Israel ni taifa Mwamba anayeweza kukuingilia na kukupiga ndani kwako na mkeo kama ngoma tu na humuwezi kwa wowote

Israel ni taifa Mwamba anayeweza kukuingilia na kukupiga ndani kwako na mkeo kama ngoma tu na humuwezi kwa wowote

Mfalme_wa_Nyika

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2023
Posts
684
Reaction score
1,541
Kitendo cha Joka kuu la ifadhili wa Ugaidi duniani Iran kuingiliwa mpaka chumbani kwake na kutandikwa kama ngoma ni ishara tosha kuwa Israel hashkiki ...

Israel Taifa dogo kwa eneo dogo zaidi hata ya eneo La Dar es salaam lakini mziki wake mnene dunia nzima inasimama....hawa majamaa hawacheki kwa wowote na yeyote yule anauwezo wakuingia chumbani na wakupiga kofi mbele ya mke na watoto wako na huna la lakufanya..

Netanyahu utamwambia nini mzayuni huyu downtown kitambo tu kabla hata mwarabu hajaingia mjini...

Kwa mashambulio ya Israel ni ishara tosha Iran amevuliwa nguo na badala achutame anajifanya kusimama sasa hizo kende zake zitakatwa na akiwezekana anafirimbwa mazima na Israel mtoa roho this time...

Kuuawa jana kwa wakuu wa majeshi na wanajeshi na wanasayansi wake wa nyuklia ni Ushindi tosha kwa Israel...

ITOSHE KUSEMA TU SISI WAZAYUNI TUMEKUBALANA KUWA IRAN KAMWE ASAHAU NDOTO YAKE KUWA NA NYUKLIA LABDA IWE TAIFA LA ISRAEL HALIPO DUNIANI ILA KAMA TUPO MJOMBA NETANYAHU KESHASEMA HAITAWEZEKANA
 
Tanzania ndiyo Israel ya rohoni.

Ndiyo Eden halisi.

Nchi iliyobarijiw sana.

Utajiri uliopo wa madini mbalimbali yasikuwapo kwengine ni ishara kuwa Nyikani ni habari ingine.

Nchi yenye kukaliwa na watu wa Dini,kabila tofauti ikawa na Amani.


Hii ndio makimbilio ya mataifa yote duniani siku hizi za mwisho.

Naipenda sana nchi YANGU nzuri Tanzania 🇹🇿
 
Back
Top Bottom