USA na UK wataka Vita ya Gaza iistishwe kwa Sharti la Uwepo wa Mataifa Mawili, Netanyahu awakatalia asema mshindi lazima apatikane!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Waziri Mkuu wa Israel mh Netanyahu amesema kamwe Israel haitakubali Uwepo wa Mataifa Mawili

Malengo ya Vita ni kuifuta Hamas na kuokoa Mateka na lazima tufikie lengo hakuna wa kurudisha Nyuma, amesisitiza mh Netanyahu

Hata hivyo msimamo wa Netanyahu umewaudhi Sana Marekani na Uingereza

Source Al jazeera news
 
2 state sio suluhisho, ni mpuuzi pekee a Nafikiri hivyo.
Waarabu walianza kuattack/kuua wayahudi hata kabla Israel haijatambuliwa kitaifa, na madai ya uwongo kama Apartheid, occupation hayakuwepo.
 
Attachments

  • 20240121_111158.jpg
    20240121_111158.jpg
    97 KB · Views: 2
Wajinga Hao Taifa Linapigana Na Kikundi Cha Watu Tena Bado Linasaidiwa Na Marekani,linauwa Watoto Na Wanawake Badala Ya Kupigana Na Wanaume Wenzao Na Soon Inshallah Wayahud Watafutwa Kwenye Uso Wa Dunia Tubak Na Hawa Ndungu Zetu Wakristo Tuwasilimishe Tuingie Nao Peponi Tukainjoy Na Mabikra 72
 
Waarabu wameanza kuua wayahudi lini mwanahistoria kabla ya 1948 ?
Nimekuwekea kipande cha Gazeti la New York Times cha 3th August 1913 ila kwa hila zako umejifanya ukioni ili uniulize swali lenye mlengo unaoutaka wewe.
Sawa,
Wakati huo palestine ipo chini ya uingereza, wayahudi wanaishi kwenye jumuia ya vijiji. Hakukuwa na propaganda za Apathefaid, Occupation etc lakini waarabu walikuwa wanaua wayahudi kila siku..
Na wataendelea kufanya hivyo hata kama wayahudi watahamishiwa Amazon.
 
Attachments

  • 20240121_111202.jpg
    20240121_111202.jpg
    19 KB · Views: 2
Nimekuwekea kipande cha Gazeti la New York Times cha 3th August 1913 ila kwa hila zako umejifanya ukioni ili uniulize swali lenye mlengo unaoutaka wewe.
Sawa,
Wakati huo palestine ipo chini ya uingereza, wayahudi wanaishi kwenye jumuia ya vijiji. Hakukuwa na propaganda za Apathefaid, Occupation etc lakini waarabu walikuwa wanaua wayahudi kila siku..
Na wataendelea kufanya hivyo hata kama wayahudi watahamishiwa Amazon.
Hebu ambatanisha habari kamili hapa isomwe
 
Wajinga Hao Taifa Linapigana Na Kikundi Cha Watu Tena Bado Linasaidiwa Na Marekani,linauwa Watoto Na Wanawake Badala Ya Kupigana Na Wanaume Wenzao Na Soon Inshallah Wayahud Watafutwa Kwenye Uso Wa Dunia Tubak Na Hawa Ndungu Zetu Wakristo Tuwasilimishe Tuingie Nao Peponi Tukainjoy Na Mabikra 72
Kwa mawazo haya acha israel iwachakaze
 
Two states haiwezekani, labda one state. Walikubaliana, shida itakuwa kwenye mgawanyo wa miji hasa Jerusalem, Bethlehem, Nazareth, itaenda upande gani?
 
Wajinga Hao Taifa Linapigana Na Kikundi Cha Watu Tena Bado Linasaidiwa Na Marekani,linauwa Watoto Na Wanawake Badala Ya Kupigana Na Wanaume Wenzao Na Soon Inshallah Wayahud Watafutwa Kwenye Uso Wa Dunia Tubak Na Hawa Ndungu Zetu Wakristo Tuwasilimishe Tuingie Nao Peponi Tukainjoy Na Mabikra 72
Osha tacco ulale wewe kenger...
Utasubiri sana Wayahudi kufutwa
 
Back
Top Bottom