Yeah' Do that and make sure kakako woote nimeona really really early.... Just in case if it happens I don't feel guilty!lol
Sometimes, I think loyalty is simple when compared to TRUST.... Trust is in another level; and Frankly speaking ni wapenzi wachache ambao wanafaulu inavotakiwa katika hili... Kweli vile.
In blue... Working on it....Lmao! I know trust is important... But is it really applied ipasavo?
Honestly.... Hata mimi hapo nimecheka! huyo ndo Ngabu bana!
What's so funny?
You being gender sensitive. Au ulitaka nikasirike?
AshaDii, baada ya kufikiria upya nimeona sipo tayari kuutupilia urafiki wangu na mpenzi wa rafiki yangu just because ni mpenzi wa rafiki yangu. hakuna chochote kibaya tunacho kifanya, tuna furahia mutual company tu. na hatuna yale ya kushikana mikono au kukumbatiana hovyo. hatuchezi kwa karibu nkk. tunaongea tu kama ninavoongea na wewe hapa kuhusu kila kitu, hatuongei vya kuhamshiana hisia za kimahaba. alafu mi na yeye ni allies katika kumtakia rafiki yangu furaha!
Nikianza kuhisi kua nampenda (au yeye ananipenda) kimahaba ndio nitaacha. ila kwa sasa mi naendelea na urafiki bwana!
Nimeona cases nyingi sana kwa watu wangu wa karibu....mara nyingi wahanga ni wasichana...hii inatokana na uzoefu wangu...ikitokea kwangu sitakuwa na choice zaidi ya kuquit...
Nadhani hapo ndio point! hata nikikaa sana na shemeji, kama mimi na yeye tunaheshimu relation yake na rafiki yangu basi hakuna kitakacho haribika... hata kama mi sina mpenzi. lolIt is good to know your limits na kama waweza control. Cha ajabu nikudokeze kua most of my married friends wananiamini saana na waume zao.... Fortunately wengi ni wale ambao the wapenzi nakua nawafahamu saa ingine kabla hata hawajawa wapenzi, they confide in me mpaka I tell them "Gal hapo unavuka mpaka - please hold to it";
Kikubwa ambacho chawezesha control in kwamba mazoea ya karibu saana no! Ama maybe we meet for lunch rafiki yangu asijue... That is a no... na like you said mazoea ya hugging, touching, talking dirt and the like pia is a big no... Pia hata mda ambao twa engage katika maongezi... Sometimes twaongea we enjoy the conservation and each others company... mimi mwenyewe najisuta na kusema sasa inabidi niage ama nikatishe maongezi. Msimamo wako sio mbaya saana....
Na pia ujue sometimes such cases ni disaster if sasa rafiki yako hana mpenzi then awe karibu na wako.... Naaah! Naaah! Naaah!:A S 13:
Mimi nafikiri always ingetakiwa kuwa hivi ... I love this ... kama kweli unaweza kukaa na most of your friends like that ... its a bless ...maanake am sure kuna ambao ... hii inaweza kidogo kuwa ngumu kwao ... its just too clean and pure to handle ... they will secretly/openely hate it!!It is good to know your limits na kama waweza control. Cha ajabu nikudokeze kua most of my married friends wananiamini saana na waume zao.... Fortunately wengi ni wale ambao the wapenzi nakua nawafahamu saa ingine kabla hata hawajawa wapenzi, they confide in me mpaka I tell them "Gal hapo unavuka mpaka - please hold to it";Kikubwa ambacho chawezesha control in kwamba mazoea ya karibu saana no! Ama maybe we meet for lunch rafiki yangu asijue... That is a no... na like you said mazoea ya hugging, touching, talking dirt and the like pia is a big no... Pia hata mda ambao twa engage katika maongezi... Sometimes twaongea we enjoy the conservation and each others company... mimi mwenyewe najisuta na kusema sasa inabidi niage ama nikatishe maongezi. Msimamo wako sio mbaya saana....Na pia ujue sometimes such cases ni disaster if sasa rafiki yako hana mpenzi then awe karibu na wako.... Naaah! Naaah! Naaah!:A S 13:
Hakuna alie kamilika, ila kama utaweka hivyo hapo juu kua msimamo wako basi kila utakapo anza kuteleza utajitambua na kuchukua hatua. Na ni nguvu yangu ya kuzingatia hayo ndio inasababisha nikatae kuvunja urafiki na mpenzi wa rafiki yangu. Najua kabisa kua mambo yakianza kubadilika nitabadili mtazamo ila so far so good...Mimi nafikiri always ingetakiwa kuwa hivi ... I love this ... kama kweli unaweza kukaa na most of your friends like that ... its a bless ...maanake am sure kuna ambao ... hii inaweza kidogo kuwa ngumu kwao ... its just too clean and pure to handle ... they will secretly/openely hate it!!
Ni kweli mamii, kujibweteka sana siyo nzuri mana penzi/pendo linahitaji kupaliliwa kila mara. Halafu sipendi kitu cha rafiki yangu/ndugu kujifanya kamzoea sana mpenzi wangu, huwa sibakishii mtu..kwamba eeeh, hayo mazoea mabaya na siyapendi tena mbele yao wote..kwa kuwa muwazi hilo halinishindi maana kama kuna chembe chembe ya kuviziana ife na isifanyike mbele yangu..
Mazoea mabaya+mazingira = vishawishi vya uzinzi
On a note side: Ntakutumia hilo swali mumie, yaani unipe insight zako..nahisi niko katika ulimwengu ambao siufahamu kabisa, huh!..sasa hivi nakutumia.
Will be looking forward to your thots baadae Dearest..... Na Yeah' God Forbid!
...dahhh, mbona yeshakuwa kawaida tu haya tena mengine mpaka magazetini?
lakini nikikwambia kwa mtazamo wangu, wanawake wengi wapo mstari wa mbele
kuyaanika ya wenzao...
mfano, mke anamhadithia mumewe kuhusu shoga yake anavaa thongs, kafanyiwa bikini wax,
anashanga nyingi, na mengi mengineyo kuhusu huyo shoga yake kiasi cha kumuweka mumewe
kwenye fantasy world kwa huyo shoga mtu.. (hapa NN aligusia kuhusu own morals)
...unaweza sema mume anatakiwa kumzuia mkewe asimwambie upuuzi huo, lakini katika jamii
ya kisasa haya yanatokea sana.
...lol, usi highlight bana..mezea!
...siku hizi yanayofanyika kwenye kitchen party mnayaweka wazi, sijui tulaumu maadili,
facebook au hizo smartphone zenye video na camera?..
..tufanyeje sasa ilhali "pupwe lina msisimo kwa kondoo wenye manyoya haba?"
AshaDii nahisi kama nachakachua thread yako, acha nisepe...
Hakuna alie kamilika, ila kama utaweka hivyo hapo juu kua msimamo wako basi kila utakapo anza kuteleza utajitambua na kuchukua hatua. Na ni nguvu yangu ya kuzingatia hayo ndio inasababisha nikatae kuvunja urafiki na mpenzi wa rafiki yangu. Najua kabisa kua mambo yakianza kubadilika nitabadili mtazamo ila so far so good...
Honestly you technically empress me! Lol
.. I never knew you have that RIGHT STRENGTH ... si unajua sio kutumia manguvu na makelele saaana? .. which I call Wrong Strength! Maana kama ulivyo onyesha hapo if you go with wrong strength reactively, hovyohovyo ... you end up ..empowering them ...that is to say you empower the wrong in them, you empower the wrong relation .. tena kwa mikono yako mwenyewe!!lol
Hah hah .. ndio maana in my post I said ... the initial first step was crucial ... ukikosea ... umepoteza the partner!
And I think you have gone to the next final step ... TAKING THE RIGHT ACTION!!
Loh ... have seen how you calmly, patiently, with stillness, firmness and kindly (Tough Love lol)... how you separated them ... hahh hah .. I agree this was not Reaction it was ACTION ... which I believe it always works to your advantages and to their disadvantages!!
... anyway have never seen this in you ... its so clear lovely black and what!!
... One thing as you said even if it was me ... sirahisi kujikuta tunakimbizana na kuwindana ... maana nitakuwa nimejua tatizo mapema saaana ...have observed it ...in my privet time ...and done the needfull..nikichelewa sana ..then ndio ..kama hivyo ..the first two steps ...
Yes will treat it with sweet romantic toughness and firmness not the destructive toughness etc ...and its because she is mine!!
Can you call all of this ... Win the wrong in others with LOVE! ... Confront the opponent with power of LOVE ... You know where I got this eh Lol