Israel kuishangaza Dunia tena

Israel kuishangaza Dunia tena

Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi.

Hivi Nina andika tayari vikosi maalumu na hatari vya jeshi la Israel vime locate maeneo mateka wapo na tayari imeshaweza kutoka mateka mamia kwa sasa wakati ikiwakamata viongozi wa HAMAS.

Jambo lingine lina ushituwa ulimwengu ni msg ambayo Israel amemtumia Iran baada ya kushambulia kwa maboom uwanja wa Damascus ili ndege iliokuwa na ujumbe mzito kutoka Iran isitue. Israel walikuwa na uwezo kuishambulia hii ndege na kuwaangamiza makamanda wa Iran na waziri wao ila hawakuchaguwa hiyo option kwa sababu maalumu.

Tatu Israel ameonyesha ubabe wakipekee baada ya kuitawala anga ya Arabic yaani hakuna ndege au kitu kipo hewani hajuwi kinaenda wapi na kina kitu gani? Hii imefanya kuwa ngumu kwa Taifa lolote kurusha kombora kwa Israel wakijuwa cha moto watakipata.

Israel wamewafunika adui kwakuwa dhaifu ili watimize adhima yao kui eliminate Hamas na some of key leader of Iran. Kwa sasa Ayatollah anajuwa kinachofuwata kwake na anajuwa uwenda mwisho wake up karibu kuliko mwanzo.

Mungu iponye Dunia. Amen
HAo israel tayari wameprove failure na wameshaaibika zamani sana ,hadi sasa waziri wa ulinzi bwana gallant kashatoka hadharani na kumlaumu netanyahu kwamba hana vision ya vita na yupo kwa maslahi yake kisiasa sio israel
Na huku netanyahu nae kajibu kwamba mtu anayelaumu kaongoza vita kwa miezi minane kashindwa kuwamaliza hamas na kuwaokoa israel
Huku akiiweka israel kwenye hali mbaya kidiplomasia
Huku mkuu wake wa ulinzi na usalama akijiuzulu, na huko marekani kwa mara ya kwanza kiongozi wa juu kwenye serikali ya biden muisrael akijiuzulu kupinga serikali ya netanyahu kuhusu vita ya israel na kumlaumu biden kuhusu kutumia jina la jews kwenye vita vya israel,
 
Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi.

Hivi Nina andika tayari vikosi maalumu na hatari vya jeshi la Israel vime locate maeneo mateka wapo na tayari imeshaweza kutoka mateka mamia kwa sasa wakati ikiwakamata viongozi wa HAMAS.

Jambo lingine lina ushituwa ulimwengu ni msg ambayo Israel amemtumia Iran baada ya kushambulia kwa maboom uwanja wa Damascus ili ndege iliokuwa na ujumbe mzito kutoka Iran isitue. Israel walikuwa na uwezo kuishambulia hii ndege na kuwaangamiza makamanda wa Iran na waziri wao ila hawakuchaguwa hiyo option kwa sababu maalumu.

Tatu Israel ameonyesha ubabe wakipekee baada ya kuitawala anga ya Arabic yaani hakuna ndege au kitu kipo hewani hajuwi kinaenda wapi na kina kitu gani? Hii imefanya kuwa ngumu kwa Taifa lolote kurusha kombora kwa Israel wakijuwa cha moto watakipata.

Israel wamewafunika adui kwakuwa dhaifu ili watimize adhima yao kui eliminate Hamas na some of key leader of Iran. Kwa sasa Ayatollah anajuwa kinachofuwata kwake na anajuwa uwenda mwisho wake up karibu kuliko mwanzo.

Mungu iponye Dunia. Amen

Update
Mkuu wa Hamas Ismail Hania ameuwawa nchini Tehran.
Most feared operation by Israel special unit
Nilipo andika hii makala hakuna alinielewa
 
Siyo Israel kuishangaza dunia, sema USA.

Hamas jana imepiga Haifa.

Kwani bado mnaiongelea gaza tu? Gaza kwisha kazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.

Vita ishapanuka huko. Umelala?

Leo tunangoja Egypt na Jordan
Nasrallah
 
Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi.

Hivi Nina andika tayari vikosi maalumu na hatari vya jeshi la Israel vime locate maeneo mateka wapo na tayari imeshaweza kutoka mateka mamia kwa sasa wakati ikiwakamata viongozi wa HAMAS.

Jambo lingine lina ushituwa ulimwengu ni msg ambayo Israel amemtumia Iran baada ya kushambulia kwa maboom uwanja wa Damascus ili ndege iliokuwa na ujumbe mzito kutoka Iran isitue. Israel walikuwa na uwezo kuishambulia hii ndege na kuwaangamiza makamanda wa Iran na waziri wao ila hawakuchaguwa hiyo option kwa sababu maalumu.

Tatu Israel ameonyesha ubabe wakipekee baada ya kuitawala anga ya Arabic yaani hakuna ndege au kitu kipo hewani hajuwi kinaenda wapi na kina kitu gani? Hii imefanya kuwa ngumu kwa Taifa lolote kurusha kombora kwa Israel wakijuwa cha moto watakipata.

Israel wamewafunika adui kwakuwa dhaifu ili watimize adhima yao kui eliminate Hamas na some of key leader of Iran. Kwa sasa Ayatollah anajuwa kinachofuwata kwake na anajuwa uwenda mwisho wake up karibu kuliko mwanzo.

Mungu iponye Dunia. Amen

Update
Mkuu wa Hamas Ismail Hania ameuwawa nchini Tehran.
Most feared operation by Israel special unit
Nasrallah dead

View: https://m.youtube.com/watch?v=onSKen-9PGM
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=T-SKgD3SJ48
 
Hakuna alie amini nilitabiri kipindi sana

Back
Top Bottom