Hiki kitabu chako kimemtukana hadii muumba wake, saa sijui muandishi nanikitabu cha kuaminika ni biblia ila kurani hii yenye iliandikwa na waarabu ina uongo mwingi
Uislam ulibeba tamaduni za middle east na kuzipa nguvu ya dini. Uvaaji wa kanzu, namna ya kuabudu, za treatment za wanawake, zote hizi zimetokea kwenye tamaduni za kipagani, dini ilivyokuja ikachukua yale yaliyoonekana ni mazuri na ndio yapo kwenye vitabu vya dinimkuu usilazimishe imani za watu ziwe unavyotaka wewe, Muhammad ni kizazi cha Ibrahim/Abraham na siku zote katika uisilamu Ibrahim anajulikana kama baba wa imani.
uisilamu ni muendelezo wa mafundisho tokea kipindi cha adam, kuja ibrahim, kuja musa, kuja daud, suleiman, yesu hadi muhammad.
Kila mtume anakuja na mafundisho yake kutokana na hizo zama.
ndio maana hata kwenye uisilamu nguzo sita za imani ni lazima uamini vile vitabu vinne yaani quran, injili, zaburi na taurati.
chunguza mafundisho ya muhammad mengi ni sawa na mitume waliopita na waja wema waliopita, mfano angalia
-waisilamu wanajitanda mitandio hata waja wema kama mama yake yesu yaani maria alikuwa akijitanda
-waisilamu wana swali kama Musa na yesu walivyoswali
Ni Waisraeli ndio wamekalia Ardhi ya Waarabu...!!HIVI HAO MANABII WALIKUWA WAISLAMU AU WAISRAELI???KAMA WALIKUWA WAISLAMU MBONA SASA WAYAHUDI NA WAISLAMU HAWAPATANI???MBONA MAISHA YAO YAKO ISRAEL NA SIO UARABUNI???MBONA KAMA KUNA UONGO NAUONA HAPA??
Ebu rudia tena maana kama umeenda kinyume nyume hivi.Waislamu ni 19%, wakristo ni08% ,waorthodox ni 14% dini zingine no 3% na waliobaki hawana dini rasmi.
Hivyo waislamu ndio wengi kuliko dini zingine.
Nina maana ya waislamu in 19% bila kujali ni wayahudi au waarabu. Waislamu in wengi Israel kuliko dini zingine.Ebu rudia tena maana kama umeenda kinyume nyume hivi.
Yaan unamaanisha Waislam ni wengi kuliko Wayahudi?
Ni muhimu pia ufahamu kuwa 20% ya wanaoitwa Waisrael leo ni Waarabu-Wapalestina, sasa utaelewa inamaanisha nini kusema takriban 17% ya Waisrael ni Waislam.
Koma ,ukristo haujawahi kuwa uislam na nimeona eti mtume isa Huyo sio yesu.Coz Jesus is alpha and omega .Alikuwepo,yupo na ataendelea kuwepo.Sikilizeni nyinyi : UKIRISTU na UYAHUDI ni Uislamu wa Kale.
Uislam wa Leo ni Uislam wa Sasa!
Msipoyaelewa haya, mtapata shida sana, mtagawanywa sana na mtashindwa kuelewa kuwa kimsingi Msingi wa Dini zetu ni moja tu nayo ni KUJISALIMISHA kwa Mwenyezi Mungu Muumba mbingu na nchi!!
Ni kama vile Unavyoona Windows Version za Microsoft, Kuna Windows 95, Windows XP and then Windows 10. Lakini zote ni Windows zilezile!, Kernel ni ileile!!
Ndiyo maana Waislamu husema kuwa Uislamu kwa watu ulianza toka adam Ila tu kila nabii anakuja na mafunzo yake!!!
Kwa maana hiyo, wewe unayenisoma hapa kama ni Mkiristu, Basi wewe ni Mfuasi wa Uislamu wa kabla ya Mtume Muhammad!
Haijalishi wewe ni dini gani, hata kujitaja dini ni kuonyesha upungufu wa hoja, suala la muhimu ni facts tu, kama unazo au huna.Nina maana ya waislamu in 19% bila kujali ni wayahudi au waarabu. Waislamu in wengi Israel kuliko dini zingine.
Mi in mkristo ila ni mkweli tu.
Nina maana waislamu ni wengi kwa idadi ukilinganisha na dini zingine. Rejea post yangu ya kwanza nimeweka aslimia za dini huko Israel na kuwa katika aslimia zilizobaki ni watu wasio na dini rasmi.Sijui unamaanisha nin kusema Waislam ni wengi kuliko dini zingine nchini Israel?
Labda kama hujui kuwa kuna dini inayoitwa ya Kiyahudi duniani.
Basi, tatizo hukusoma vizuri hizo asilimia za mgawanyiko wa watu kidini huko Israel.Nina maana waislamu ni wengi kwa idadi ukilinganisha na dini zingine. Rejea post yangu ya kwanza nimeweka aslimia za dini huko Israel na kuwa katika aslimia zilizobaki ni watu wasio na dini rasmi.
Yawezekana ndo hawa wenye dini ya kiyahudi au watu wa mataifa(gentiles) kama biblia inavyosema. Wao ni wengi zaidi
Kumbuka wayahudi wengi bado wanasubiri masha wao mpaka sasa maana hawaamini kuwa Yesu ni masiha waliyeahidiwa na Mungu.
Angalia hizo asilimia zako kwanza, ukizijumlisha zinafika 100%?ndio ujue data zako zinamiss taarifa zaidi.Waislamu ni 19%, wakristo ni08% ,waorthodox ni 14% dini zingine no 3% na waliobaki hawana dini rasmi.
Hivyo waislamu ndio wengi kuliko dini zingine.
Dini ni moja, hata Yesu AS ni Muislaam. Na ndo maana Wayahudi wanamkwepa Yesu AS kwa jinsi alivyowananga kwa kuharibu dini ya kweli (Uislaam). Haya ya kuzushiwa yeye sijui mwana wa mungu sijui mungu, Yesu hana habari nayo. Yeye Yesu alishasema katika Biblia 'Baba ni Mkuu kuliko mimi' yaani Allahu Akbar !HIVI HAO MANABII WALIKUWA WAISLAMU AU WAISRAELI???KAMA WALIKUWA WAISLAMU MBONA SASA WAYAHUDI NA WAISLAMU HAWAPATANI???MBONA MAISHA YAO YAKO ISRAEL NA SIO UARABUNI???MBONA KAMA KUNA UONGO NAUONA HAPA??
Manabii wote ni Waislam ! Kuanzia Adam, Nuhu, Ibrahim, Yakoob na kizazi chaki, Daudi Suleima, Zakari, Yahya (Yohana mbatizaji) Elias, Elyasaa, mpaka Muhamadukijibiwa ni tag
AsanteBasi, tatizo ni kuwa hukuwa makini kusoma kusoma hizo asilimia za mgawanyiko wa watu kidini huko Israel.
Angalia hizo asilimia zako kwanza, ukizijumlisha zinafika 100%?ndio ujue data zako zinamiss taarifa zaidi.
Haya angalia Religion in Israel (2014)[1]
Judaism (75%)
Islam (17.5%)
other/unknown (4%)
Christianity (2.0%)
Druzism (1.5%)
Dini ya Kiyahudi haijawahi kufa, bado ipo mpaka sasa, na eneo wanaposali linaitwa Sinagogi.
Na Waisraeli si wakiristo na wanadai Yesu ni mzushi na mwana haramu ! chikanu chikali laana iwe juu ya WayahudiIsrael sio waislam acha kupotosha, ndo maana anawagonga waarabu na allah wao kwani sio Mungu, long live Israel the blessed holy country
Hutaki kukubali kuna Wayahudi wamesilimu !?Hao 17% ni Waisraeli-Waarabu ujue hilo.
Adam AS ! onechromosomeHuo uislam wa kabla ya Muhammad ulishushwa kupitia nabii gani?
Lets assume ni Araba Israelis ndo hao Waislam.Hao 17% ni Waisraeli-Waarabu ujue hilo.
Koma ,ukristo haujawahi kuwa uislam na nimeona eti mtume isa Huyo sio yesu.Coz Jesus is alpha and omega .Alikuwepo,yupo na ataendelea kuwepo.
Maoni yako !Asilimia 99 ya manabii wa kiislam ni wayahudi, lakini wayahudi walikataa mafundisho ya Mtume Mohammad, walimuona muongo. Banu Qurayza jeshi la Muhammad liliua wayahudi watu wazima zaidi ya 800. Kutoelewana na wayahudi kumepelekea aya za chuki kwenye Quran na Hadith sahih dhidi ya wayahudi. Hiyo imepelekea waislam kuwachukia sana wayahudi. Sawa sawa na Yesu au Mohammad angekuja Wakati wa vita ya pili ya dunia. Mpk leo wajerumani na wajapani wangekuwa wanachukiwa sana. Why chuki iendelee milele na wote wanaamini Mungu mmoja wa Abraham