FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,518
- 46,606
Who cares? Kwani si hadithi tu hiyo?Deep Horizon ni kijiji kwenye mgodi wa dhahabu, maisha ya hapo ni ya jamii mchanganyiko, hivi karibuni tulianza kushuhudia wazungu mmojammoja akiondoka na mpaka sasa wamebaki weusi tu. Baada ya kubaki weusi tunashuhudia ulevi na mapenzi tu na uchimbaji dhahabu haupo, nani anajua ni nini kimetokea Deep Horizon!