Israel kuishangaza Dunia tena

Israel kuishangaza Dunia tena

Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi.
Hivi Nina andika tayari vikosi maalumu na hatari vya jeshi la Israel vime locate maeneo mateka wapo na tayari imeshaweza kutoka mateka mamia kwa sasa wakati ikiwakamata viongozi wa hamasi.
Jambo lingine lina ushituwa ulimwengu ni msg ambayo Israel amemtumia Iran baada ya kushambulia kwa maboom uwanja wa Damascus ili ndege iliokuwa na ujumbe mzito kutoka Iran isitue. Israel walikuwa na uwezo kuishambulia hii ndege nakuwaangamiza makamanda wa Iran na waziri wao ila hawakuchaguws hiyo option kwa sababu maalumu.
Tatu Israel ameonyesha ubabe wakipekee baada ya kuitawala anga ya Arabic Yani hakuna ndege au kitu kipo hewani hajuwi kinaenda wapi na kina kitu gani? Hii imefanya kuwa ngumu kwa Taifa lolote kurusha kombora kwa Israel wakijuwa cha moto watakipata.
Israel wamewafunika adui kwakuwa dhaifu ili watimize adhima yao kui eliminate Hamas na some of key leader of Iran. Kwa sasa Ayatollah anajuwa kinachofuwata kwake na anajuwa uwenda mwisho wake up karibu kuliko mwanzo.
Mungu iponye Dunia. Amen
Ngoja tuone basi
Maana Marekani ilikuwa Afghanistan na NATO na Bado walikimbia.
Pia vita kama inapiganiwa nyumbani pia advantage anayo adui.
 
Sifa ya Mungu ni ukubwa wake na ushindi kila wakati. Yeye ndiye mwenye kuyashinda makundi maovu, mwenye kuyaendesha mawingu naye ndiye atabaki kuwa mshindi. Wakati huu subira ni muhimu.
Amen
 
Siyo Israel kuishangaxa dunia, sema USA.

Israel huko hamas jana imepiga Haifa.

Kwani bado mnaiongelea gaza tu?

Gaza kwisha kazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.

Vita ishapanuka huko. Umelala?

Leo tunangoja Egypt na Jordan
Egypt si wanafurahia Hamas kisambaratishwa coz ilikua na uhusiano wa karibu sana Muslim Brotherhood na kwahivyo ni tishio had Egypt?

Johdan wanafurahia biashara zinasonga vizuri
 
Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi.
Hivi Nina andika tayari vikosi maalumu na hatari vya jeshi la Israel vime locate maeneo mateka wapo na tayari imeshaweza kutoka mateka mamia kwa sasa wakati ikiwakamata viongozi wa hamasi.
Jambo lingine lina ushituwa ulimwengu ni msg ambayo Israel amemtumia Iran baada ya kushambulia kwa maboom uwanja wa Damascus ili ndege iliokuwa na ujumbe mzito kutoka Iran isitue. Israel walikuwa na uwezo kuishambulia hii ndege nakuwaangamiza makamanda wa Iran na waziri wao ila hawakuchaguws hiyo option kwa sababu maalumu.
Tatu Israel ameonyesha ubabe wakipekee baada ya kuitawala anga ya Arabic Yani hakuna ndege au kitu kipo hewani hajuwi kinaenda wapi na kina kitu gani? Hii imefanya kuwa ngumu kwa Taifa lolote kurusha kombora kwa Israel wakijuwa cha moto watakipata.
Israel wamewafunika adui kwakuwa dhaifu ili watimize adhima yao kui eliminate Hamas na some of key leader of Iran. Kwa sasa Ayatollah anajuwa kinachofuwata kwake na anajuwa uwenda mwisho wake up karibu kuliko mwanzo.
Mungu iponye Dunia. Amen
Aisee....
Watanzania bwana!!!....
 
Egypt si wanafurahia Hamas kisambaratishwa coz ilikua na uhusiano wa karibu sana Muslim Brotherhood na kwahivyo ni tishio had Egypt?

Johdan wanafurahia biashara zinasonga vizuri
Sasa wewe haufahamu kuwa alsisi katokea brotherhood?
 
Siyo Israel kuishangaxa dunia, sema USA.

Israel huko hamas jana imepiga Haifa.

Kwani bado mnaiongelea gaza tu?

Gaza kwisha kazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.

Vita ishapanuka huko. Umelala?

Leo tunangoja Egypt na Jordan
We bibi kila wakitajwa nduguzo wavaa vipedo na makobazi hukosekani!🤔
 
Sio kweli....
Wanaokufa ni watu wa kawaida..Pia msichanganye kuwa Hamas ndio inawakikisha Wapalestina wote..
Fatah ni wakubwa kuliko Hamas..
 
We bibi kila wakitajwa nduguzo wavaa vipedo na makobazi hukosekani!🤔
Sema Waislaam. usiogope, kuwa mkweli wa nafsi yako.

Pedo si anavaa mama'ko nyumbani, au umesahau?
 
We bibi kila wakitajwa nduguzo wavaa vipedo na makobazi hukosekani!🤔
Cha kushangaza wanaowasupport Hamas kwa maana ya mataifa ya kiarabu, russia, north korea, turkey na wao wanashindwa nini kuwatengenezea wapalestina mifumo ya kujilinda ambayo itakuwa imara dhidi ya mashambulio yoyote ya Israel? hapo ndo inajionyesha waziwazi ni jamii ipi yenye akili kubwa😂🤣 na ipi akili kb1 a.k.a kisoda
 
Uzi mzito!

Hakuna taifa takatifu la Mungu litakaloua watu kwa kisasi hivyo!

Taifa takatifu la Mungu ni Tanzania tu kwakweli,tuna upendo wa dhati ndio maana tuanawaza kupendana tu wakati wote wala sio kupiga na kuua!!

Hata haki zetu zikiminywa tunamuita Mungu anatujibu maombi yetu!!

Walau warusi tuanaweza sema ndio taifa takatifu la Mungu kuliko hao tunaodhani!!

Yakobo alikua black,king solomon na hata Ayubu na yesu kristo nae alikua black na karibu asilimia kubwa yote ya waebrania walifananishwa na wakanaani KWA weusi wao coz wakanaani ni Wana wa ham wenye ngozi iliyoungua yaani weusi SASA kwanini waisrael wa leo ni weupe wote!!?

Hata Abdul nassar mfalme wa misri aliwakataa hao waisrael weupe akisema" mbona waliondoka misri wakiwa weusi huo weupe wameutoa wapi""!!?

Ndugu mkristo usije ombea hao wazungu hao hawana uisrael wowote kabisa ombea watz wenzio au hata waethiopia Wana wa king solomon aliezaa na Beth sheeba!
 
Kweli kabisa, Mungu gani huyo anataka uue watu? Hao ni majambazi wote
 
Nani kakwambia? Sasa hivi wanaua Watoto na wanawake wa Gaza, Israel nao ni kama Hamas. Both are terrorists. Huwezi kuwanyima, maji, chakula na umeme halafu uanze kuwabom. Gaza ipo 140 square km tu na ina watu million 2. Open sky prison. Palestina kuna wakrstu, catholics na wapagani siyo waislam peke yao. Nyie mnasema uongo kwa sababu ya dini msizozijua. Wale Israel wa kwenye Bible siyo hawa wa sasa, Israel ilianzishwa mwaka 1948 baada ya Waingereza kuwaachia ile ardhi Wayahudi. Wayahudi hao waliopo siyo wale original, wengi wa sasa ni waliorudi baada ya WWII. Wakachukua na radhi zingine zote. Dhambi sana hii, ubabe openly!!
hao waisrael OG according to you wako wapi kwa sasa bwana observer
 
Siyo Israel kuishangaxa dunia, sema USA.

Israel huko hamas jana imepiga Haifa.

Kwani bado mnaiongelea gaza tu?

Gaza kwisha kazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.

Vita ishapanuka huko. Umelala?

Leo tunangoja Egypt na Jordan
unataka kusema israel inataka kuishangaza dunia tena kwa kushambulia mataifa ya kiarabu tishio kwake? Kumbuka kuna mikataba ya amani kama ule wa camp david kati yake na misri. Al sisi mwenyewe ana element za kiyahudi anaweza asipate kifinyo
 
Mimi sipendi vita
 
Sasa wewe haufahamu kuwa alsisi katokea brotherhood?
si ndio maana ameifuta egpty baada ya kubaini nia yake ovu chini ya Mohamed Morsi, wakati huo akiwa mkuu wa majeshi,
na akaona itampaint yeye na Egypt kwa ujumla negatively kwenye uso wa dunia,

akampindua M.Mursi kijeshi, baadae akajiuzuli akawa raia kwa muda, then akaja na Mustakabal Watan Party maarufu kama National Future kugombea Urais wa kiraia na akashinda mpaka wa leo...
 
unataka kusema israel inataka kuishangaza dunia tena kwa kushambulia mataifa ya kiarabu tishio kwake? Kumbuka kuna mikataba ya amani kama ule wa camp david kati yake na misri. Al sisi mwenyewe ana element za kiyahudi anaweza asipate kifinyo
Nani anasema hayo maneno ya "kushangaza", naona unabwabwaja tu bila mpango. Kanisome tena.
 
Back
Top Bottom