Wana Israel walikuwa waislam.na kila binadamu anatakiwa awe muislam.Islam ni neno la kiarabu lenye maana kujinyenyekeza au kujisalimisha kwa mungu mmoja.
Sasa basi turudi kwa musa na waisrael.
Musa alikuwa muislam akaja kuwafundisha wana Israel uislam.walimsumbua sana kiasi cha kwamba wengine walilaaniwa na mungu wakawa masokwe ilifikia mungu akaamua kuwekeana nao ahadi soma hizo aya
Wachache walimuamini musa na wengi hawakumuamini wakabaki na ibada zao za masanamu akaja yesu hivyo hivyo mpaka wakataka kumuua lakini hawakumuua.
Ndo akaja Muhammad ndo Leo unaona uislam upo huko Israel kwa kiasi hicho.swali kama unalo.