Isidingo, it's black now

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,664
22,256
Deep Horizon ni kijiji kwenye mgodi wa dhahabu, maisha ya hapo ni ya jamii mchanganyiko, hivi karibuni tulianza kushuhudia wazungu mmojammoja akiondoka na mpaka sasa wamebaki weusi tu.

Baada ya kubaki weusi tunashuhudia ulevi na mapenzi tu na uchimbaji dhahabu haupo, nani anajua ni nini kimetokea Deep Horizon!
 
Unaongelea Sebeko Gold Mine? Isidigo ishaisha sisi tuko nyuma ya muda waliamua kuimaliza kwasabbu ilikuwa hailipi tena. Huwa nikitazama maisha ya Sessaba na Lincoln Sebeko kwenye tamthilia halafu nikawaza pesa wanayolipwa haifiki hata milion mbili kama main character nasema Yeeeh afadhali waendelee kuishi kwenye tamthlia
 
Sotobe Sibiya na Cebisa!

Gatanga na Morongwa

Makonglomeso na Veronica

Sechaba na Pindile

Lincon na Claudette

Yaani ni uswahili mtupu kama akina Muhogo mchungu tu!
 
Unaongelea Sebeko Gold Mine? Isindigo ishaisha sisi tuko nyuma ya muda waliamua kuimaliza kwasaabbu ilikuwa hailipi tena. Uwa nikitazama maisha ya Sessaba na Lincoln Sebeko kwenye tamthilia halafu nikawaza pesa wanayolipwa haifiki hata milion mbili kama main character nasema Yeeeh afadhali waendelee kuishi kwenye tamthlia
Sichapa Maloi (Motlatsi Mafashe) sio Sessaba....
wale wanalipwa chini ya two m!!???
duuh
 
Yah main characters wanalipwa between 40,000 to 60000 Rs wakati wale helping characters 16000-25000 wa mwezi wale wanaojazia jazia 1500 - 2500 kila wakitokea au kupigiwa simu Rs.
.....Tena Kwa Mwezi, sio Per Episode?? Kweli INA Haki ya Kuishia....!!
 
Yule mrembo mayor anatembea naye kwa kweli ni mzuri Nani yuko na namba zake kuna kitu nataka kumwambia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom