Israel opened masjid Ebrahim as

Israel opened masjid Ebrahim as

Upotoshaji mkubwa mno sjapata ona.....SARA ndiye alimshauri ibrahim azae na mfanyakazi na aliemchagua wa kuzaa naye ni SARA aliye mchagua binti huyo ,baada ya mtoto kuzaliwa mjakazi alianza kumdharau sara sana ,pia ismaili alikuwa hana adabu kwa sara,mungu alipomwambia sara atapata mtoto alicheka na kudhihaki ,ndipo yeye na mumewe badala ya kusubiri mpango wa mungu wakaja na suruhisho la kibinaadamu la dhambi kwa tamaa ya kuogopa mali zao nyingi atarithi nani ndipo sara akamchagua mjakazi wake wapate mtoto ambae kama ilivyo kawaida ya dhambi wakalijutia ndo kuleta kizazi cha waarabu ,siku zote mtoto wa nje ndo anamuonea wivu wa ndani na mungu huwa hafanyi mikataba na matokeo ya dhambi (waarabu) .
Wewe KIJANA wacha UONGO...kumbuka kuwa MTUME WA MUNGU SIO MWONGO WALA SIO MTU AMBAYE HANA ADABU.....kumbuka kuwa MTUME hajivalishi mwenyewe JOHO la utume kama wafanyavyo VIONGOZI WENU WA SASA wa MAKANISA....MTUME ni mwanadamu ambaye MUNGU ameshampa utume tangia kizazi na kizazi kabla ya kuzaliwa....hivyo basi MTUME ISMAIL kamwe hakuwa HANA ADABU kwa SARA sababu yule ni mtume.....na ndy maana alipoamriwa na MUNGU achinjwe ili apimwe IMANI YAKE....na ISMAIL alipoambiwa na baba yake MUNGU KANIAMURU NIKUCHINJE,,,ISMAIL akamwambiya BABA YAKE ,,KINOWE hicho kisu chako ili kinikate vizuri NISISIKIE MAUMIVU SANA..pia nifunge kamba ili nisikusumbuwe wakati unanichinja , ,,najuwa wewe ni MTUME WA MUNGU hufanyi JAMBO BILA KUAMRIWA NA MUNGU...kama angekuwa mkorofi si agekimbiya?au angebishana na baba yake?MITUME YOTE MAISHA YAO WAMETABIRIWA kabla ya KUZALIWA kwao,,,pia tangia watoto MUNGU alishawaandikia UTUME,,,hawezi akawa MJEURI NA ASIYE NA ADABU,,,,na unaposema ni upotoshaji mkubwa yote uliyoyasema wewe ndy niliyoandika mm,,,kwamba SARA (MYAHUDI)alikuwa mke mkubwa wa IBRAHIM,,na yule MJAKAZI alikuwa anaitwa BIBI HAJRA(WARABU) kwao ni EGYPT.. sasa nimedanganya nn hapo?na hao MALAIKA walikuwa wametoka KUANGAMIZA SODOMA NA GOMORA wakafika kwa MTUME IBRAHIM,,,jinsi mke mkubwa SARA alivyowafanyia UKARIMU ndy wakamwambiya MTUME IBRAHIMU mkeo atapata UJAUZITO.....sasa nimepotosha nn?UISLAM ulikuwapo kabla ya ADAMU baba yetu....labda nikwambiye kitu,,,sisi tunaitwa BIN ADAMU maana yake mtoto wa ADAMU...kwahyo sisi wote asili yetu ni ADAM....na mama yetu HAWA...ndy asili yetu.....na dini yetu asili yake ni ADAM,,,uliza Huko KANISANI kwann watu WANABATIZWA?na kwann usipobatizwa huwi MKRISTO?mbona UKIZALIWA na BABA KABILA linabaki vile vile unafata la baba?au mama?iweje DINI LAZIMA UTIWE MAJI?NA SIO UKIRISTO TU ,,bali hata dini zingine za hapa duniani,,ili kujiunga inabidi ufanyiewe MATAMBIKO na kubadilishwa,,,sababu wameshajuwa kama mtoto anapozaliwa anakuwa na dini ya baba yetu ADAMU...ISLAM......jaribu kujiuliza kwann hao MITUME WAMEZIKWA MSIKITINI?na kwann IBRAHIM akajenga MSIKITI MAKHA?na kwann waislam wanaswali pale MSIKITI WA MAKHA?
 
mohamed hakuwa mtume
Ndy mnaaminishwa hivyo.....sasa ww kaulize kanisani NANI ALIMBATIZA YESU?na huyo MBATIZAJI kapewa idhini na nani abatize watu?wakati YESU mwenyewe amefika GALILAYA akakutan na YOHANA anabatiza watu..maana yake KUBATIZA KULIKUWAPO KABLA YA YESU KUZALIWA...kuna UHUSIANO GANI kati ya KANISA NA ITALY?
 
mtu wa kwanza kutamka neno uislamu ni mohamed muasisi wa hiyo dini ya kujadili majini
Kaulize kanisani nn sababu ya KUBATIZA WATU?mbona baba mgogo na mama mgogo mtoto anaziwa mgogo?sasa iweje mama mkrtisto baba mkristo mtoto lazima abatizwe awe mkristo...JIONGEZE..na kwann makao makuu ya UKRISTO YAWE ITALY.....
 
Israel sio waislam acha kupotosha, ndo maana anawagonga waarabu na allah wao kwani sio Mungu, long live Israel the blessed holy country
Isome vzr comments mkuu usiende haraka haraka kutokana na mahaba yako kasema 10% mpaka 15% na mjibu kwa hoja zenye mantiki wengi wa wayahudi c wakristo wala waislam
 
Adam alikuwa na Kitabu, Ibrahim na manabii wote ! Sijui uelewa wako kuhusu Kitabu.
Dini moja tu, 'hakika dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislaam.
Nyingine ni uzushi, ndo maana zinatumia majina ya viongozi wao na makabila.
Katika Qur'an, Mwenyezi Mungu anatuambia amemuusia Muhammad Dini ile ile aliyomuusia Adam, Nuhu Ibrahim, Yesu, Musa na Manabii wote. Manabii wengine amemtajia/mjulisha na wengine hawajui !
Haya ni mafundisho ya Uislaam, na si kwa kupenda kwako au kukataa kwako, bali inabaki hivyo.
Dini ya haki kwa Imani yako ni sawa ila sio lazima wote waamini unachoamini wewe, kwa hiyo Adam alikuwa muislam sio? Na yeye aliswali kuelekea wapi sasa?
 
Dini ya haki kwa Imani yako ni sawa ila sio lazima wote waamini unachoamini wewe, kwa hiyo Adam alikuwa muislam sio? Na yeye aliswali kuelekea wapi sasa?
Adam alikuwa Muislaam, na alikuwa na ibada yake anafanya. Kila Nabii na kitabu chake na zama zake. Soma Dini.
Nikuulize, Musa alikuwa anaswali vipi ?
 
Adam alikuwa Muislaam, na alikuwa na ibada yake anafanya. Kila Nabii na kitabu chake na zama zake. Soma Dini.
Nikuulize, Musa alikuwa anaswali vipi ?
Wakati Adam anaswali alikuwa anaelekea wapi? Musa alikuwa anaishi kwa farao alisali kwa mafundisho aliyoyakuta mpaka alipoondoka kwa farao na huko alipanga mawe kama altare akaomba kwa desturi ya mababu zake wayahudi
 
mkuu mpaka leo kwani hujui kama israeli ipo katikati ya nchi za kiarabu?

na si kila muisraeli dini yake ni ya kiyahudi kama kumbukumbu zangu zipo sahihi 10 mpaka 15% ya waisraeli ni waumini wa dini ya kiisilamu.

waarabu na waisraeli wote wanatokana kwa Ibrahim, ambaye alizaa watoto wawili, Ismail na Is'haq.

ismail ndio mpaka kizazi chake anakuja kutokea Mtume muhamad, ni kizazi cha waarabu.

Is'haq mpaka kwa yaakub, yusuf, musa hadi yesu ni kizazi cha waisrael.

Hilo eneo Hapo lina historia za Dini zote mbele unaweza ongeza na ukristo ukaeka dini tatu, ndio maana kuna ugomvi kila siku.

Israel ipo Israel. Tuache hizi siasa za Hizbollah
 
Haijalishi wewe ni dini gani, hata kujitaja dini ni kuonyesha upungufu wa hoja, suala la muhimu ni facts tu, kama unazo au huna.

Sijui unamaanisha nin kusema Waislam ni wengi kuliko dini zingine nchini Israel?

Labda kama hujui kuwa kuna dini inayoitwa ya Kiyahudi duniani na ndio dini kongwe kuliko Ukristo na Uislam.
Vipi nabii adamu alikuwa myahudi?
 
a42f52fcf59837d4dd8af192c388f818.jpg
Screenshot_2016-12-17-22-29-51.png
Habari za imani huwa ni ngumu sana kufika tamati badala yake huanza matusi na kèjeli.Kibaya zaidi unaweza uka argue na mtu ambaye hajuwi chochote kile.Tuanze na hiyo post je inaeleza kweli au uongo?Please kama unakubali au kukataa uwe na reasonable doubts.
 
HIVI HAO MANABII WALIKUWA WAISLAMU AU WAISRAELI???KAMA WALIKUWA WAISLAMU MBONA SASA WAYAHUDI NA WAISLAMU HAWAPATANI???MBONA MAISHA YAO YAKO ISRAEL NA SIO UARABUNI???MBONA KAMA KUNA UONGO NAUONA HAPA??
Hao manabii wote walikuwa ni waislamu na wala sio waizrael. Kuwa muislam maana yake ni kujisalimisha mbele ya Muumba wa Mbingu na Ardhi na kutekeleza yale mazuri aliyoyaamrisha na kuyaavha yale mabaya aliyoyakataza. Zaidi ya hapo kuwa muislam maana yake ni kuamini kwamba Mungu ni mmoja na haa mshirika kwenye Uungu wake hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hakufanana na uyte wala chochote. Hivyo manabii wote hiyo ndio iliyokuwa Imani yao. Waisrael walikuja kujuulikana baada ya kuzaliwa Yakubu bin Ishak bin ibrahim ambae nick name yake akiitwa Israel kwa sababu ya kutembea kwake usiku kutafuta watu ili aweze kuwasaidia. Yeye alizaa watoto 12 wa kiume akiwemo Nabii Yusuf sala na salam ziwe juu yao wote hawa. Hayo makabila 12 ndio yaliyotengeza ukoo iliyojikana Bani Israel kwa maana ya watoto wa Israel ambae ni Yakubu. Makabila haya 12 yalikuna yakahamia Misri kwa pharaoh ambapo aliwatesa sana na kwa sababu Firauni alikiwa akijiita kuwa yeye ni Mungu Mkuu ndipo Mungi akamtuma Nabii Mussa akawaokoe hawa Bani Israel ili waondokane na mateso ya firauni naye alifanya hivyo ili kuwapeleka Kanaan nchi walioahidiwa. Jaribuni kujifinza kabla ya kutoa comment.
 
Israel sio waislam acha kupotosha, ndo maana anawagonga waarabu na allah wao kwani sio Mungu, long live Israel the blessed holy country
Labda kwanza nikufahamishe jambo. Dini kubwa duniani ni Uislam, Uyahudi na Ukiristo. Wapo waarabu ambao ni wakiristo na pia ni mayahudi. Wapo waisrael ambao ni waislamu na wengi wao ni Mayahudi. Wapo wazungu ambao ni waislam, mayahudi na wakiristo japo wengi ni Wakiristo. Wapo waafrica wengi ambao ni waislam na wakiristo lakini hawakubaliki kuwa mayahudi ukitoa waethiopia ambao wanakubali kuwa mayahudi kwa Sababu mfalme Suleiman alimuoa Malkia Balqis ambae asili yake ni pale Ethiopia. Kwa taarifa yako tu ni kuw Mayahudi hawauungi mkono Waislam na wakiristo pia. Ikiwa ww ni muumin wa kweli wa ukiristo hupaswi kufurahia binaadam yyte anapouliwa hususan ikiwa bila ya hatia awe muislam au asiyekuwa muislam si katika mafunzo ya ukiristo wala uislamu. Ushauri wa bure ukicomment masuala ya dini usicommet kwa jazba comment kwa hoja
 
NI KICHEKESHO KUSEMA UISLAMU ULIKUWEPO WAKATI WA ADAMU,WAKATI HISTORIA INASEMA UISLAMU ULIANZA BAADA YA MOHAMAD AKIWA MWANZILISHI.WALE MANABII WOTE WALIKUWA WAEBRANIA AMBAO NDIO WAISRAELI WA SASA...
Uislamu maana yake ni kujisimisha mbele za Mungu kutokana na kumshirika Mungu na chovhote au uyte kwenye ibada unazozifanya au katika sifa zake au katika UUngu wake.
 
Wana Israel walikuwa waislam.na kila binadamu anatakiwa awe muislam.Islam ni neno la kiarabu lenye maana kujinyenyekeza au kujisalimisha kwa mungu mmoja.
Sasa basi turudi kwa musa na waisrael.
Musa alikuwa muislam akaja kuwafundisha wana Israel uislam.walimsumbua sana kiasi cha kwamba wengine walilaaniwa na mungu wakawa masokwe ilifikia mungu akaamua kuwekeana nao ahadi soma hizo aya
dc5df6b80995746d7fb0c217d581bfb8.jpg

Wachache walimuamini musa na wengi hawakumuamini wakabaki na ibada zao za masanamu akaja yesu hivyo hivyo mpaka wakataka kumuua lakini hawakumuua.
Ndo akaja Muhammad ndo Leo unaona uislam upo huko Israel kwa kiasi hicho.swali kama unalo.
Je YESU hakufa?, na kila nafsi itaonja mauti na kama hakufa alikwenda wapi naomba jibu sheikh
 
Tangu binadamu wa kwza wote ni WAISLAM..na dini zingine wwnalijuwa hilo...na ndy maana mtoto akizaliwa hawi MKRISTO hadi atiwe maji ya UKRISTO...hata kama mama na baba yake wote wakristo....ila MUISLAM hana haja ya kumtia maji mtoto sababu watoto wote wana dini ya asili ya BABA YETU ADAMU....mifano mnaona hiyo KABURI LA ABRAHAM....YUSUPH..JACOK....wote wamezikwa MSIKITINI....au umeona MSALABA HAPO?
Adam aliishi nchi gani msaada kidogo
 
Back
Top Bottom