwaoneshe kwanza orodha ya mateka waliobaki nao hai kabla hawajatia saini

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,920
Hamas iliyokuwa ikisubiriwa itoe majibu juu ya mkataba wa kusitisha vita hatimae wamekubali kwenda Misri kumalizia majadiliano ya mkataba huo.

Huku Hamas na wapatanishi wengine wakiwa wameshawasili Cairo,ghafla Israel imeomba wachungulie orodha ya Hamas ya mateka iliyobaki nao na ambao wakao hai.

Vyombo vya habari vya Israel vimelalamika kuwa Hamas nao wamekataa kuonesha orodha hiyo kabla ya muda wa kikao hicho cha upatanishi.

Ombi hilo la Israel lina maana nyingi na kubwa zaidi ni kuwa nchi hiyo imekata tamaa juu ya kufikia malengo yake ya kivita iliyojiwekea kwa njia walizochagua.

Maana nyengine ni kuzidi kunywea kwa ubabe wa Israel baada ya takriban miezi mitano ya vita.

Israel-Gaza war: Israel demands names of hostages still alive for deal on new ceasefire

Labda sijaelewa. Kwamba Israel wamekutana na moto wa Hamas au?
Mimi nilivyofahamu wamekutana na moto wa kifuu wa hamas,
Kama huujui moto wa kifuu nenda kule kwetu uulize unakuwaje.
Kwa kukusaidia vifuu ukivichoma vinawaka kwa nguvu na kutoa moto mkali hali unazimika ukabaki jiivu.Jaribu kukanyaga utakutana na vibanzi ambavyo vinaungua pole pole na ukali ule ule.
 
Hamas iliyokuwa ikisubiriwa itoe majibu juu ya mkataba wa kusitisha vita hatimae wamekubali kwenda Misri kumalizia majadiliano ya mkataba huo.
Huku Hamas na wapatanishi wengine wakiwa wameshawasili Cairo,ghafla Israel imeomba wachungulie orodha ya Hamas ya mateka iliyobaki nao na ambao wakao hai.
Vyombo vya habari vya Israel vimelalamika kuwa Hamas nao wamekataa kuonesha orodha hiyo kabla ya muda wa kikao hicho cha upatanishi.
Ombi hilo la Israel lina maana nyingi na kubwa zaidi ni kuwa nchi hiyo imekata tamaa juu ya kufikia malengo yake ya kivita iliyojiwekea kwa njia walizochagua.
Maana nyengine ni kuzidi kunywea kwa ubabe wa Israel baada ya takriban miezi mitano ya vita.

Israel-Gaza war: Israel demands names of hostages still alive for deal on new ceasefire

Hatimae wameomba poo makafiri hao laanatullah a'alayhim
 
Wewe ni wawapi?

Wenzako katika imani wamekufa mpaka eneo la kuzika limeisha.

Na walisema vita hii itachukua muda mrefu.

Subiri uone maajabu ya mungu wa Israel
 
Hatimae wameomba poo makafiri hao laanatullah a'alayhim
Allah kumbe ndie Kafiri akiwa anaapa anapia kwa Nyota zile zinazoanguka Kuran 53:1
Pia Soma Aya 53:49 Allah ndie Mungu wa Wapagani waabudio Nyota Al-Shira

Tafsiri ya Ala-Maududi (Quran 53:49) that He is the Lord of Sirius, 44. Shiera is the brightest star in the heavens, which is also known by the names of Mirzam al-Jawza, al-Kalb al-Akbar, al-Kalb al-Jabbar, Ash-Shira al-Abur, etc. In English it is called Sirius, Dog Star and Canis Majoris. Allah ndie Mungu wa Wapagani Waislam ni wapagani nyie..

Kuran Kiswahili Abdullah & Nassir : Na kwamba Yeye ndiye Mola wa Al-Shi'ra, nayo ni Nyota inayong'ara ambayo baadhi ya watu wa zama za Ujinga walikuwa wakiiabudu badala ya Mwenyezi Mungu..

Tafsiri ya Barwani : Na kwamba hakika Yeye ndiye Mola Mlezi wa nyota ya Shii'ra.

Wanatafsiri Kuran wakijua wanaficha ukweli kumbe wanaharibu kabisa .. Quran ni Joke book nikijisikia kucheka huwa nasoma Quran.

Sasa Allah yeye ndie anaabudu so Allah ni Kafiri

Allahfu uwe na heshima watu wa kitabu ni Wayahudi na Wakriso mshaambiwa mkikwama au kuwa na shaka kwenye imani yenu mtuulize. Quran husomi wewe maana ukipinga unastahili uitwe kafiri

Wameomba PO.. Hamas kagoma kutoa List ya walio hai so deal is over kichapo kinaendelea hahahaha
 
Israel imetoa ultimatum Mpaka siku ya ramadan kwa mujibu wa Imani ya Hamas Kama mateka hawataachiwa Israel itachukua mateka Wapalestina wote walioweka kambi eneo la rafah wanaokaribia milioni 1 na nusu na kuangamiza bataloni
6 zilizobaki za hamas , tayari batalioni 18
zimeshaangamizwa.
 
Hamas iliyokuwa ikisubiriwa itoe majibu juu ya mkataba wa kusitisha vita hatimae wamekubali kwenda Misri kumalizia majadiliano ya mkataba huo.

Huku Hamas na wapatanishi wengine wakiwa wameshawasili Cairo,ghafla Israel imeomba wachungulie orodha ya Hamas ya mateka iliyobaki nao na ambao wakao hai.

Vyombo vya habari vya Israel vimelalamika kuwa Hamas nao wamekataa kuonesha orodha hiyo kabla ya muda wa kikao hicho cha upatanishi.

Ombi hilo la Israel lina maana nyingi na kubwa zaidi ni kuwa nchi hiyo imekata tamaa juu ya kufikia malengo yake ya kivita iliyojiwekea kwa njia walizochagua.

Maana nyengine ni kuzidi kunywea kwa ubabe wa Israel baada ya takriban miezi mitano ya vita.

Israel-Gaza war: Israel demands names of hostages still alive for deal on new ceasefire

Uchambuzi wa hovyo kabisa
 
Hamas wasiniangushe kwenye hili,wakileta janja za kishoga basi kipigwe kipigwe mpaka kipigwe tena
 
Nyie akili hamna,israel kutaka apewe orodha ya mateka hai ni kutaka kujiridhisha kama asimamishe mapigano au aendelee,hivyo kama hamas wamegoma kutoa orodha wa mateka hai(most probably hawapo) basi wamekubali waendelee kutandikwa,na watatandikwa kweli kweli.
 
Amka achakuota usije ukanya saa hz
Israel imetoa ultimatum Mpaka siku ya ramadan kwa mujibu wa Imani ya Hamas Kama mateka hawataachiwa Israel itachukua mateka Wapalestina wote walioweka kambi eneo la rafah wanaokaribia milioni 1 na nusu na kuangamiza bataloni
6 zilizobaki za hamas , tayari batalioni 18
zimeshaangamizwa.
 
Nyie akili hamna,israel kutaka apewe orodha ya mateka hai ni kutaka kujiridhisha kama asimamishe mapigano au aendelee,hivyo kama hamas wamegoma kutoa orodha wa mateka hai(most probably hawapo) basi wamekubali waendelee kutandikwa,na watatandikwa kweli kweli.
Kina nani hao wamekubali kutandikwa? Ulishawahi kuona maiti ya Hamas? Just think be4 u comment
 
Nyie akili hamna,israel kutaka apewe orodha ya mateka hai ni kutaka kujiridhisha kama asimamishe mapigano au aendelee,hivyo kama hamas wamegoma kutoa orodha wa mateka hai(most probably hawapo) basi wamekubali waendelee kutandikwa,na watatandikwa kweli kweli.
Screenshot_20230908-180902.png
 
We kweli Ku*duwazi.
Israeli toka wamesema hawaitaji mateka tena ila watagonga mpk kuku na nzi huko hukuelewa.
Rafael weekend yote ni kipigo Egyp hakuingiliki wala moroko.
We Nyau uko manzese hapo kwa mfuga mbwa unaongeaga nini?
Watu wanapigwa km nyau huko
 
Mkuu hata ubabe wa Israel ukiendelea kunywea, uharibifu ambao imefanya kwa Wapalestina hauna mfano! Yaani hata Hamasi wakiamua kurejesha mateka haina maana yo yote!
 
Nyie akili hamna,israel kutaka apewe orodha ya mateka hai ni kutaka kujiridhisha kama asimamishe mapigano au aendelee,hivyo kama hamas wamegoma kutoa orodha wa mateka hai(most probably hawapo) basi wamekubali waendelee kutandikwa,na watatandikwa kweli kweli.
hamas atandikwi kuwa na adabu...km ni hivyo isingefika miezi mitano
 
Back
Top Bottom