IS your LOVE safe??? SHTUKA!!! Lol

What are up to AD? Hii thread imetulia kwa kuanzia mwaka maana bado tupo January
 
Mi ninavyojua ni kuwa unapokuwa mtu wa mtu kwanza uhuru wako unapungua,unapungua coz you belong to someone,kama unajua maana ya mahusiano na unamhesimu mwenzako,unatakiwa uwe na kiasi katika unayoyafanya na ana haki ya kujua ulipo,na uko na nani.Lakini pia unatakiwa ujue kipi natakiwa nifanye na nani na wakati gani!Sio kufanya mambo tu bila kujali.Sio kutoka out husemi,unakaa huko mpaka usiku wa manane,halafu unarudi,mtu wa namna hii HAFAI!
 
Yaani wanawake wana wizi mtupu
Tena huko Dar
Kuna chama cha wadada fulani kiko Sinza
Na jamaa yangu yuko kwenye hicho chama
Hajaolewa ila ana watoto 2
Alikuwa ananisimulia kuwa huwa wanaangalia mwanamke aliyeolewa mwenye nyodo kwenye chama chao
wanahakikisha wanakula sahani moja na mumewe

Nikajiuliza " Sasa huo umoja wa nini? Kuangusha ndoa za members?"
Lakini ndo wanavyofanya, hasa kwa wanaopenda kusema " mie na mume wangu tunacompromise..."
Its sad and crazy but true!

 



AJ katika mahusiano yangu ya kimapenzi I am always careful.... maybe too careful. Napenda mahusiano yangu ya Mapenzi hata yakivunjika, yasivunjike kwa uzembe wangu ama from my careless ness.... Hio hali ikinikuta (i believe nitai notice mara moja) kuna mawili:-

If I still Love the guy na he is worth it...

Taratibu naanza kuwaachanisha kwa kuwaweka mbali. Namfuata rafiki/ndugu yangu na kumuambia mimi na Mpenzi wangu we are on the rough kuna kitu tunaweka sawa hivo we need some "US" time na kumuomba kua sasa akae mbali kwa mda. Nitahakikisha naweka stand kwa Mpenzi wangu kua kuna mambo huyo ndugu/rafiki yamekaa vibaya hivo nitakua nae mbali na I expect him as my Man to support me kwa kuhakikisha kua ukaribu ule wa kua pamoja ama kutoka pamoja uishe. Both sides sitawapa sababu za msingi for hiii hali ni hatarishi kui disclose kwa wahusika.... If ilikua wanablend na they have feelings bila wao kunotice unakua umewaha moto OR ile kitendo cha kuwambia hutaki wawe pamoja because you don't trust them.... Pia utakua umewasha moto maana itawafanya wawe karibu for they will have one thing in common against me.... Which would be more dangerous....

Kama he is not worth it....

I wouldn't care..... Nitaangalia upepo unavoenda....

Take note AJ kua hiii kazi saana kutokea kwangu for mimi nishajiwekea kuna mipaka ya mazoea ya Mpenzi na rafiki yangu.
 
Reactions: EMT
Alafu Vin mtindo wako wa single lines hizi ... I will get mad sasa hivi....lol...

Naomba niambia una maana gani kua mengine yapo classified?

dont be sisy...nachomaanisha ni kwamba ulichosema ni sahihi kwani nimeona cases kibao na wala mhusika mkuu hashtuki kwamba anakula pamoja na rafiki/ndugu yake.....
 

Hata wanawake nao hawajali kabisa kama wewe ni shemeji,kaka au vp!Anakulegezea macho bila aibu!
 
Kuna post zingine zinafurahisha sana humu.....!Trust me kuna kitu naangalia hapa!
 
We have the same stand in this... Wakiwa pamoja hapo my Man na marafiki iwe kwa sababu za msingi na heshima ya shemeji hapo hapo.... I can not even stand it rafiki yangu am-hug for what ever reasons!

hahaha big sisy........ jealous gal huh, hata hug jaman.
 

....utambulisho unajenga na kubomoa na hii inatokana na tabia ya wahusika wakuu wawili, mume na mke.

Kama wahusika wakuu wanatabia ya kuyazungumza yao ya ndani kwa uwazi nje, mjue mnawapa road map
hao mashemeji kwenye mahusiano yenu. Muhimu heshima na kujiwekea mipaka nini cha kuongea nao.
 
Here I come with my weird take on this issue!

Mimi siwezi kuibwa na mwanamke, awe rafiki wa mwanamke wangu au hata asiwe rafiki.

Ikitokea nime stray katika mahusiaono, moja kwa moja I am accountable. Hakuna cha sijui fulani alinizoea akavuka na mipaka wala yadi yadi yada kama hizo.

Nasema hivyo kwa sababu mwisho wa siku mwenye uamuzi wa kuvua suruali ni mimi (unless nibakwe na huyo baby cutie lol). Vivyo hivyo, kama mke wangu naye ka stray na tuseme rafiki yangu, acquintance, co-worker, stranger, etc., yeye ndiyo wa kubeba lawama na kuwajibishwa, mwanzo mwisho.

Zaidi ya hapo ni longo longo tu za kutafuta scapegoats na kukwepa uwajibikaji. So that's my weird take on it. If I'm way off the mark of what is being discussed here please let me know because I have noticed that sometimes I have the propensity for 'kukurupuka' Lol.
 


hahahah.... Then you don't know me at all! lol.... Nani kakuambia nitaenda hio shopping? Hivo vitu vina haraka gani? lol.... Kwa siku moja OK. But wakuta ni mara kwa mara... with my sister you talk of things even I kama sister ake have no idea.... na you always enjoy each others company! Hivi Pal unajua kuna ile una mpenzi wako but in the long run only kumfahamu rafiki ama dada/kaka only to realise you fell for the wrong person? lol (that's what I don't like to happen to me!)lolz


Who said selfish is always bad? It is not that I don't trust you... BUT ile to fact kua I fall for men who true Men; ina maana atakua ni Rijali.... And I know the side effects of it....loll.... If you know what I mean.... TRUST.... Is sometime sooo overated. I do not have to apply to trust in all things.... :eyebrows: FYI Siku dumb, tunabanana mpaka tufike... Labda if you are not worth a MAN and if I have proven you don't feel anything for me!

Finally, labda ufafanue kidogo neno SHTUKA kwenye sentensi yako ya mwisho. Mtu ashtuke kwa kufanya nini? Achukue hatua gani?

Pamoja Saana... - source AshaDii.

In blue please soma hii post

Pamoja saana Pal.
 
What are up to AD? Hii thread imetulia kwa kuanzia mwaka maana bado tupo January


I am up to nothing broda' lol.... Si mwanzo mzuri huonekana mapema Ndahani? Tell me do you like the content? na please say something....
 
Aisee...Najitetea kabisa: sina uhusiano na mpenzi wa rafiki yangu, namuona kama tu na yeye ni rafiki ila nimegundua mi ni mmoja wa watu wanao fanya hivo bila kujua. Kumbe rafiki yangu anaweza kuja fikiria kua nina uhusiano na mpenzi wake? ngoja nianze kuzingatia hizo limits...
 
Kuna kitu kingine hutokea.

Unadate mtu na unamwambia rafiki yako tangia mwanzo wa mahusiano
Unakuja kugundua rafiki yako analalamika unadate bf wake au umemnyang'anya bf
Lakini wewe mwenyewe hajawahi kukuambia walishawahi date au kuwa na mahusiano yeyote kati yao

Ukimuuliza anawasifia kapo yenu inapendeza, na anabisha hajawahi kuwa na mahusiano
Hiki nacho huwa ni nini?
 
Usiwe karibu sana naye, weka limits
Tena kama mie siwezi toka na wapenzi wawili afu mie niwe mtu wa 3
Huwa sifanyi kabisa hio kitu

 
in blue........ uko sawa kbs kongosho, wengi we2 2naoneana wivu na kupenda kukomoana ha2na mapenzi ya kweli ss kwa ss.
yan ndio maana wana uthubutu hata wa kufanya mambo ya ajab.
NB: KAMWE USIENTERTAIN MASHOSTITO HAWANA JEMA HAO.
 


Eiyer hio kwa watu wengine haijalilshi..... Jamii imebadilika saana na people don't care if you are committed or not! Kwamba sababu mtu anajua maana ya mahusiano ndo awezi fanya hivo.... Ila hapo upande wa heshima nakubali kabisa! Heshima ni kitu kizuri, kama kweli wamheshimu mwenzio huwezi fanya hivo....
 

You better do it now before its too late , or else you are going to learn the hard way
 
mmh wala hujakurupuka umewaza kama mm yan, mwisho wa siku hata shoga akikuflirt vp uamuz wa mwisho ni wako. so wa kulaumiwa si shoga ni ww.
ila pia ucloseness wenye utata ndio usiotakiwa hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…