Si alikuwa na ngwengwe au,niliacha kuifuatilia zamani sana,enzi za kina Skipp BulherNandipa,demu wangu wa kufikirika
Wakati inakaribia kuisha walipewa of a ya kuna kupanda mlima Kilimanjaro na bahati mbaya baadae mmoja wao alifariki.Imeisha kitambo, kama sikosei katikati au mwanzoni mwa mwaka huu.
Last episodeHivi Lincolin mwishoni alimuoa claudette au Lungi?