Nakosa hata pa kuanzia kutoa kilio changu toka kwenye mtima wange....
Naamini isingekuwa kuwa wewe
sweetlady kunirubuni leo ningekuwa na furaha
Isingekuwa wewe kuja kunitongoza kwa maneno matamu tamu nisingemuacha mke wangu na leo hii ningekuwa nae...
Isingekuwa ujuzi wako wa kumrai rai mtu leo mke wangu angekuwa memba wa JF...
Ni wewe uliesababibisha hadi akaweka uzi wa kujiondoa JF kwa kilio kikuu baada ya wewe shoga yake kumsaliti...
Nakulilia kipenzi changu popote ulipo....
Naomba unisamehe kwa kurubuniwa na shoga yako kipenzi
sweetlady....
Najuta kwa kosa nililofanya na naomba unisamehe na tuanze upya...
Isingekuwa wewe
sweetlady leo hii mke wangu angekuwa bado ni Memba wa JF....
Isingekuwa wewe
sweetlady mke wangu asingenipa :smash::smash::smash: za uso...
Ndugu zangu
Erickb52.
Blaki Womani..
AshaDii..
Mr Rocky..
charminglady..
Madame B..
Filipo naombeni sana mfikishe kilio changu hiki kwa mama wa watoto wangu...