sensa ya 2014 asilimia 17% ya waiziraeli ni waisilamu,
Religion in Israel - Wikipedia
na binadamu wote mbele ya mungu wapo sawa, mbora kati yao ni yule mcha mungu.
pia si waarabu wote ni waisilamu, kuna waarabu wakristo, wasioamini dini etc.
Nchi kubwa ya kiarabu yaani misri ina wakristo zaidi ya milioni 8,
lebanon 40% ya population yao ni wakristo,
kipindi Israeli anapigana na Hezbollah na anaipiga lebanon walikufa wakristo wengi tu wa kiarabu.
na wewe ni dini gani? sababu waisiraeli hawamuamini yesu wanamuona feki vile vile kama wasivyompenda muhammad.