Israel opened masjid Ebrahim as

Israel opened masjid Ebrahim as

Islam ni dini ya kukopi na kuigaiga....kila siku mnapekua bible kutafuta vifungu vitakavyofanana na Quran. ......bila bible Quran haijakamilika.....haijitoshelezi!kwa sababu mtume wenu hakuweza kukopi yote yanayohusu wakristo&wayahudi
Wewe unafuata version gani ya Biblia, King James, New Version, Agape, Gidion, Agano la Kale, Jipya, yenye Vitabu 66 au 73 !? mlekulechoma
Meza dawa zako, usikatishe dozi !
 
HIVI HAO MANABII WALIKUWA WAISLAMU AU WAISRAELI???KAMA WALIKUWA WAISLAMU MBONA SASA WAYAHUDI NA WAISLAMU HAWAPATANI???MBONA MAISHA YAO YAKO ISRAEL NA SIO UARABUNI???MBONA KAMA KUNA UONGO NAUONA HAPA??
Mkuu soma vitabu vya MUNGU,...utaelewa...NABII IBRAHIM ndy kizazi cha NABII WAARABU kilipoanzia...IBRAHIM pamoja na MITUME yote waliopita walikuwa ni WAYAHUDI.kuanzia ADAM.NOEH.MUSSA...hadi kufika IBRAHIMU wote walikuwa wayahudi na walikuwa waislam...IBRAHIM alizaa watoto 2 ISMAIL ambaye alizaa na MJAKAZI WAKE(HAGRA) alikuwa ni MWARABU tena wa MISRI.....ndy kizazi cha MTUME kilipoanzia...na mtoto wa pili IS HAKA..alizaa na mkewe SARA ambaye alikuwa MYAHUDI ,na watoto wake wote WALIKUJA KUWA MITUME BAADAE.... kwann wayahudi hawawapendi waislam..ni kwamba baada ya MTUME IBRAHIM kukosa mtoto kwa miaka kadhaa,,,MKEWE akamshauri AMTWAE MJAKAZI wake HAGRA,...NDIPO kuzaliwa NABII ISMAIL....baadae walipita MALAIKA walikuwa wanatoka SODOMA na GOMOLA,,,wakamwambiya IBRAHIM mkeo bi SARA atapata UJAUZITO, ,,ndy akazaliwa IS HAKA,,baadaye bibi SARA akaanza WIVU..ikabidi MUNGU akamuamrisha IBRAHIM awatoe BIBI HAGRA na mwanawe ISMAIL...awapeleke JANGWANI ambako ni FALESTINE ndy kilichofanyika..na NABII IBRAHIM ndy aliyoujenga MSIKITI MKUBWA WA MAKHA ambao waislam tunakwenda kuhiji.hapo MAKHA ni pale alipoambiwa na MUNGU amchinje ISMAIL..amtoe SADAKA..ndipo MUNGU akambadikishia kumpa KONDOO INSTEAD OF ISMAIL.na huo msikiti uliofunguliwa na wayahudi ni ule msikiti ambao MTUME MUHAMAD(SAW)alianzia SAFARI YAKE YA KWENDA MBINGUNI kwa USIKU MMOJA NA KURUDI DUNIANI(tunaita safari ya MIRAJI)hivyo ni msikiti wenye HISTORIA KUBWA SN KWA WAISLAM..........SABABU INGINE ni baada ya VITA KUU YA DUNIA ,,,WAYAHUDI wengi walikimbilia MAREKANI ...hivyo basi HADI LEO wale WAYAHUDI walioko MAREKANI BADO WANAJIHESABU NI WAYAHUDI WAMAREKANI...ndy hao walioingia UPANDE WA PILI wakajiunga na wale wachache wa ISRAEL wakaanza CHUKI DHIDI YA WAISLAM...huo ndy USWAHIBA WA WAYAHUDI NA MAREKANI ,,,,, kama hutaki pia Mapovu ruksa....
 
Huo uislam wa kabla ya Muhammad ulishushwa kupitia nabii gani?
Tangu binadamu wa kwza wote ni WAISLAM..na dini zingine wwnalijuwa hilo...na ndy maana mtoto akizaliwa hawi MKRISTO hadi atiwe maji ya UKRISTO...hata kama mama na baba yake wote wakristo....ila MUISLAM hana haja ya kumtia maji mtoto sababu watoto wote wana dini ya asili ya BABA YETU ADAMU....mifano mnaona hiyo KABURI LA ABRAHAM....YUSUPH..JACOK....wote wamezikwa MSIKITINI....au umeona MSALABA HAPO?
 
Huwa siamini kabisa kuwa kitabu cha dini nyingine kinaweza kutumika kuondoa uhalali wa kitabu cha dini nyingine.

Ni vema kila dini ikahubiri kwa kitabu cha dini yake bila kuchokoa cha dini nyingine, kwani kuchokoa kitabu kisicho wahusu huo utakuwa ni wivu dhidi ya dini nyingine. Iwe kama matangazo ya biashara, wateja/wanadamu wataamua wafuate wapi kwa kila mmoja.
 
Alishushiwa kitabu kipi? Ibrahim alikuwa muislam? Alitumia kitabu kipi? Kati ya uislam na uyahudi ipi imekopi mwenzie?
Adam alikuwa na Kitabu, Ibrahim na manabii wote ! Sijui uelewa wako kuhusu Kitabu.
Dini moja tu, 'hakika dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislaam.
Nyingine ni uzushi, ndo maana zinatumia majina ya viongozi wao na makabila.
Katika Qur'an, Mwenyezi Mungu anatuambia amemuusia Muhammad Dini ile ile aliyomuusia Adam, Nuhu Ibrahim, Yesu, Musa na Manabii wote. Manabii wengine amemtajia/mjulisha na wengine hawajui !
Haya ni mafundisho ya Uislaam, na si kwa kupenda kwako au kukataa kwako, bali inabaki hivyo.
 
Tangu binadamu wa kwza wote ni WAISLAM..na dini zingine wwnalijuwa hilo...na ndy maana mtoto akizaliwa hawi MKRISTO hadi atiwe maji ya UKRISTO...hata kama mama na baba yake wote wakristo....ila MUISLAM hana haja ya kumtia maji mtoto sababu watoto wote wana dini ya asili ya BABA YETU ADAMU....mifano mnaona hiyo KABURI LA ABRAHAM....YUSUPH..JACOK....wote wamezikwa MSIKITINI....au umeona MSALABA HAPO?
Akikijibu nitag
 
Huwa siamini kabisa kuwa kitabu cha dini nyingine kinaweza kutumika kuondoa uhalali wa kitabu cha dini nyingine.

Ni vema kila dini ikahubiri kwa kitabu cha dini yake bila kuchokoa cha dini nyingine, kwani kuchokoa kitabu kisicho wahusu huo utakuwa ni wivu dhidi ya dini nyingine. Iwe kama matangazo ya biashara, wateja/wanadamu wataamua wafuate wapi kwa kila mmoja.
Binadamu anatabia ya kuogopa ukweli ! Haswa ukijua unachokifuata ni uongo. Mara nyingi watu wengi wanaoingia Uislaam baada kupoteza muda mwingi wakifuata mafundisho ya uongo, utaona wakibubujikwa na machozi.
 
Mkuu soma vitabu vya MUNGU,...utaelewa...NABII IBRAHIM ndy kizazi cha NABII WAARABU kilipoanzia...IBRAHIM pamoja na MITUME yote waliopita walikuwa ni WAYAHUDI.kuanzia ADAM.NOEH.MUSSA...hadi kufika IBRAHIMU wote walikuwa wayahudi na walikuwa waislam...IBRAHIM alizaa watoto 2 ISMAIL ambaye alizaa na MJAKAZI WAKE(HAGRA) alikuwa ni MWARABU tena wa MISRI.....ndy kizazi cha MTUME kilipoanzia...na mtoto wa pili IS HAKA..alizaa na mkewe SARA ambaye alikuwa MYAHUDI ,na watoto wake wote WALIKUJA KUWA MITUME BAADAE.... kwann wayahudi hawawapendi waislam..ni kwamba baada ya MTUME IBRAHIM kukosa mtoto kwa miaka kadhaa,,,MKEWE akamshauri AMTWAE MJAKAZI wake HAGRA,...NDIPO kuzaliwa NABII ISMAIL....baadae walipita MALAIKA walikuwa wanatoka SODOMA na GOMOLA,,,wakamwambiya IBRAHIM mkeo bi SARA atapata UJAUZITO, ,,ndy akazaliwa IS HAKA,,baadaye bibi SARA akaanza WIVU..ikabidi MUNGU akamuamrisha IBRAHIM awatoe BIBI HAGRA na mwanawe ISMAIL...awapeleke JANGWANI ambako ni FALESTINE ndy kilichofanyika..na NABII IBRAHIM ndy aliyoujenga MSIKITI MKUBWA WA MAKHA ambao waislam tunakwenda kuhiji.hapo MAKHA ni pale alipoambiwa na MUNGU amchinje ISMAIL..amtoe SADAKA..ndipo MUNGU akambadikishia kumpa KONDOO INSTEAD OF ISMAIL.na huo msikiti uliofunguliwa na wayahudi ni ule msikiti ambao MTUME MUHAMAD(SAW)alianzia SAFARI YAKE YA KWENDA MBINGUNI kwa USIKU MMOJA NA KURUDI DUNIANI(tunaita safari ya MIRAJI)hivyo ni msikiti wenye HISTORIA KUBWA SN KWA WAISLAM..........SABABU INGINE ni baada ya VITA KUU YA DUNIA ,,,WAYAHUDI wengi walikimbilia MAREKANI ...hivyo basi HADI LEO wale WAYAHUDI walioko MAREKANI BADO WANAJIHESABU NI WAYAHUDI WAMAREKANI...ndy hao walioingia UPANDE WA PILI wakajiunga na wale wachache wa ISRAEL wakaanza CHUKI DHIDI YA WAISLAM...huo ndy USWAHIBA WA WAYAHUDI NA MAREKANI ,,,,, kama hutaki pia Mapovu ruksa....
Upotoshaji mkubwa mno sjapata ona.....SARA ndiye alimshauri ibrahim azae na mfanyakazi na aliemchagua wa kuzaa naye ni SARA aliye mchagua binti huyo ,baada ya mtoto kuzaliwa mjakazi alianza kumdharau sara sana ,pia ismaili alikuwa hana adabu kwa sara,mungu alipomwambia sara atapata mtoto alicheka na kudhihaki ,ndipo yeye na mumewe badala ya kusubiri mpango wa mungu wakaja na suruhisho la kibinaadamu la dhambi kwa tamaa ya kuogopa mali zao nyingi atarithi nani ndipo sara akamchagua mjakazi wake wapate mtoto ambae kama ilivyo kawaida ya dhambi wakalijutia ndo kuleta kizazi cha waarabu ,siku zote mtoto wa nje ndo anamuonea wivu wa ndani na mungu huwa hafanyi mikataba na matokeo ya dhambi (waarabu) .
 
Alishushiwa kitabu kipi? Ibrahim alikuwa muislam? Alitumia kitabu kipi? Kati ya uislam na uyahudi ipi imekopi mwenzie?
Mitume iliyoshushiwa vitabu ni wanne tu....MUSSA(TORATI)INJILI(YESU) ZABURI(DAUDI) MUHAMAD(SAW) QURAIN na kati ya hao wote MUHAMMAD pekee ndy alikuwa MUARABU...hao wote waliopewa vitabu Ni wayahudi...... na kuna tofauti kati ya UISLAM na UYAHUDI..elewa UYAHUDI NI KABILA.....NA ISLAM ni DINI YA ALAH....
 
Afu zamani kulikuwa hakuna uislamu kulikuwa na mungu wa waisrael ,alieabudiwa na waisrael tuuu,uislamu ni neno alilolileta marioo mpenda vita mohamed
 
Mitume iliyoshushiwa vitabu ni wanne tu....MUSSA(TORATI)INJILI(YESU) ZABURI(DAUDI) MUHAMAD(SAW) QURAIN na kati ya hao wote MUHAMMAD pekee ndy alikuwa MUARABU...hao wote waliopewa vitabu Ni wayahudi...... na kuna tofauti kati ya UISLAM na UYAHUDI..elewa UYAHUDI NI KABILA.....NA ISLAM ni DINI YA ALAH....
mohamed hakuwa mtume
 
NI KICHEKESHO KUSEMA UISLAMU ULIKUWEPO WAKATI WA ADAMU,WAKATI HISTORIA INASEMA UISLAMU ULIANZA BAADA YA MOHAMAD AKIWA MWANZILISHI.WALE MANABII WOTE WALIKUWA WAEBRANIA AMBAO NDIO WAISRAELI WA SASA...
Ndugu sikia uislamu upo tangia baba yetu adam na mam yetu hawa kuletwa duniani sasa ivi leo kla mtume aliye kuja alikuja kuendeleza kazi ya mtume aliye mtangulia na ndomana mtume muhamad S.a.w akawa mtume wa mwisho kutokana hakna haja ya kuletwa mtume mwengne yy ndo alikuja kukamilisha dini ya allah .......na ukhsi dunia ya leo inahtj mtume siyo kweli ila wanadamu tunafel kutokana na kutokifuata kitabu kitukufu cha quran na Quran ndo muongozo wetu wa maisha maana kla ktu kimelezewa ktk Quran
 
mtu wa kwanza kutamka neno uislamu ni mohamed muasisi wa hiyo dini ya kujadili majini
 
Israel sio waislam acha kupotosha, ndo maana anawagonga waarabu na allah wao kwani sio Mungu, long live Israel the blessed holy country
Jama angu mambo mengne si lazma usome ni suala la kutuma ubongo wako tu ......ivi kuna nchi isiyo na muisilam au mkristo
 
mtu wa kwanza kutamka neno uislamu ni mohamed muasisi wa hiyo dini ya kujadili majini
Ok.sawa naona unafuata utashi wako sio mbaya na wala staki ushndan na mtu ambaye anakuja na pointless maana hata nitumie ujuzi wang hutoweza kukubal
 
Back
Top Bottom