Is this Karma?

Is this Karma?

Kiboro nini...uwiii mbavu

Maneno yako unaniachaha hoi najifunzaga mimi.

Umenena kweli amuache aende huko akajioneeee

Hajui shamra shamra za penzi jipya, hajui shamra za penzi la wizi anadhani yanabakigi hivo hivo through out
 
Wewe tangu uende english course sasa hivi unajifanya mjanja kumbe unafanya mazoezi ya kuandika kiingereza jf.
 
Ahsante Shemeji nami nakuombea Huyo Uliyenae Asiwe kama mleta mada.. Mungu akusimamie na Akuepushe na Walafi kama Sumbai, kaboom na Bro eli79

Mlafi ni mito na Kaboom sina uhakika kama bro Eli79 nayeye ni mlafi...
 
Last edited by a moderator:
Yes Karma will eat you just like the way you lied . Your conscious will never be at peace until you really repent and be honest with your self. Kwanza you never apologized to your wife deeply that's why guilt is haunting you. You are disillusioned that this girl loved you more than your wife--well.,all new loves seem heavenly . And don't compare scenarios :labda miaka mandate na mkeo mambo/mazingira yalikuwa different na leo ulipo ofisini na intern wako?
 
Tamaa tu sinakusumbua jaribu kuheshimu ndo yako no one is perfect sijaona kama mkeo ana tatizo lolote
 
Kiboro dinda at work, muache mkeo ukamtafute huyo intern umuoe afu uone kama ukiishi nae atabaki intern as you see her au nae atakua kama wife ambae leo unamuona kama kibwengo....

Hivi unajua hata chakula unachokipenda, ukiwa nacho kila leo muda wa kukikinai utafika?
 
Nimemsamehe sis darling, wengine twataka mbingu ndogo ndani ya nyumba...yeye analeta figisu za kuchepuka tena:hurt:
Teh nashukuru brod darlin, wewe endelea tu kujilia maraha ya paradiso ndogo.
 
Hivi unajua hata chakula unachokipenda, ukiwa nacho kila leo muda wa kukikinai utafika?

Ndo umueleweshe sasa huyu jamaa anakua kama kabalehe juzi kumbe tayari ni baba salehe teh teh
 
Kisa huyu ni mwanaume???
Mbona nyinyi wabinafsi sana!
Hapa angeandika mwanamke wallah angejuta!
Ila kwa vile mwanaume ........

Correction, mimi sio mbinafsi bali kuna baadhi wanaume ambao ni wabinafsi na ubinafsi hauko kwa wanaume tu bali wapo pia wanawake ambao ni wabinafsi. I dont practice gender discrimination and i dont take things emotionally either. I only speak facts and truth.
 
Back
Top Bottom