Isingekuwa kuwa wewe sweetlady | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Isingekuwa kuwa wewe sweetlady

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Vin Diesel, Oct 3, 2012.

 1. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Nakosa hata pa kuanzia kutoa kilio changu toka kwenye mtima wange....
  Naamini isingekuwa kuwa wewe sweetlady kunirubuni leo ningekuwa na furaha
  Isingekuwa wewe kuja kunitongoza kwa maneno matamu tamu nisingemuacha mke wangu na leo hii ningekuwa nae...
  Isingekuwa ujuzi wako wa kumrai rai mtu leo mke wangu angekuwa memba wa JF...
  Ni wewe uliesababibisha hadi akaweka uzi wa kujiondoa JF kwa kilio kikuu baada ya wewe shoga yake kumsaliti...
  Nakulilia kipenzi changu popote ulipo....
  Naomba unisamehe kwa kurubuniwa na shoga yako kipenzi sweetlady....
  Najuta kwa kosa nililofanya na naomba unisamehe na tuanze upya...
  Isingekuwa wewe sweetlady leo hii mke wangu angekuwa bado ni Memba wa JF....
  Isingekuwa wewe sweetlady mke wangu asingenipa :smash::smash::smash: za uso...
  Ndugu zangu Erickb52. Blaki Womani.. AshaDii.. Mr Rocky.. charminglady.. Madame B.. Filipo naombeni sana mfikishe kilio changu hiki kwa mama wa watoto wangu...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  pole Vin Diesel maji yakishamwagika hayazoleki.......rudi kwa mama wa watoto wako mbembeleze mwambie shetani alikupitia na sasa hivi huyo shetani umemfunga mnyororo funguo umetupa bahari ....usiwe na mawasiliano yoyote na sweetlady wala post zake usisome
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Kwasasa sna mawasiliano yoyote na sweetlady na wala siyataki kamwe....nachotaka ni mke wangu kurudi tena JF maana aliondoka kwa mkwara mzito...nifikishie salamu zangu kwake tafadhali
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  pole Vin Diesel, ndio utu uzima huo! kilio chako natumaini kitasikika kwa huyo mlengwa, na usichoke kumbembeleza as watoto wa kike tunapenda kubembelezwa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  My dear cacico...najua mwapenda kubembelezwa ila kwenye hili najua kazi ipo...mfikishie salamu popote alipo mwambie natubu dhambi zangu na naomba arudi tulee watoto
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hata namie bembelezo nalipenda ujue? Deko la lav tamujee !
  Huniambii kitu hapo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Mkuu Judgement...nakushauri ukae mbali na sweetlady...pili naomba unisaidie kurejesha ndoa yangu tafadhali
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. majany

  majany JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Please sweetlady hamia kwangu,nahisi kama kimada kaota mbawa......kumbe hajui msemo wa ukitaka kumjua mume mwenzio basi mwache mkeo....
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Mie sikuwa kimada maana tulifunga ndoa kabisa...sema najuta kumuacha mke wangu...unataka kupigana vikumbo n Mr Rocky na Filipo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Sweetlady si unidanganye mimi jamani
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,090
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Chezea Sweet wewe. toto la ukweli lile. saa hii yuko na my son anataka kumpora yale madola anayonipaga kila mwisho wa wiki.
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mi wala sikusaidii. Si ulijifanya kidume unajua kuwavizia watoto wa kike kila uwaonapo
  Bora aendelee kukupa za uso tuu hivyo hivyo
  Na sweetlady nae atakupa za uso soon
  Pole Vin Diesel
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Vin naomba unambie mkeo uliyemuacha anaitwa nani?
   
 14. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Pole sana 0ngeza juhudi huenda akakusamehe
   
 15. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Ili um-bebe?
  Amyner hakutoshi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Akianza hauchomoki mkuu Excellent...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Na mjiandae kmchangia ndugu yenu hela ya kurudi kijijini kwao
   
 18. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  sweetlady simtaki tena....mie nataka mama watoto wangu arudi JF na anirudie pia mkuu Mr Rocky...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Mkuu Erickb52 umesahau kuna raia aliaga hapa tena kwa kuanzisha thread?
  wewe unadhani chanzo ni nani kama sio rafiki yake wa karibu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Naomba msaada wako pia Arabela
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...