Is this Karma?

Is this Karma?

Mbona maneno kuntu mpendwa? Najua inauma kuona mwanamke mwenzio akisalitiwa na kuumizwa ila naomba upunguze hasira na usitumie maneno makali.

Ulipotea sana, afu umerudi ki husband material material.... A u singo or dabo
 
am interested na kiingereza chako ,nxt time tuekee kiswas pliiiz,,,kuhus uyo msichana mtafte u punch up nae may be mnaweza kuyajenga upya
 
Unajua kuna mambo mengine ya kujitakia. Halafu ina maana huyu mtu mzima hajui penzi jipya na la kuiba linaonekana(ga) tamu tu?

Sasa acha amuache mkewe aende akaisome namba

Au alipigwa ndoa ya mkeka na huyo mkewe, hebu nisaidie kumuuliza mambo ya cha jirani kitamu
 
Hiyo haipimwi kwa miaka!!! just anytime when that feeling comes... of waking up everyday with the same woman
*excuse my language*

Eish..sa unavowambiia wenzio mchelewe chelewe kwanza mnataka mgundue nini bana..hebu oeni. Magonjwa mengi..
 
haya sasa ndo umwambie,itamsaidia
Maji yakishamwagika hayazoleki. He cannot change the past but he can take control of the future. Kama kweli anataka kuokoa ndoa yake kwanza kabisa amuombe mke wake msamaha, pili atake yeye mwenyewe kubadilika kutoka moyoni ikiwa ni pamoja na kumsahau huyo intern, tatu atubu mbele za Mungu na aombe msaada wake ili aweze kumbadilisha na kumfanya aache kutamani mwanamke mwingine asiye mke wake. Nne azidishe upendo kwa mke wake na amfanyie mambo yatamfanya asahau uliyomtendea na aone kuwa amebadilika. Only madiliko ya tabia yake ndio yatakayo okoa ndoa yake.
 
Mkiambiwa msubiri hamtaki yakiwakuta mnakuja kulalamika....sasa ona ingesubiri si intern angekuwa wako mpaka leo unagegeda tu...ndoa zipo unaweza kuoa ata ukiwa na miaka 70..ungetakiwa kufumua kwanza ungeona radha zote halafu unachagua moja matata
 
Kwa hiyo soulmate wako unakutana naye tu ukichelewa kuoa/kuolewa? Mtu sahihi mtu anapewa na Mungu katika age yoyote ile ambayo Mungu anaona inamfaa mtu huyo.

Kikawaida hadi unafikia kumuoa/kuolewa na mtu ni kwamba umemuona bora kuliko hao wengine. Umeishi naye weee ndo sasa hivi unahisi eti sio chaguo lako sahihi. Huyo mwingine unayemuona kama soulmate wako sasa hivi na yeye Ukianza tu kuishi naye, utahisi ulikosea kuchagua.

Ila kuna wangapi wanaolewa/kuoa lakini hakuna pendo la ukweli zaid ya mazoea?.... ndo mana nasema sio sawa sana kukurupuka kuoa/kuolewa kwa haraka katika mauhusiano...
 
tamaa zako tu hizo, ila nasema hizi lugha za akina rooney hizi zinasumbua maaana nina aleji nzao
 
Ila kuna wangapi wanaolewa/kuoa lakini hakuna pendo la ukweli zaid ya mazoea?.... ndo mana nasema sio sawa sana kukurupuka kuoa/kuolewa kwa haraka katika mauhusiano...
"Kukurupuka si sawa", hilo naliafiki kabisa. Ni kumuomba tu Mungu akupe chaguo lako sahihi
 
Kwani si umuoe tuu na yeye huyo intern? na kama dini yako hairuhusu basi mfanye nyumba ndogo! yanini kukaa na masikitiko wakati unayapenda mambo.
 
Uko kama vile yanayokutokea yanasabishwa au ni makosa ya mkeo au intern lakini ukweli ni kwamba umewasababishia maumivu makali sana wote wawili katika maisha Yao ili wewe ule bata.
Unapaswa uwaombe radhi wote ili nao wafungue mioyo Yao wakusamehe na intern aendelee na maisha yake kuukomboa muda alioupoteza na wewe.
 
Huu uwongo wa kusema singo sijui single ndoo unaoleta matatizo. Uchunguzi wangu mdogo sana umebaini kuwa msichana akikulipukia hajali kama wewe ni singo au single. Walau kwa hilo wakiume tuwe wakweli. Kama kweli ulimpenda kama sio kujipenda kupitia intern, kwanini umharibie future yake? Wewe si ulijua unagonga na kusepa. Itapendeza ukimtafuta na kumuomba msamaha kiutu uzima. Msamaha ujiandae na mshiko sio kwenda kupiga magoti kama unataka kumvisha pete ya uchumba.
 
The truth will set you free... Hakuna haja ya kusema uongo ili umpate mpenzi, ungemwambia umeoa angefanya maamuzi ya kukubalia au akatae na kama angekubali afu mkeo akajakugundua baadae huoni wewe ungekuwa umeshajisafisha?? Sio kila uongo unaishia kuzuri jifunze hilo, hakuna cha karma wala nini hiyo ni dhamira inakusuta kwa kosa ulilolifanya, cha muhimu ongea na mkeo muyajenge elezaneni mapungufu yenu muanze upya, watoto 2 unataka muachane kisa mchepuko?? Love your family man!
 
Umetuabisha sana wanaume wenzako hivi inaingia akilini kweli na ni haki kweli ulichofanya kwa mkeo? tena unatamba waziwazi! kinachokera zaidi unajisifia eti hako ka intern katamu kuliko mkeo hivi zimo kweli au una waza kwa kutumia sehemu ya kunyea?, unajua kiasi gani umemumiza mkeo na kumwaibisha kwa usaliti wako huu?hebu jifikilie ungekuwa ww ndie mwanamke harafu ufanyiwe hivyo na mmeo ungejisikiaje?kibaya zaidi bado unatamani kuendeleza mahusiano na hyo mtu wakati una mke na watt,kwa mfano akija mwingine mrembo na mjuzi zaidi ya huyo intern utamsaliti mkeo tena? sikiliza mkuu kama bado kidunguli chako hakijaacha mihemko hukuwa na sbb ya kuoa mapema sbb una mtesa mkeo na watoto kisa umalaya wako, acha kabs tena tubu na mwombe msamaha mkeo sasa utadata na sketi ngapi?yy mwache aende tu na hizo dua zake za kuku ww tulia bhana na mkeo acha mbwembwe na machepele ya kitoto hayo umekua ujue.
 
If it wasnt for the kids ungemuacha? umezingua sana kwenye hio kauli,umemshusha thamani mkeo.Na unayoyapata ni karma from what you did to your wife na sio intern.
 
Kiboro dinda at work, muache mkeo ukamtafute huyo intern umuoe afu uone kama ukiishi nae atabaki intern as you see her au nae atakua kama wife ambae leo unamuona kama kibwengo....

Kiboro nini...uwiii mbavu

Maneno yako unaniachaha hoi najifunzaga mimi.

Umenena kweli amuache aende huko akajioneeee
 
Mbona maneno kuntu mpendwa? Najua inauma kuona mwanamke mwenzio akisalitiwa na kuumizwa ila naomba upunguze hasira na usitumie maneno makali.

Kisa huyu ni mwanaume???
Mbona nyinyi wabinafsi sana!
Hapa angeandika mwanamke wallah angejuta!
Ila kwa vile mwanaume ........
 
Back
Top Bottom