Israel opened masjid Ebrahim as

Israel opened masjid Ebrahim as

Adam alikuwa na Kitabu, Ibrahim na manabii wote ! Sijui uelewa wako kuhusu Kitabu.
Dini moja tu, 'hakika dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislaam.
Nyingine ni uzushi, ndo maana zinatumia majina ya viongozi wao na makabila.
Katika Qur'an, Mwenyezi Mungu anatuambia amemuusia Muhammad Dini ile ile aliyomuusia Adam, Nuhu Ibrahim, Yesu, Musa na Manabii wote. Manabii wengine amemtajia/mjulisha na wengine hawajui !
Haya ni mafundisho ya Uislaam, na si kwa kupenda kwako au kukataa kwako, bali inabaki hivyo.
Adamu na Ibrahim vitabu vyao vinaitwaje
 
Waislamu ni 19%, wakristo ni08% ,waorthodox ni 14% dini zingine no 3% na waliobaki hawana dini rasmi.
Hivyo waislamu ndio wengi kuliko dini zingine.
Albadiri haijawahi kumuacha mtu salama km Wewe.

Kaongope mbele.
 
Sikilizeni nyinyi : UKIRISTU na UYAHUDI ni Uislamu wa Kale.

Uislam wa Leo ni Uislam wa Sasa!

Msipoyaelewa haya, mtapata shida sana, mtagawanywa sana na mtashindwa kuelewa kuwa kimsingi Msingi wa Dini zetu ni moja tu nayo ni KUJISALIMISHA kwa Mwenyezi Mungu Muumba mbingu na nchi!!

Ni kama vile Unavyoona Windows Version za Microsoft, Kuna Windows 95, Windows XP and then Windows 10. Lakini zote ni Windows zilezile!, Kernel ni ileile!!

Ndiyo maana Waislamu husema kuwa Uislamu kwa watu ulianza toka adam Ila tu kila nabii anakuja na mafunzo yake!!!

Kwa maana hiyo, wewe unayenisoma hapa kama ni Mkiristu, Basi wewe ni Mfuasi wa Uislamu wa kabla ya Mtume Muhammad!

Sasa kwanini watu wamao fuata uislam wa kale wanaitwa makafiri?
 
Je YESU hakufa?, na kila nafsi itaonja mauti na kama hakufa alikwenda wapi naomba jibu sheikh
Alipaa mbinguni
atarudi duniani na atakuja kuoa na kuzaa ataishi miaka 40.atakuja kupambana na massih dajjal.atamuua.
 
Mambo ya waislam wayahudi wakrsto nk nawaachia nyie mimi nalima nyanya zangu huku ipogolo
Hahahahaaa! Tutaongea vizuri. Nataka nipate wakala kupokea mikusu na mifudu toka huku Tagamenda kwa hilo eneo kuanzia kwa Mwagongo, Stendi Ipogolo, Bhesania hadi Nyamuhanga!
 
Uislamu maana yake ni kujisimisha mbele za Mungu kutokana na kumshirika Mungu na chovhote au uyte kwenye ibada unazozifanya au katika sifa zake au katika UUngu wake.
Sawa ila ulianza baada ya Muhammad
 
Hao manabii wote walikuwa ni waislamu na wala sio waizrael. Kuwa muislam maana yake ni kujisalimisha mbele ya Muumba wa Mbingu na Ardhi na kutekeleza yale mazuri aliyoyaamrisha na kuyaavha yale mabaya aliyoyakataza. Zaidi ya hapo kuwa muislam maana yake ni kuamini kwamba Mungu ni mmoja na haa mshirika kwenye Uungu wake hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hakufanana na uyte wala chochote. Hivyo manabii wote hiyo ndio iliyokuwa Imani yao. Waisrael walikuja kujuulikana baada ya kuzaliwa Yakubu bin Ishak bin ibrahim ambae nick name yake akiitwa Israel kwa sababu ya kutembea kwake usiku kutafuta watu ili aweze kuwasaidia. Yeye alizaa watoto 12 wa kiume akiwemo Nabii Yusuf sala na salam ziwe juu yao wote hawa. Hayo makabila 12 ndio yaliyotengeza ukoo iliyojikana Bani Israel kwa maana ya watoto wa Israel ambae ni Yakubu. Makabila haya 12 yalikuna yakahamia Misri kwa pharaoh ambapo aliwatesa sana na kwa sababu Firauni alikiwa akijiita kuwa yeye ni Mungu Mkuu ndipo Mungi akamtuma Nabii Mussa akawaokoe hawa Bani Israel ili waondokane na mateso ya firauni naye alifanya hivyo ili kuwapeleka Kanaan nchi walioahidiwa. Jaribuni kujifinza kabla ya kutoa comment.
Mkuu twende polepole, firauni kawai kujiita mungu lini?
 
Uislam ulibeba tamaduni za middle east na kuzipa nguvu ya dini. Uvaaji wa kanzu, namna ya kuabudu, za treatment za wanawake, zote hizi zimetokea kwenye tamaduni za kipagani, dini ilivyokuja ikachukua yale yaliyoonekana ni mazuri na ndio yapo kwenye vitabu vya dini
statement yako ina ukweli ila sio 100% true

-waarabu walikuwa wanafanya biashara ya utumwa, uisilamu ulivyokuja ukaikomesha

-waarabu walikuwa wakiua watoto wa kike na kuona kama ni nuksi ila uisilamu ukakomesha

-kuna mavazi ya kiarabu na kiisilamu, kuna namna ya ufungaji kilemba kiisilamu na kiarabu, kanzu za kiisilamu na kiarabu, suruali za kiisilamu na kiarabu, ndevu za kiisilamu na kiarabu etc ukitaka nionyeshe kwa mifano na picha nitaonyesha

kama tamaduni haivunji sheria ya kiisilamu basi ni ruksa hata kama imetoka wapi.
 
a42f52fcf59837d4dd8af192c388f818.jpg
View attachment 605123 Habari za imani huwa ni ngumu sana kufika tamati badala yake huanza matusi na kèjeli.Kibaya zaidi unaweza uka argue na mtu ambaye hajuwi chochote kile.Tuanze na hiyo post je inaeleza kweli au uongo?Please kama unakubali au kukataa uwe na reasonable doubts.
picha yako unaweza kuisoma? huku kwangu inaonekana quality ndogo sana, eka link
 
Mkuu soma vitabu vya MUNGU,...utaelewa...NABII IBRAHIM ndy kizazi cha NABII WAARABU kilipoanzia...IBRAHIM pamoja na MITUME yote waliopita walikuwa ni WAYAHUDI.kuanzia ADAM.NOEH.MUSSA...hadi kufika IBRAHIMU wote walikuwa wayahudi na walikuwa waislam...IBRAHIM alizaa watoto 2 ISMAIL ambaye alizaa na MJAKAZI WAKE(HAGRA) alikuwa ni MWARABU tena wa MISRI.....ndy kizazi cha MTUME kilipoanzia...na mtoto wa pili IS HAKA..alizaa na mkewe SARA ambaye alikuwa MYAHUDI ,na watoto wake wote WALIKUJA KUWA MITUME BAADAE.... kwann wayahudi hawawapendi waislam..ni kwamba baada ya MTUME IBRAHIM kukosa mtoto kwa miaka kadhaa,,,MKEWE akamshauri AMTWAE MJAKAZI wake HAGRA,...NDIPO kuzaliwa NABII ISMAIL....baadae walipita MALAIKA walikuwa wanatoka SODOMA na GOMOLA,,,wakamwambiya IBRAHIM mkeo bi SARA atapata UJAUZITO, ,,ndy akazaliwa IS HAKA,,baadaye bibi SARA akaanza WIVU..ikabidi MUNGU akamuamrisha IBRAHIM awatoe BIBI HAGRA na mwanawe ISMAIL...awapeleke JANGWANI ambako ni FALESTINE ndy kilichofanyika..na NABII IBRAHIM ndy aliyoujenga MSIKITI MKUBWA WA MAKHA ambao waislam tunakwenda kuhiji.hapo MAKHA ni pale alipoambiwa na MUNGU amchinje ISMAIL..amtoe SADAKA..ndipo MUNGU akambadikishia kumpa KONDOO INSTEAD OF ISMAIL.na huo msikiti uliofunguliwa na wayahudi ni ule msikiti ambao MTUME MUHAMAD(SAW)alianzia SAFARI YAKE YA KWENDA MBINGUNI kwa USIKU MMOJA NA KURUDI DUNIANI(tunaita safari ya MIRAJI)hivyo ni msikiti wenye HISTORIA KUBWA SN KWA WAISLAM..........SABABU INGINE ni baada ya VITA KUU YA DUNIA ,,,WAYAHUDI wengi walikimbilia MAREKANI ...hivyo basi HADI LEO wale WAYAHUDI walioko MAREKANI BADO WANAJIHESABU NI WAYAHUDI WAMAREKANI...ndy hao walioingia UPANDE WA PILI wakajiunga na wale wachache wa ISRAEL wakaanza CHUKI DHIDI YA WAISLAM...huo ndy USWAHIBA WA WAYAHUDI NA MAREKANI ,,,,, kama hutaki pia Mapovu ruksa....
mkuu una ushahidi kwamba Ibrahim alikuwa ni myahudi? Ibrahim ni baba wa wayahudi ni waarabu ila yeye si kati ya hao, vizazi vyake ndio vimezaa hayo makabila.

soma Quran 3:67 inakataa ibrahim hakuwa myahudi.
 
Adam alikuwa na Kitabu, Ibrahim na manabii wote ! Sijui uelewa wako kuhusu Kitabu.
Dini moja tu, 'hakika dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislaam.
Nyingine ni uzushi, ndo maana zinatumia majina ya viongozi wao na makabila.
Katika Qur'an, Mwenyezi Mungu anatuambia amemuusia Muhammad Dini ile ile aliyomuusia Adam, Nuhu Ibrahim, Yesu, Musa na Manabii wote. Manabii wengine amemtajia/mjulisha na wengine hawajui !
Haya ni mafundisho ya Uislaam, na si kwa kupenda kwako au kukataa kwako, bali inabaki hivyo.
sasa unadhani marioo muhamad ni fara hakujua akisema amehusiwa dini sawa na wayahudi itamlipa
 
Hii si kweli usidhani vitabu vyenu hatuvisomi!kwa nini mudy alibadili kibla akiwa madina?kilichomfanya akiwa anaswali makalio anayaelekeza Jerusalem na kichwa maka?
mkuu umekaa hata ukaifikiria hii comment?

utakaaje uelekeze kichwa maka na makalio jerusalem ukiwa maeneo yote?

hebu tuangalie ramani.

IMG_0309.PNG


hapo mtu ambaye yupo katikati ya maka na jerusalem pekee ndio ataprove point yako ila dunia nzima kuanzia huku africa, nenda urusi, nenda india, china etc wakiswali hawaipi jerusalem makalio, sometime tumia akili hesabu ndogo tu zingekuwezesha kung'amua hilo.

na sababu ya waisilamu kuelekea mecca ni Ibrahim baba yetu, ambae ameijenga al Qaaba.
 
Mkuu twende polepole, firauni kawai kujiita mungu lini?
soma historia ya firauni hata katika vitabu vyenu na ndio ahadi ya Mungu akamwambia kuwa atamuweka ili vizazi vijavyo vimuone na ndio ukaona mpaka leo yupo makumbusho pale misri.
 
Mnyukano huu una asili kuu, haukuanzia hapa duniani. Yachunguze haya na ukitumia akili kidogo utagundua tu asili ya huu mnyukano, wala sio WA race kama tudhaniavyo.

Kwanza, kwa viumbe vya kiroho Ukristu unasema, kuna malaika, wema na waasi. Uislamu unasema kuna malaika na automatically hawawezi kuhasi bali pia kuna majini hawa wako wema na waasi. Wema ni wachamungu (waislamu)

Ukristu unasema, Ibrahimu hakumsindikiza mama Ismail, na aliyetolewa kuwa sadaka ya kuchinjwa ni Isiaka si Ismail, wakati Uislamu unasema kinyume chake.

Ktk Uislamu wa kale aka Ukristu na Uyahudi kwa mujibu wa touraati na Zaburi na Injili na vitabu vyao vyote vya manabii wao, hawamtaji Ismail kuwa ni mtume wala nabii.

Lakini pia hata Quran haisemi huo Uislamu wa kale kivipi ulipotea kutoka kwa Nabii Ismail hata mtume alipokuja hakuukuta hata punje yake kwa vizazi vya Ibrahimu bali aliukuta huo toka kizazi cha Isiaka.

Ukifikiri vya kutosha hapa, haswa kwa hoja ya kwanza, inaonesha huu Uislamu modernized, upo kimkakati wa viumbe fulani hivi ktk kujiwekea uhalali wa kupata kibali cha kumtawala mwanadamu. Ni fikra zangu tu, vinginevyo, iletwe hoja hapa, kwa kutumia vitabu vya Uislamu wa kale, Uyahudi na Ukristu,vikithibitisha kwamba, Ibrahimu na kizazi chake, kiliamini kwamba, viumbe vya kiroho vipo ktk makundi mawili, majini na malaika kiuumbwaji na wala si malaika, wema na waasi.... Fikra zitaanza upya ktk hili.
 
Sawa ila ulianza baada ya Muhammad
Haukuanza kwa Muhammad bali ulianza tokea dunia kuumbwa kwa maana kila kilichojikubalisha na kujisalimisha kwa Mungu kilifuata Uislamu. Nabii Ibrahim sala na salam ziwe juu yake aliwakuta wazee wake na jamaa zake wakiabudu masanamu yeye aliyakataa na akajisalimisha mbele ya Mungu mmoja ambae hana mshirika hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hana mfano wake. Nuhu sala na salam ziwe juu yake aliwalingania jamaa zake waache kuabudia masanam na mizimu na vitu vyenginevyo na badala yake wamuabudu Mungu mmoja. Hivyo kila nabii aliyebeba dhana ya Mungu mmoja alikuwa ni muislam ila Nabii Muhammad yeye alikuja kukamilisha ujumbe wa Mungu kwa viumbe na baada ya yeye hakutakuwa na Mjumbe mwengine ambae atatumwa na Mungu mpaka dunia kumalizika.
 
Wewe KIJANA wacha UONGO...kumbuka kuwa MTUME WA MUNGU SIO MWONGO WALA SIO MTU AMBAYE HANA ADABU.....kumbuka kuwa MTUME hajivalishi mwenyewe JOHO la utume kama wafanyavyo VIONGOZI WENU WA SASA wa MAKANISA....MTUME ni mwanadamu ambaye MUNGU ameshampa utume tangia kizazi na kizazi kabla ya kuzaliwa....hivyo basi MTUME ISMAIL kamwe hakuwa HANA ADABU kwa SARA sababu yule ni mtume.....na ndy maana alipoamriwa na MUNGU achinjwe ili apimwe IMANI YAKE....na ISMAIL alipoambiwa na baba yake MUNGU KANIAMURU NIKUCHINJE,,,ISMAIL akamwambiya BABA YAKE ,,KINOWE hicho kisu chako ili kinikate vizuri NISISIKIE MAUMIVU SANA..pia nifunge kamba ili nisikusumbuwe wakati unanichinja , ,,najuwa wewe ni MTUME WA MUNGU hufanyi JAMBO BILA KUAMRIWA NA MUNGU...kama angekuwa mkorofi si agekimbiya?au angebishana na baba yake?MITUME YOTE MAISHA YAO WAMETABIRIWA kabla ya KUZALIWA kwao,,,pia tangia watoto MUNGU alishawaandikia UTUME,,,hawezi akawa MJEURI NA ASIYE NA ADABU,,,,na unaposema ni upotoshaji mkubwa yote uliyoyasema wewe ndy niliyoandika mm,,,kwamba SARA (MYAHUDI)alikuwa mke mkubwa wa IBRAHIM,,na yule MJAKAZI alikuwa anaitwa BIBI HAJRA(WARABU) kwao ni EGYPT.. sasa nimedanganya nn hapo?na hao MALAIKA walikuwa wametoka KUANGAMIZA SODOMA NA GOMORA wakafika kwa MTUME IBRAHIM,,,jinsi mke mkubwa SARA alivyowafanyia UKARIMU ndy wakamwambiya MTUME IBRAHIMU mkeo atapata UJAUZITO.....sasa nimepotosha nn?UISLAM ulikuwapo kabla ya ADAMU baba yetu....labda nikwambiye kitu,,,sisi tunaitwa BIN ADAMU maana yake mtoto wa ADAMU...kwahyo sisi wote asili yetu ni ADAM....na mama yetu HAWA...ndy asili yetu.....na dini yetu asili yake ni ADAM,,,uliza Huko KANISANI kwann watu WANABATIZWA?na kwann usipobatizwa huwi MKRISTO?mbona UKIZALIWA na BABA KABILA linabaki vile vile unafata la baba?au mama?iweje DINI LAZIMA UTIWE MAJI?NA SIO UKIRISTO TU ,,bali hata dini zingine za hapa duniani,,ili kujiunga inabidi ufanyiewe MATAMBIKO na kubadilishwa,,,sababu wameshajuwa kama mtoto anapozaliwa anakuwa na dini ya baba yetu ADAMU...ISLAM......jaribu kujiuliza kwann hao MITUME WAMEZIKWA MSIKITINI?na kwann IBRAHIM akajenga MSIKITI MAKHA?na kwann waislam wanaswali pale MSIKITI WA MAKHA?
mungu hajichanganyi hawezi deal na matokeo ya dhambi( ismail ) hakuwa kipenzi cha ibrahimu ila mungu alijaribu kujua nafsi ya mtumishi wake,ni wazi huwa tunawapenda watoto wa mke halali kuliko wa michepuko kama ismail
 
sasa unadhani marioo muhamad ni fara hakujua akisema amehusiwa dini sawa na wayahudi itamlipa
Ficha ujinga wako mkuu unajidhalilisha tu.Wakati mwenzako anaweka critical argument wewe unaleta vituko.Am sorry Kama nimekukwaza
 
Back
Top Bottom