Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,216
- 3,126
Mkuu nilikuelewa vizuri sana isipokuwa nilikuwa ktk kurekebisha usemi kwamba mfumo banking upo ktk falsafa ya Kikristu kwa sababu waanzilishi walikuwa wayahudi. ndio nikasema kwamba mfumo wa Benki hauhusiani kabisa na dini iwe wakristu wala Wayahudi. Ilitokea tu kwamba waanzilishi wa mfumo wa Kibepari ni watu waliokuwa na asili ya Kiyahudi kitu ambacho hakiwafanyi wao wacha Mungu.hata sielewi hayo ya kuwapenda wayahudi zaidi kuliko mataifa yote yametoka wapi! au mambo ya uhusiano wa imani ya mkristu na myahudi - kwa sababu najua sijayasema mimi. Ninachosema ni kuwa nakubaliana na uwepo wa mfumo wa kibenki wenye maadili ya Kiislamu kwani haupingani na mafundisho ya Kanisa Katoliki wala kanuni mbalimbali za kiuchumi. Ninachokataa ni baadhi ya watu ambao wanataka watanzania waanze kuogopa kwa sababu wamesikia "sharia banking" as if mfumo pekee wa kibenki unaotufaa ni ule wenye asili ya Kimagharibi.
msifungwe NIRA pamoja nao, TOKENI MKAJITENGE NAO......
SHIME WASIOPENDA KUBURUZWA NA SHARIA IN THEIR LIFE WAKAFUNGE AKAUNTI ZAO WAHJAMIE KUSIKO NA SHARIA BANKING. WAWAACHIE HIZO BANK WANAOPENDEZEWA NA SHARIA IN THEIR LIVES.
mIMI NIMESHAFUNGA ANAKUTI YANGU YA NBC LEO NIMEHAMISHIA KTK AKAUNTI YANGU NYINGINE KTK BENKI YA......
Aisee yani watanzania tunakuwaga na fascination with the mundane. Kwanza We Invisible hii thread umetumia neno ambalo lina seditious elements "invades" and once you add that to conspiracy hungry crowd hapa JF= the Caliphate will soon engulf Tanzania bla bla Effin Bla.. Hakuna kitu chochote hapa. Invisible umetuwekea heading ambayo, had it been from anyone else, I would have said niyakifitini lakini I still believe that you might have some element of objectivity which leads me to the obvious conclusion that you just wanted to play arsonist... light the fire and watch it BURN! You must have predicted that there would be outrage amongst the not-so-enlightened hapa JF. Lets just say that "The Home of Great Thinkers" also houses some not so great thinkers (at least as lodgers).. perhaps overstaying their welcome.
The substance and quality of discussions in this forum continues to decay, beginning to dull eager minds becoming more and more a great pass-time for the not-so-endowed. The future........what do you think?
Mimi nina maswali mawili tu.
Nikipata haya majibu kwa mtaalamu yeyote nitakuwa na swali la nyongeza, asanteni.
- La kwanza ni ili asiye Muislamu aajiriwe kwenye hii benki inayofuata mafundisho ya sharia, je huyu mpagani/mkristo au kafir itabidi kwanza apigwe msasa katika sheria hizo za benki ?
- La pili je kwenye hiyo "shariah council" inayooversee uendeshaji wa benki kama unafuata kamili misingi ya dini ya Kiislamu yaani shariah, je anaweza kuajiriwa mpagani/mkristo au kafir ?
Mkuu kwa nini mnafikiria kwamba wakristu hawataruhusiwa?..Je, kuna Bank hata moja unayoifahamu inayofanya hivyo au mnachukulia tu neno Sharia kuwa ndio Uislaam na Uislaam ni Ubaguzi.Mimi nina maswali mawili tu.
- La kwanza ni ili asiye Muislamu aajiriwe kwenye hii benki inayofuata mafundisho ya sharia, je huyu mpagani/mkristo au kafir itabidi kwanza apigwe msasa katika sheria hizo za benki ?
- La pili je kwenye hiyo "shariah council" inayooversee uendeshaji wa benki kama unafuata kamili misingi ya dini ya Kiislamu yaani shariah, je anaweza kuajiriwa mpagani/mkristo au kafir ?
Nikipata haya majibu kwa mtaalamu yeyote nitakuwa na swali la nyongeza, asanteni.
Mkuu wangu ikiwa tafsiri ya neno Islaam ni Obedient to GOD, haya mengine yote ya tabaka zetu tumeyajenga wenyewe. Tazama hata vow of Obedience ktk Ukristu au Judaism, ni zile zile hazina tofauti kubwa ila Kumcha Mwenyezi Mungu kwa ibada zetu.Ukweli ni kwamba sheria za kiislam ziko on the rise na zinakuwa more favorable sasa all over the world na kutarajiwa kutake over common law,tatizo sisi waafrika kwakuwa ni wafuata mkumbo bado hatujui,na kwahiyo sidhani kama wakristo watamchagua JK this time around,wasilam asilimia 40,wakristo sijui ngapi,hata hivyo huu uchaguzi utakuwa very interesting coz mgawanyiko wa kidini hauwezi kukwepeka JK ameshindwa ku govern kwa busara....JK hakikisha unakula za waislam wote,wafanyakazi waislam sidhani kama watakutupa mkono "Msilam mwenzao"
Kuhusiana na benki hiyo wamesema hata hivyo kuwa ni specifically for muslim people,hiyo kusema wengine wanakaribishwa kwetu sisi inaweza kutupa shida,kwa jinsi ya ubaguzi wa kidini ulivyo....Ni wazo zuri lakini waafrika either ni waislam kuliko waliouleta uislam ama wakristo kuliko waliouleta ukristo,hilo ni tatizo na JK ajiandae....Taifa lijiandae,only the strongest will survive.