Israel opened masjid Ebrahim as

Israel opened masjid Ebrahim as

Haukuanza kwa Muhammad bali ulianza tokea dunia kuumbwa kwa maana kila kilichojikubalisha na kujisalimisha kwa Mungu kilifuata Uislamu. Nabii Ibrahim sala na salam ziwe juu yake aliwakuta wazee wake na jamaa zake wakiabudu masanamu yeye aliyakataa na akajisalimisha mbele ya Mungu mmoja ambae hana mshirika hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hana mfano wake. Nuhu sala na salam ziwe juu yake aliwalingania jamaa zake waache kuabudia masanam na mizimu na vitu vyenginevyo na badala yake wamuabudu Mungu mmoja. Hivyo kila nabii aliyebeba dhana ya Mungu mmoja alikuwa ni muislam ila Nabii Muhammad yeye alikuja kukamilisha ujumbe wa Mungu kwa viumbe na baada ya yeye hakutakuwa na Mjumbe mwengine ambae atatumwa na Mungu mpaka dunia kumalizika.
Huo ni uyahudi uislam umekuja na Muhammad
 
Huo ni uyahudi uislam umekuja na Muhammad
Ibrahim hakuwahi kuwa Myahudi wala hakuwahi kuwa mkiristo bali alikuwa Muislam. Kama ukisoma kwa ufahamu utagundua maelezo yangu kuwa Uislam ndio dini ya Manabii wote
 
Tatizo wengi hawajui maana ya neno"Islam".Hapa ndo kiini cha tatizo.
Islam means kujisalimisha,Kunyenyekea,Kusiliku kwa Mwenyezi Mungu.Kuamini Mungu Mmoja ambaye hajazaa wala hajazaliwa(Hana mwana).

Wengi wanadhani Uislam ni race kitu ambacho si kweli.Mtu yeyote kutoka taifa lolote anaweza kuwa Muslim.Wengi mnachanganya kati ya Uislam na uarabu.Uislam haukuanza kwa Mtume Muhammad (s.a.w) bali ulikuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu kwa kuzingatia hiyo maana ya Islam hapo paragraph ya kwanza.Nitatoa na ushahidi kuthibitishà maandishi yangu.
ace6c47dcffba7269bd98cc9eee9c65c.jpg
View attachment 605324View attachment 605325View attachment 605326View attachment 605327View attachment 605328View attachment 605329View attachment 605330View attachment 605331
5209c4f262bde5aec6aa542302d3e41b.jpg
Screenshot_2017-10-09-19-37-45.png
 
mungu hajichanganyi hawezi deal na matokeo ya dhambi( ismail ) hakuwa kipenzi cha ibrahimu ila mungu alijaribu kujua nafsi ya mtumishi wake,ni wazi huwa tunawapenda watoto wa mke halali kuliko wa michepuko kama ismail
Nani aliyokwambiya IBRAHIM alilala na mchepuko?MTUME wa MUNGU si mzinifu kama wewe...kile kitendo tu cha MAKUBALIANO ya mke wa IBRAHIMU na mjakazi..wakakubaliana ni NDOA tosha...MTUME wa MUNGU hafanyi jambo bila AMRI toka kwa MUNGU...kama yule mtoto(ISMAIL) alikuwa sio HALALI,,,kwann MUNGU amhahalishe KUTOLEWE SADAKA?kwnn asisubiri IS HAKA azaliwe atolewe sadaka...na kama ni wa zinaa kwann apewe UTUME?hayo mambo ya ndoa hata sisi waislam ukitaka kuongeza mke wa pili unaomba IDHINI kwa mkeo..halafu unaoa...kama yaliyotokea kwa IBRAHIMU...vitu vingine havihitaji ELIMU KUBWA KUVIELEWA ,..
 
Ibrahim hakuwahi kuwa Myahudi wala hakuwahi kuwa mkiristo bali alikuwa Muislam. Kama ukisoma kwa ufahamu utagundua maelezo yangu kuwa Uislam ndio dini ya Manabii wote
Kwa ufahamu wangu uyahudi ndio baba wa ukristu na uislam
 
Nani aliyokwambiya IBRAHIM alilala na mchepuko?MTUME wa MUNGU si mzinifu kama wewe...kile kitendo tu cha MAKUBALIANO ya mke wa IBRAHIMU na mjakazi..wakakubaliana ni NDOA tosha...MTUME wa MUNGU hafanyi jambo bila AMRI toka kwa MUNGU...kama yule mtoto(ISMAIL) alikuwa sio HALALI,,,kwann MUNGU amhahalishe KUTOLEWE SADAKA?kwnn asisubiri IS HAKA azaliwe atolewe sadaka...na kama ni wa zinaa kwann apewe UTUME?hayo mambo ya ndoa hata sisi waislam ukitaka kuongeza mke wa pili unaomba IDHINI kwa mkeo..halafu unaoa...kama yaliyotokea kwa IBRAHIMU...vitu vingine havihitaji ELIMU KUBWA KUVIELEWA ,..
Isaka ndie alietolewa sadaka sio mtoto wa mjakazi
 
mungu hajichanganyi hawezi deal na matokeo ya dhambi( ismail ) hakuwa kipenzi cha ibrahimu ila mungu alijaribu kujua nafsi ya mtumishi wake,ni wazi huwa tunawapenda watoto wa mke halali kuliko wa michepuko kama ismail
Nyie mna laana, kwa hiyo Nabii wa Mwenyezi Mungu alikuwa mzinifu !?
Nabii Ibrahim ni miongoni mwa waja (watu) wema.
Ibada ya Hija ilianzishwa na Nabii lbrahim
 
Binadamu anatabia ya kuogopa ukweli ! Haswa ukijua unachokifuata ni uongo. Mara nyingi watu wengi wanaoingia Uislaam baada kupoteza muda mwingi wakifuata mafundisho ya uongo, utaona wakibubujikwa na machozi.
Hata wanaotoka uislam kuja ukristo huwa wanabubujikwa na machozi pia, nimeona na kushuhudia hivyo. Ndio maana nasema kila dini ikomae na kitabu chake ni sio kukionea wivu cha dini tofauti. Kama nina uhakika kitabu changu ni sahihi kwa nini nipoteze muda kushambulia dini nyingine!!?
 
HIVI HAO MANABII WALIKUWA WAISLAMU AU WAISRAELI???KAMA WALIKUWA WAISLAMU MBONA SASA WAYAHUDI NA WAISLAMU HAWAPATANI???MBONA MAISHA YAO YAKO ISRAEL NA SIO UARABUNI???MBONA KAMA KUNA UONGO NAUONA HAPA??
Israel hii, taifa la siku hizi si israel ile iliyozungumziwa katika vitabu vya dini, israel hii ni taifa liliundwa karne ya 20 hv, kasome historia yao..

Kama unaongelea waisrael wale wa kwenye vitabu, bani israel og kabisa basi ni kwamba manabii walikuwa wanaletwa sehem tofauti tofauti, kwahyo kuna manabii waarabu na kuna manabii waisrael pia.
 
NI KICHEKESHO KUSEMA UISLAMU ULIKUWEPO WAKATI WA ADAMU,WAKATI HISTORIA INASEMA UISLAMU ULIANZA BAADA YA MOHAMAD AKIWA MWANZILISHI.WALE MANABII WOTE WALIKUWA WAEBRANIA AMBAO NDIO WAISRAELI WA SASA...
Uislam haujaanza kwa muhammad s.a.w, muhhamad alikuja kuukamilisha uislamu upo toka kwa adam upo, nuhu, sijui swalehe, ibrahim, daud, zakaria, lutu, musa, suleiman, issa na muhamad mwenyewe wote hawa walikuwa waislam, ila walikuwa wanakuja kwa misheni fulani fulani, labda sehem ilikuwa imekithiri usodoma basi mwenyezi mungu anapeleka nabii wake pale, maana kasema hatomuhukumu mtu hali ya kiwa alikuwa hajui, labda watu wamekithiri kuabudu masanamu mwenyezi mungu alikuwa akituma nabii wake pale, wengine walipata kuja na vitabu, taurati, zaburi, injili na quraan, kwa hyo muhamad alikuja kufanya conclusion ya yale yaliyoanza toka mwanzo, na ndio maana kitabu alichoshushiwa muhamad kinaongelea yale yaliyomo katika vitabu vingine ila kwa mapana, na nyongeza ya mengine yasiyokuwemo

Shida mie ni mvivu wa kuandika sana.. tuishie hapo, usichoelewe karibu kuuliza mkuu
 
Israel sio waislam acha kupotosha, ndo maana anawagonga waarabu na allah wao kwani sio Mungu, long live Israel the blessed holy country

Wewe usikurupuke, soma vizuri na uielewe mada pamoja na maudhui yake.
Dini hazizingatii ukabila uarabu na uyahudi hizo ni kabila sio dini. Yatosha kufahamu kwamba baadhi ya mayahudi ni waislam akiwemo Mariah mke wa mwisho wa mtume muhammad (SAW).
 
Hizi din hapa mtabishana had bac kila mtu aamini kwa iman yake maana naona kwa waislam wanasema ismail ndo alitaka kuchinjwa huku dini nyingine wanasema isiaka tuamin yupi??
 
Back
Top Bottom