Siyo Israel kuishangaxa dunia, sema USA.
Israel huko hamas jana imepiga Haifa.
Kwani bado mnaiongelea gaza tu?
Gaza kwisha kazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.
Vita ishapanuka huko. Umelala?
Leo tunangoja Egypt na Jordan
Mtu wenyewe nani wa kutoka kwenye line?Vijana wanakuchokoza mpaka wanakutoa kwenye line.....hasira kama yote
Basi kama hujui teknorojia zote za kijeshi ama hata kwenda mwezini ama kufupishq bila kutaka mambo yote zile teknorojia zote zile za hali ya juu za marekani ni Muisrael. Kwa hiyo huwezi kutaja maendeleo yoyote ya marekani au ulinzi wowote wa kijeshi wa marekani bila kumtqja IsraelHivi wewe kwa akili zako unadhani Kama siyo backup ya USA, UK na France kuwa nyuma ya Israel unadhani hilo Taifa lingekuwa linabehave hivi?
Hii inatusaidia nini sisi? Kwamba Israel ameshinda, Hamas ameamgamia, then tutakuwa tumepata nini? Au kwa hii promo Israel kuna kitu anskupa?Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi.
Hivi Nina andika tayari vikosi maalumu na hatari vya jeshi la Israel vime locate maeneo mateka wapo na tayari imeshaweza kutoka mateka mamia kwa sasa wakati ikiwakamata viongozi wa hamasi.
Jambo lingine lina ushituwa ulimwengu ni msg ambayo Israel amemtumia Iran baada ya kushambulia kwa maboom uwanja wa Damascus ili ndege iliokuwa na ujumbe mzito kutoka Iran isitue. Israel walikuwa na uwezo kuishambulia hii ndege nakuwaangamiza makamanda wa Iran na waziri wao ila hawakuchaguws hiyo option kwa sababu maalumu.
Tatu Israel ameonyesha ubabe wakipekee baada ya kuitawala anga ya Arabic Yani hakuna ndege au kitu kipo hewani hajuwi kinaenda wapi na kina kitu gani? Hii imefanya kuwa ngumu kwa Taifa lolote kurusha kombora kwa Israel wakijuwa cha moto watakipata.
Israel wamewafunika adui kwakuwa dhaifu ili watimize adhima yao kui eliminate Hamas na some of key leader of Iran. Kwa sasa Ayatollah anajuwa kinachofuwata kwake na anajuwa uwenda mwisho wake up karibu kuliko mwanzo.
Mungu iponye Dunia. Amen
Kwaiyo we unaona sawa watoto na watu waliokuwa hawana hatia kupigwa mabomu?Usionyeshe ujinga wako waziwazi kiasi hicho. Siyo waPalestina wote ni Waislam; kuna Christian, catholics na hata wasioamini mungu. Na kuna wale ambao hawapendi Hamas. Do not generalize.
Una uhakika huyo ni Mungu mkuuWapigwe mpaka waache kumuita Mungu hovyo kwenye mambo yao ya kipuuizi ...yaaan kitu kidogo tu Allah akbar
Nchi za kiarabu zitapigwa tena kama 1967Siyo Israel kuishangaxa dunia, sema USA.
Israel huko hamas jana imepiga Haifa.
Kwani bado mnaiongelea gaza tu?
Gaza kwisha kazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.
Vita ishapanuka huko. Umelala?
Leo tunangoja Egypt na Jordan
Hayo mambo yao...ila jua hivyo. Fatah ndio wengi kuliko Hamas.Fatah wana ukubwa upi, mbona walishindwa kuwadhibiti Hamas?
Fatah walishindwa uchaguzi 2005, Urais na bungee,Hayo mambo yao...ila jua hivyo. Fatah ndio wengi kuliko Hamas.
Rais wa Palestine atatoka Fatah..
Hawajakimbilia..ni kwao.Hayo mambo yao...ila jua hivyo. Fatah ndio wengi kuliko Hamas.
Rais wa Palestine atatoka Fatah..
Umeshashiba magimbi.Shida tupu.Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi.
Hivi Nina andika tayari vikosi maalumu na hatari vya jeshi la Israel vime locate maeneo mateka wapo na tayari imeshaweza kutoka mateka mamia kwa sasa wakati ikiwakamata viongozi wa HAMAS.
Jambo lingine lina ushituwa ulimwengu ni msg ambayo Israel amemtumia Iran baada ya kushambulia kwa maboom uwanja wa Damascus ili ndege iliokuwa na ujumbe mzito kutoka Iran isitue. Israel walikuwa na uwezo kuishambulia hii ndege na kuwaangamiza makamanda wa Iran na waziri wao ila hawakuchaguwa hiyo option kwa sababu maalumu.
Tatu Israel ameonyesha ubabe wakipekee baada ya kuitawala anga ya Arabic yaani hakuna ndege au kitu kipo hewani hajuwi kinaenda wapi na kina kitu gani? Hii imefanya kuwa ngumu kwa Taifa lolote kurusha kombora kwa Israel wakijuwa cha moto watakipata.
Israel wamewafunika adui kwakuwa dhaifu ili watimize adhima yao kui eliminate Hamas na some of key leader of Iran. Kwa sasa Ayatollah anajuwa kinachofuwata kwake na anajuwa uwenda mwisho wake up karibu kuliko mwanzo.
Mungu iponye Dunia. Amen
Tatizo elimu ndogo,na watu wapo brainwashed sana.Nani kakwambia? Sasa hivi wanaua Watoto na wanawake wa Gaza, Israel nao ni kama Hamas. Both are terrorists. Huwezi kuwanyima, maji, chakula na umeme halafu uanze kuwabom. Gaza ipo 140 square km tu na ina watu million 2. Open sky prison. Palestina kuna wakrstu, catholics na wapagani siyo waislam peke yao. Nyie mnasema uongo kwa sababu ya dini msizozijua. Wale Israel wa kwenye Bible siyo hawa wa sasa, Israel ilianzishwa mwaka 1948 baada ya Waingereza kuwaachia ile ardhi Wayahudi. Wayahudi hao waliopo siyo wale original, wengi wa sasa ni waliorudi baada ya WWII. Wakachukua na radhi zingine zote. Dhambi sana hii, ubabe openly!!
Umebugizwa ujinga na umebugiaBasi kama hujui teknorojia zote za kijeshi ama hata kwenda mwezini ama kufupishq bila kutaka mambo yote zile teknorojia zote zile za hali ya juu za marekani ni Muisrael. Kwa hiyo huwezi kutaja maendeleo yoyote ya marekani au ulinzi wowote wa kijeshi wa marekani bila kumtqja Israel