Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,017
- 9,885
Naomba kuuliza hivi huyu waziri hana wakuu wake kama raisi nan. KWaziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu jana ameliomba bunge la nchi hiyo kumpatia kinga, wiki kadhaa baada ya kiongozi huyo aliye kwenye shinikizo kushatakiwa kwa makosa kadhaa ya rushwa.
Netanyahu anayekabiliwa na kiwingu cha mashataka ya rushwa na mbinyo kutoka chama cha upinzani cha mrengo wa wastani amewaambia waandihi habari mjini Jerusalem kuwa kinga hiyo itamwezesha kuendelea kuitumikia Israel.
Ombi la kupatiwa kinga linatarajiwa kuchelewesha kwa miezi kadhaa kuanza kusikilizwa kwa kesi inayomkabili kwa sababau wabunge hawawezi kulipigia kura hadi baada ya uchaguzi mkuu wa mwezi Machi.
Netanyahu alishatakiwa na mwanasheria mkuu wa serikali Novemba iliyopita kwa makosa matatu tofauti yanayojumuisha rushwa, udanganyifu na kupoteza uaminifu.Kiongozi huyo wa chama cha mrengo wa kulia cha Likud mara kadhaa amekana kuwa na makosa kwenye kesi hiyo.
Wapo na yupo rais akishawahi kufungwa kwa kosa la kubaka.Hivi Israeli hawana rais maana sijawahi kumsikia
Basi watakua nakatiba ya ajabu sana maana sijawahi kusikia habari zake kabisa namabo yote naona anafanya waziri mkuu
Kuna baadhi ya nchi katiba yao inampa waziri mkuu nguvu kuliko rais.Basi watakua nakatiba ya ajabu sana maana sijawahi kusikia habari zake kabisa namabo yote naona anafanya waziri mkuu
Nilitaka kushangaa kwa nn usitesekeNilitaka kushangaa, huu Uzi Upite Bila wavaa Makobazi kutia neno
Na wanatamani hata kukunyofoa roho?Huku kwetu pamoja na kwamba IQ inawalakini tukiuliza maswala ya kodi zetu watu wanaanza kugeuka mbogo kwenye ofisi zilizojengwa na kodi zetu!
Basi watakua nakatiba ya ajabu sana maana sijawahi kusikia habari zake kabisa namabo yote naona anafanya waziri mkuu
Kumbe!Anataka kinga ili mashitaka yasifunguliwe,yakifunguliwa itabidi ajiuzuru uwaziri mkuu,mpaka kesi iishe. Means asipoomba kinga,hatoweza kugombea uchaguzi ujao.
Sent using Jamii Forums mobile app